Ni kweli kila mtu Tanzania mwizi katika nafas yake lakini huyu mchizi too much since 1995. Hata mimi nikipata fursa naiba tu lakini to that extent ya Jiwe. Yani msela hakutaka billion alikuwa anacheza na matrilion that's was genocide.Unadhani hata wewe mkuu ukipata madaraka utaacha kuiba? sema sisi tunaolalamika hatuna fursa hizo za kuiba
Mmiliki wake ni nani?Thibitisha Mayanga construction ilikuwa ikimilikiwa na Hayati Magufuli, vijana msiwe mnapenda kuokotoza maneno huko mtaani ukiitwa ukatoe ushahidi unaweza kuthibitisha ya kwamba kampuni hiyo ilikuwa ni ya Magufuli.
Wala hata siyo Trillion 20. Huyu mtu wenu alilamba zaidi ya Trillion 30.Akili zako kama kinembe halitofautiani na ID yako. Uanijua trillion 20 vzr?
mnazitaka na nani?Yes tunazitaka.
Hatari snNi kweli kila mtu Tanzania mwizi katika nafas yake lakini huyu mchizi too much since 1995. Hata mimi nikipata fursa naiba tu lakini to that extent ya Jiwe. Yani msela hakutaka billion alikuwa anacheza na matrilion that's was genocide.
Pamoja na ubabe wake wote na ulinzi wa kila aina kumbe aliuliwa? kwanini msikamate walinzi wake?Mwaka huu tu ni Trillion 5.8.
Ila hadi 2025 mtamtaja Alie muua JPM ndio tuwape kura.
Shwaini
Halafu wanakomaa sio hela za umma.Kama mrad wa Royol Tour
Bwana mmoja anaitwa StephenMmiliki wake ni nani?
sawaBwana mmoja anaitwa Stephen
Madeni ni makubwa sana tunatakiwa kuyalipaMuda mwingine jitahidi ushirikishe ubongo wako vyema kabla ya kuja kuandika huu ujinga ulioandika hapa, inawezakana vipi triolini 20 kuibiwa ilihali tumeona wakati wa uhai wake miradi mingi mikubwa ya kimkatakati ikiendelea kujengwa na kukamilika.
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni, na imani hata kama ulaji ulikuwepo ila si kama tulivyoanishwa na ripoti ya CAG, hata kipindi cha Hayati Mkapa, hata mstaafu JK ufisadi ulikuwa mkubwa mno hata kwa huyu mama siku akitoka madarakani mtajua ni jinsi gani alivyofuja fedha za umma, “Embu tujaribu kuwa na akiba ya maneno”.
Kuna mkakati ambao unaendeshwa chinichini na kikundi fulani kumchafua Hayati Magufuli ila na uhakika hawataofanikiwa kamwe maana watu hao hao ndio wanapita katika madaraja yaliyojengwa na huyo wanaemuita mwizi.
Hii dhambi haitowaacha salama kama ambavyo libya inateseka kwa sasa baada ya kumuua Ghadafi, huyu huyu mnaemnanga na kumsingizia kila aina ya uovu akiwa kalala mavumbini ipo siku mtamkumbuka.
Halafu wanakomaa sio hela za umma.
Msonga genge, dunia itakulipa. Hayati ameshakata kauli.Tangu mwaka wa kwanza trilioni 1.5 ilipigwa nzima nzima, hii alisema Assad na kuanzia hapo akawa hasimu ya JPM, miaka 6 jamaa katuibia ngapi na ziko wapi?
We nae kubwa zima unamtetea dikkteta, kisa kabila lako, kubarini tu jamaa alikuwa fisadi,ndio maana alimtimua kazi CAG Asad hili apate kuiba vizuriMuda mwingine jitahidi ushirikishe ubongo wako vyema kabla ya kuja kuandika huu ujinga ulioandika hapa, inawezakana vipi triolini 20 kuibiwa ilihali tumeona wakati wa uhai wake miradi mingi mikubwa ya kimkatakati ikiendelea kujengwa na kukamilika.
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni, na imani hata kama ulaji ulikuwepo ila si kama tulivyoanishwa na ripoti ya CAG, hata kipindi cha Hayati Mkapa, hata mstaafu JK ufisadi ulikuwa mkubwa mno hata kwa huyu mama siku akitoka madarakani mtajua ni jinsi gani alivyofuja fedha za umma, “Embu tujaribu kuwa na akiba ya maneno”.
Kuna mkakati ambao unaendeshwa chinichini na kikundi fulani kumchafua Hayati Magufuli ila na uhakika hawataofanikiwa kamwe maana watu hao hao ndio wanapita katika madaraja yaliyojengwa na huyo wanaemuita mwizi.
Hii dhambi haitowaacha salama kama ambavyo libya inateseka kwa sasa baada ya kumuua Ghadafi, huyu huyu mnaemnanga na kumsingizia kila aina ya uovu akiwa kalala mavumbini ipo siku mtamkumbuka.
We muuza vitumbua wa tandale uonyeshwe account za watu una hadhi ganiTuoneshe hiyo akaunti ya Mfugale yenye fedha za JPM.
We muuza vitumbua wa tandale uonyeshwe account za watu una hadhi gani
Endeleeni na dharau zenu ila kuna siku mtakua behind bars sisi wauza vitumbua mkituomba tuwaombee msamaha mtoke.We muuza vitumbua wa tandale uonyeshwe account za watu una hadhi gani
Ufisadi wa Kikwete unaukumbuka? Hii ni kwa sababu nchi ilipata rais dhaifu na ambaye hajui maana ya urais.We nae kubwa zima unamtetea dikkteta, kisa kabila lako, kubarini tu jamaa alikuwa fisadi,ndio maana alimtimua kazi CAG Asad hili apate kuiba vizuri