- Thread starter
- #101
ac
ha maneno yako, mgao ambao ulikuwa na formula fulani ya nani apate nini? systematic mgao...watu si wajinga!Yeye aliiba Pesa au alipewa zawadi na Rafiki yake!? Wewe Rafiki Yako akifanikiwa kwenye biashara zake akakupa kiasi cha fedha hutapokea!?