Prof. Assad mwaka wa kwanza wa Awamu ya Tano alisema trilioni 1.5 ilichukuliwa, fikiria ndani ya miaka 6

Tangu mwaka wa kwanza trilioni 1.5 ilipigwa nzima nzima, hii alisema Assad na kuanzia hapo akawa hasimu ya JPM, miaka 6 jamaa katuibia ngapi na ziko wapi?
Piga hiyo mara sita.. Unapata 9 trillion.. Hii nchi hii acha tu tupumue maisha yaendelee.. Kuna vitu ukiwaza sana unaweza kufa kwa jakamoyo
 
Kikwete hakuwa muuaji,Wala hakuruhusu kuteka watu nakuua
 
Kwaio Dr Ulimboka alijiteka? Said Kubenea alijimwagia Tindikali?
Kuna yule mwandishi aliyelipuliwa na bomu pale morogoro bado wale waliokuwa wakiuawa na risasi
 
Mfia legacy huyu.. akili imezikwa na Magu
Watanzania atuendelei kwa kuwa Mnapenda Sana uongo.Tuliambiwa Lowasa na fisadi.Kumbe uongo tupu.Mnatudanganya kuwa JPM alipiga pesa .Je zipo benki ipi hapa duniani?Sisi tunaona miundo mbinu mingi tu aliyojenga.Ambayo Hakuna Rais aliyeqahi kuijenga.Endeleeni kutafuta kiki.
 
Magufuli aliiba 20 Trillion na bado aliijenga hii nchi kuliko Rais yeyote. Nyie ambao hamjaiba awamu ya nne na sasa hamuibi awamu hii ya sita tuelezeni hela mlizifanyia na mnazifanyia kazi gani yenye manufaa kwa nchi.
Labda chato.Usichanganye mkuu,aliijenfa chato sio nchi yote.Barabara alijenga Kikwete,yeye alijenga viraka tu.Madaraja yote ya maana alijenga mkapa na Kikwete.Yeye alianzisha la busisi lkn kafa halijaisha,mama ndo kamalizia.Reli alianzisha tu,tena lengo lake aitenge kigoma.Lkn mama anaijenga kwa kasi sana,tena sio Dar Mwanza tu,hadi kigoma! Kwenye barabara Kikwete alikaliza,aliacha kigoma na mtara tu ambapo hadi sasa bado hakuna lami.Acheni kudhihirisha ushamba wenu nyie mnaolala na ng'ombe ndani
 
wanaomsema jpm woote mashoga. na huyo CAG wenu katumwa kumchafua jpm
 
Kigoma malima Alipoiba pesa zilionekana zipo benki za nje .Za JPM alizoiba zipo benki ipi ?Au ndio story tu za kutunga za Msoga na wenzake kujifurahisha
Yalisema na mkaguzi mkuu wa serikali. Jamaa alikuwa mwizi, muongo na muuaji. Ndiyo maana hata CAG mpya aliyemtua yeye mwenyewe kabainisha hili pia
 
Atakumbukwa na mbumbumbu tu au nyie wanyonge na Sukuma gang
 
Tangu mwaka wa kwanza trilioni 1.5 ilipigwa nzima nzima, hii alisema Assad na kuanzia hapo akawa hasimu ya JPM, miaka 6 jamaa katuibia ngapi na ziko wapi?

Kuna tofauti kati ya kuchukuliwa na kupotea, hayo mahesabu yamepotea sio kuchukuliwa
 
Tangu mwaka wa kwanza trilioni 1.5 ilipigwa nzima nzima, hii alisema Assad na kuanzia hapo akawa hasimu ya JPM, miaka 6 jamaa katuibia ngapi na ziko wapi?
Sawa yumkini zilipigwa nyingi, lakini tuliona kazi zake bila kificho.
 
Hahaaa hamtoshi kwa Magu,hata mseme ametuiba na sisi Watz hatuamini upuuzi huo.
Na bado mtaongea sana tunawaona hamna agenda
.
Magu hakuna kiongozi kama wewe nchi ilipata,dhahabu yetu.pumzika jembe,Watz wengi wanatambua mazuri yako.
Nchi hii kwa kweli ina wajinga wengi sana na wanyonge. Hawa watu ni hatari sana wanapokuwa wengi kwani ni rahisi kumeza propaganda za mtawala bila kuhoji, ndiyo maana Jiwe alijikita sana huko huku akiwakwepa watu wenye weledi. So wewe pia wawez kuwa ni mnyonge au sukuma gang member.
 
Wizi wa Jk kama upo hauhalalishi wizi wa Jiwe. Ukiiba lazima watu watakusema tu haijalishi ni awamu ya ngapi. Jiwe hakupenda kufanya kazi na watu wenye ueledi, ndiyo maana alimtoa Assad baada ya kugundua wizi wa Jiwe. Alipenda kufanya kazi na watu dizaini yako
 
Hiyo ni yako,take it to the bank.
Mimi ni Mtz naejielewa sio lazima nikubaliane na propaganda chafu najitambua.
Kwa hiyo buku Saba inafaa mjielewe pia,tuelezeni mambo yanayotusaidia,nchi Ina mahitaji mengi ya msingi mmekalia Mwendazake 24/7.
Mjitambue Alaaar.
 
Hakuna mtu anayekupangia kitu cha kuandika/kueleza humu. Wewe jikite kwenye kueleza mambo ya kukusaidia au kusaidia wengine na mimi ntajikita kwenye jambo ninalolitaka mimi. Buku saba siyo mimi bali ni sukuma gang ndiyo wanalipwa hivyo. Mimi siandiki kutegemea malipo yoyote kama wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…