Prof. Assad mwaka wa kwanza wa Awamu ya Tano alisema trilioni 1.5 ilichukuliwa, fikiria ndani ya miaka 6

Unadhani hata wewe mkuu ukipata madaraka utaacha kuiba? sema sisi tunaolalamika hatuna fursa hizo za kuiba
Ni kweli kila mtu Tanzania mwizi katika nafas yake lakini huyu mchizi too much since 1995. Hata mimi nikipata fursa naiba tu lakini to that extent ya Jiwe. Yani msela hakutaka billion alikuwa anacheza na matrilion that's was genocide.
 
Thibitisha Mayanga construction ilikuwa ikimilikiwa na Hayati Magufuli, vijana msiwe mnapenda kuokotoza maneno huko mtaani ukiitwa ukatoe ushahidi unaweza kuthibitisha ya kwamba kampuni hiyo ilikuwa ni ya Magufuli.
Mmiliki wake ni nani?
 
Ni kweli kila mtu Tanzania mwizi katika nafas yake lakini huyu mchizi too much since 1995. Hata mimi nikipata fursa naiba tu lakini to that extent ya Jiwe. Yani msela hakutaka billion alikuwa anacheza na matrilion that's was genocide.
Hatari sn
 
Muda mwingine jitahidi ushirikishe ubongo wako vyema kabla ya kuja kuandika huu ujinga ulioandika hapa, inawezakana vipi triolini 20 kuibiwa ilihali tumeona wakati wa uhai wake miradi mingi mikubwa ya kimkatakati ikiendelea kujengwa na kukamilika.

Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni, na imani hata kama ulaji ulikuwepo ila si kama tulivyoanishwa na ripoti ya CAG, hata kipindi cha Hayati Mkapa, hata mstaafu JK ufisadi ulikuwa mkubwa mno hata kwa huyu mama siku akitoka madarakani mtajua ni jinsi gani alivyofuja fedha za umma, “Embu tujaribu kuwa na akiba ya maneno”.

Kuna mkakati ambao unaendeshwa chinichini na kikundi fulani kumchafua Hayati Magufuli ila na uhakika hawataofanikiwa kamwe maana watu hao hao ndio wanapita katika madaraja yaliyojengwa na huyo wanaemuita mwizi.

Hii dhambi haitowaacha salama kama ambavyo libya inateseka kwa sasa baada ya kumuua Ghadafi, huyu huyu mnaemnanga na kumsingizia kila aina ya uovu akiwa kalala mavumbini ipo siku mtamkumbuka.
Madeni ni makubwa sana tunatakiwa kuyalipa
Mikopo mikopo
 
Tangu mwaka wa kwanza trilioni 1.5 ilipigwa nzima nzima, hii alisema Assad na kuanzia hapo akawa hasimu ya JPM, miaka 6 jamaa katuibia ngapi na ziko wapi?
Msonga genge, dunia itakulipa. Hayati ameshakata kauli.
 
Muda mwingine jitahidi ushirikishe ubongo wako vyema kabla ya kuja kuandika huu ujinga ulioandika hapa, inawezakana vipi triolini 20 kuibiwa ilihali tumeona wakati wa uhai wake miradi mingi mikubwa ya kimkatakati ikiendelea kujengwa na kukamilika.

Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni, na imani hata kama ulaji ulikuwepo ila si kama tulivyoanishwa na ripoti ya CAG, hata kipindi cha Hayati Mkapa, hata mstaafu JK ufisadi ulikuwa mkubwa mno hata kwa huyu mama siku akitoka madarakani mtajua ni jinsi gani alivyofuja fedha za umma, “Embu tujaribu kuwa na akiba ya maneno”.

Kuna mkakati ambao unaendeshwa chinichini na kikundi fulani kumchafua Hayati Magufuli ila na uhakika hawataofanikiwa kamwe maana watu hao hao ndio wanapita katika madaraja yaliyojengwa na huyo wanaemuita mwizi.

Hii dhambi haitowaacha salama kama ambavyo libya inateseka kwa sasa baada ya kumuua Ghadafi, huyu huyu mnaemnanga na kumsingizia kila aina ya uovu akiwa kalala mavumbini ipo siku mtamkumbuka.
We nae kubwa zima unamtetea dikkteta, kisa kabila lako, kubarini tu jamaa alikuwa fisadi,ndio maana alimtimua kazi CAG Asad hili apate kuiba vizuri
 
We muuza vitumbua wa tandale uonyeshwe account za watu una hadhi gani
Endeleeni na dharau zenu ila kuna siku mtakua behind bars sisi wauza vitumbua mkituomba tuwaombee msamaha mtoke.
 
We nae kubwa zima unamtetea dikkteta, kisa kabila lako, kubarini tu jamaa alikuwa fisadi,ndio maana alimtimua kazi CAG Asad hili apate kuiba vizuri
Ufisadi wa Kikwete unaukumbuka? Hii ni kwa sababu nchi ilipata rais dhaifu na ambaye hajui maana ya urais.

Alivyoingia JPM akawatekenya kidogo tu mkalia ameondoka bado anawatesa ndotoni, hata huyu aliyopo kwa sasa naye ni dhaifu tu kama Godfather wake JK.

Anachojua ni kutembea nchi za ughaibuni kula maisha na timu ya watu rukuki ikiwamo ndugu zake wa ukoo na majirani, huku akiwapachika wezi katika nafasi nyeti kulinda maslahi yake binafsi na Godfather wake.

Nasema tena Taifa lina kiongozi wa kawaida (MNYONGE) sana kwa sasa, huyo Magufuli mnaemsema kwa sasa mtamkumbuka ngoja ifike hapo 2023 mtakuwa mmeisha na kupauka kama vibambara.
 
Back
Top Bottom