Producers wa sasa kina es2kizzy na Laizer, Abbah jifunzeni muziki mzuri kupitia bolingo za nyuma muache huu utopolo

Producers wa sasa kina es2kizzy na Laizer, Abbah jifunzeni muziki mzuri kupitia bolingo za nyuma muache huu utopolo

Kwenye uwo muziki wa rhumba kwenye kila chombo/ala ya muziki, kama bass gita, solo gita, tumba, drums, tarumbeta, kinanda Kuna mkali alishindanishwa na wenzake kama saba hivi na akawashinda. Bendi moja inakuwa na kina laiza ishirini,
Tofauti na bongo mtayarisha mmoja anapiga vyombo vyote,
Lazima uwo muziki utakuwa kama big g wakati rumbha ya wakongo ikiwa asali.
 
Hili nilishalisema hapa pia kuwa Muziki wa Congo siku zote huwezi kuichoka na ndio maana wazee wengi ambao walikuwa vijana miaka ya 70's na 80's huwezi kuwashawishi eti kuwa midundo ya sasa inaizidi ya zamani.

Ukisikiliza hizo nyimbo ulizoandika hapo pamoja na wimbo kama:

et Rochereau, Mamou, Ya Jean na Nadina ya Mbilia Bel utagundua utofauti mkubwa sana kwasababu walikuwa wanatumia vyombo Vingi lakini KWA USAHIHI KABISA, kwa mfano Gitaa, Kinanda, Filimbi, Ngoma n.k

Kifupi ule ndio mziki hasaa
Sahihi kabisa. Kuna live performance moja ya koffi ameifanya nyimbo za Rocherou, ni hatari sana. Gita zinavyocharazwa, you really feel the taste of music. Pitie na mokolo nakokufa, mopao aliua sana mule.
 
Kwenye uwo muziki wa rhumba kwenye kila chombo/ala ya muziki, kama bass gita, solo gita, tumba, drums, tarumbeta, kinandi
Maproducer wa muziki marekani walisalute ubunifu uliopo kwenye muziki wa rumba na sebene. Mfano walishindwa elewa ni vipi Dr nico aliweza piga magita mawili ya solo [solo na mi solo].

ukisikiliza hata muziki wa Taarabu asili vyombo vinapendeza sana. Ndio maana muziki huu uliweza vuka bahari. Kuna dada mmarekani, anaitwa Alsarah ameurudia wimbo wa shakira macho yanacheka moyo unalia. Licha ya kuwa ni modernized lakini ladha asili ya majahazi unaisikia.
 
14. Mabele ft loketo ~ Betty
15. Tshala-mwana ~ Seli Pere
16

Ni kweli kabisa.
Ukisikiliza interviews za Master J, anasema kabisa kwamba walikua wanachangia kutengeneza beat watu kadhaa. Then mixing na mastering zinafanywa na wengine pia. The same kwa sound crafters, akina Bizzman na Enrico walikuwa wanafanya kazi pamoja kupika muziki mzuri. Ukisikiliza albamu ya RIZIKI ya K Bazil utakubaliana na hili
Hiyo nyimbo ya Ridhiki NI Bab kubwa kile kinanda alipiga bizman naskia?
 
Huyo jamaa noma,yaani hiyo machine ya Adia ni hatari.

Kabisa mkuu hizi nyimbo niko na DJ mix moja sema kule wameunganisha vipande vipande nikashindwa kung'amua ni nani hasa ameimba baadhi ya nyimbo mule kwenye Dj mix nashukuru kuna nyimbo nimezipata naomba sana kama una playlist unisaidie nizishushe nyimbo nzuri sana hizi...

Panchito naomba uweke list nyingine tafadhali..
 
Sijaju kama yupo hai au kishatangulia mbele ya haki.

Mimi hawa wanamuziki wa zamani,sijui akina Madilu,Alous Mabele,Daliki Moko,Lokasa ya Mbongo,Yondo Sister,Bozbozana,Tabuley,Franco,Shera Mwana,Mbilia bel,Oliver Ngoma ,Pepe Kale ,Wenge BCBG nk nime wajulia kupitia baba yangu.

Mara nyingi kipindi nipo O-Level mzee mida ya saa 5 usiku alikuwa anatoka na redio yake,anakaa karibu kabisa na dirishani kwangu yaani hapo zinapigwa ngoma juu ngoma mpaka saa 7 usiku mzee anaenda kulala.
Huyu jamaa alikuwa na mawe makali mengi sijui bado yupo ama?

Ngoma zake zilkuwa zimekaa kwenye mzani mzuri huyu ndo mtaalam wa zouk mwenyewe
 
Kabisa mkuu hizi nyimbo niko na DJ mix moja sema kule wameunganisha vipande vipande nikashindwa kung'amua ni nani hasa ameimba baadhi ya nyimbo mule kwenye Dj mix nashukuru kuna nyimbo nimezipata naomba sana kama una playlist unisaidie nizishushe nyimbo nzuri sana hizi...

Panchito naomba uweke list nyingine tafadhali..
Nakumbuka kipindi nipo chuo nilikuwa nazo kwenye external yangu,kuna rafiki yangu mzee wa makamo nilimuzima external mpaka leo hakunirudishia.

Mzee yeye alikuwa na mikaseti,sijui alizipata wapi.
 
Sijaju kama yupo hai au kishatangulia mbele ya haki.

Mimi hawa wanamuziki wa zamani,sijui akina Madilu,Alous Mabele,Daliki Moko,Lokasa ya Mbongo,Yondo Sister,Bozbozana,Tabuley,Franco,Shera Mwana,Mbilia bel,Oliver Ngoma ,Pepe Kale ,Wenge BCBG nk nime wajulia kupitia baba yangu.

Mara nyingi kipindi nipo O-Level mzee mida ya saa 5 usiku alikuwa anatoka na redio yake,anakaa karibu kabisa na dirishani kwangu yaani hapo zinapigwa ngoma juu ngoma mpaka saa 7 usiku mzee anaenda kulala.
Hata Mimi mkuu nimezijulia kupitia mzee wangu na hata nilipokuwa dj ilibidi nizijue
 
Back
Top Bottom