Prof. Anna Tibaijuka, ulikaa kimya wakati unahudumu katika Serikali kandamizi ya hiki unachokikemea sasa kulinda maslahi yako, na sasa kaa kimya!

Huyu mama ni mnafiki sana. asidhani tumesahau kauli zake wakati wa jk
Lakini pia huko nyuma kuna mambo megi amekuwa akikosoa na kutoa maoni yake kwa kutetea maslahi ya Taifa. Kumbuka sakata la DP , alitoa maoni makali ya kupinga hata Chief Hangaya nadhani alimnunia, lakini alikuwa akitetea maslahi mapana ya Taifa letu. So kwa yale anayojisikia kusemea anayo haki ya kuyasemea, na si lazima kwa kila jambo ambalo wewe unfetamania pia asemehe. Hii nchi ina ma Proffessor na PHD nyingi tu, lakini ni wangapi wmejitokeza kusemea masuala mazito ya nchi hii? Na wala si wanasiasa. So Prof Tibaijuka apew maua yake kwa kile alichoweza kulifanyia Taifa hili na still anachoweza kwa muda wa maisha yake yaliyobakia. Kwa sasa ni raia mwema si mwansiasa anymore, yuko huru kutoa maoni, siyo chawa tena wa mfumo..
 
MASLAHI YEPI? MASLAHI YA WIZI AU ?
MSINYAMAZISHE MTU ANAPOONGEA UKWELI.HATUWEZI KUJIREKEBISHA KWA NAMNA HIYO
 
Kosa moja halihalalishi losa lingine,
Mwache aseme, ametubu!!!
Sina mamlaka ya kumkataza kusema na katu sitakuwa nayo milele. Lakini asitudanganye kuwa anatetea demokrasia wakati yeye ni archtecture of UNDEMOCRATIC GOVERNANCE
 
Umeuliza swali zuri na wengi wanamshangaa huyu mleta mada. Hajui kuwa vita ya ukombozi wa Uganda 1978-1979 hata Askari waliokuwa wa Amini wengi wao pia walipinduka wakaunga jitihada za jeshi la Ukombozi. In Politics there is no permanent enemies or friendship. Unabadirika kulingana na mazingira na agenda za wakati husika.
 
Hata Yule Muhalifu alyekuwa ameambwa Msalabani na Yesu , aliweza kupata fursa ya Uokovu katika last miniute ya Maisha yake hapa Duniani, na Bw Yesu akamuahidi kuwa hakika muda si mrefu atakuwa naye katika ufalme wa mbinguni. So last moment repentance transforms an individual from the past done evils and get cleansed his /her sins. Mama alishatubu na kutakaswa, so muache afurahie uhuru wake.
 
Sina mamlaka ya kuingilia uhuru wake/kuukataza, sina mamlaka hayo na sitakuwa nao. Ila she should not flatter us! (lavish praise and compliments on (someone), often insincerely and with the aim of furthering one's own interests.)
 
Sina mamlaka ya kuingilia uhuru wake/kuukataza, sina mamlaka hayo na sitakuwa nao. Ila she should not flatter us! (lavish praise and compliments on (someone), often insincerely and with the aim of furthering one's own interests.)
By the way how can yourself prove to us that you are sincere in your unjustified attacks on an individual of the likes of Tibaijuka and be left to graze free in our mind.
 
Kwa wappuzi kama nyinyi kilikuwa kipindi kigumu! Saizi kuna maajabu gani tofauti na makelele yasiyo na tija!
Hicho kilikuwa ni kipindi cha uvunjaji katika mkubwa.
Kila tukiwa tunachambua umuhimu wa katiba tutakuwa tunarejea kipindi hicho.
Mtu alifikia mpaka kupoka haki ya wananchi kuchagua viongozi wao.
 
Profesa alitamka "vijisenti hivyo vya mboga...."

Hapo ni katikati ya ile "escrow saga"...je ni za serikali ama si za serikali....".

Asingeongea lolote kwani alishapata chake pale BENKI ya mkombozi....msijajua zake alizichukua kwa JUMU ,PAKACHA ama SANDARUSI.......

#Mwafrika akiwa anakula nyama humsikii AKIONGEA 🤣
 
Ccm mmefikia kupangiana cha kufanya n kusema. Hali bado
 
Mbona Samia hakusema anayosema sasa wakati wa Magufuli. Inabidi tuelewe kwamba katika nchi za kiafrika
unapokuwa chini ya mtu mwingine kimamlaka hauna uwezo wa kuongea yaliyo kinyume.
 
Hujui kuwa wakati unakula, hutakiwi kuongea vitakupalia. Ukishiba ndiyo uongee...
 
Profesa ni mnafiki, mbona hakugusia fomu moja ya Samia next election? nilitegemea awekee mkazo hilo kwenye chama chake, aliona oma akaunganisha issue inayokumba vyama vyote....kuepuka ku disturb wakubwa! in particular Samia Pascal Mayalla
 
Naunga mkono hoja Tena si ndio aliyekuwa anasema ni vihela vya mboga
Yeye aliiba Pesa au alipewa zawadi na Rafiki yake!? Wewe Rafiki Yako akifanikiwa kwenye biashara zake akakupa kiasi cha fedha hutapokea!?
 
🙏🙏
 
Kibibi hiko kinaanza kupagawa kabisa,saivi kinakuja na hadithi zake
 
Kibibi hiko kinaanza kupagawa kabisa,saivi kinakuja na hadithi zake
Unafiki, siwezi kum- accommodate kwenye nafsi yangu. Alikuwa na nafasi ya kusema hili hapana, hakusema leo anakuja kwa vile hana nafasi/hana uhitaji anajifanya part of waonewa na mtetezi wao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…