Prof. Anna Tibaijuka, ulikaa kimya wakati unahudumu katika Serikali kandamizi ya hiki unachokikemea sasa kulinda maslahi yako, na sasa kaa kimya!

Prof. Anna Tibaijuka, ulikaa kimya wakati unahudumu katika Serikali kandamizi ya hiki unachokikemea sasa kulinda maslahi yako, na sasa kaa kimya!

ac
Yeye aliiba Pesa au alipewa zawadi na Rafiki yake!? Wewe Rafiki Yako akifanikiwa kwenye biashara zake akakupa kiasi cha fedha hutapokea!?
ha maneno yako, mgao ambao ulikuwa na formula fulani ya nani apate nini? systematic mgao...watu si wajinga!
 
Wenye akili hatutakusikiliza! Ulikuwa sehemu ya mfumo kandamizi, hukusema lolote ukitetea kwenda "chooni". Leo usitudanganye, ni kwa vile uko nje ya mfumo, lakini huna dhati ya moyo kutetea haki!

Kama ulikubali kushirikiana na wauaji wa wakati ule, leo nyamaza! Nyamaza kabisa, wahutubie hao "ngedere" wasiojua kuwa ukiunguza msitu ukachekelea unaungua, ikifika jioni usilalamike wapi pa kulala!

HUU UKWELI, NA NI UKWELI MTUPU, ALIOUSEMA JANA ALIBIDI AUSEME AKIWA NDANI YA MFUMO AU ATOKE.KUONESHA KUWA HAKUBALIANI NA UKANDAMIZAJI DEMOKRASIA

KAMA AKINA MBOWE, LISU, LEMA , HECHE NA WENGINE WENGI AMBAO SIJAWATAJA WALIVYOKITETEA WANACHOKIAMINI MPAKA WENGINE KUFA
Nakubaliana na hoja yako ya kuwa Anna alitakiwa kutetea maovu hata wakati yeye mwenyewe yupo kwenye uongozi. Kwa sasa hivi ni unafki tu.

Hao na uliowataja mwishoni ni wanafiki vile vile. Walitoa povu kuhusu ufisadi wa Lowasa na kundi lake, baadaye wakaanza kumpamba sana. Ni wanafiki vile vile.
 
Back
Top Bottom