Prof. Anna Tibaijuka, ulikaa kimya wakati unahudumu katika Serikali kandamizi ya hiki unachokikemea sasa kulinda maslahi yako, na sasa kaa kimya!

ac
Yeye aliiba Pesa au alipewa zawadi na Rafiki yake!? Wewe Rafiki Yako akifanikiwa kwenye biashara zake akakupa kiasi cha fedha hutapokea!?
ha maneno yako, mgao ambao ulikuwa na formula fulani ya nani apate nini? systematic mgao...watu si wajinga!
 
Nakubaliana na hoja yako ya kuwa Anna alitakiwa kutetea maovu hata wakati yeye mwenyewe yupo kwenye uongozi. Kwa sasa hivi ni unafki tu.

Hao na uliowataja mwishoni ni wanafiki vile vile. Walitoa povu kuhusu ufisadi wa Lowasa na kundi lake, baadaye wakaanza kumpamba sana. Ni wanafiki vile vile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…