Prof. Assad: Niliondolewa kazini kinyume na taratibu kwasababu nilikuwa sifuati maelekezo ya Mtu

Hahaaaa
 
Kama inavyoweza kwenda sasa bila ya yeye kuwepo, maisha mafupi hayaa. Tusijione tumemaliza kila kitu
 
Prof. Yuko sawa kulingana na misimamo na usimamiaji wa katiba kwa namna alivyoapa kuilinda na kuitumikia. Ila Magufuli alikuwa sawa kulinda kile alichoapa kukilinda na kukisimamia kama nyerere na sokoine tuu... Tujenge nchi tuache siasa tusaidieni sisi wanyonge kama mnavotuia
 
umesikiliza hukumu? kwamba CHIZI MAGUFULI alivunja KATIBA Waambie mazuzu wenzio mkalie pembeni kwenye KABURI LAKE
Katiba ipi kiongozi ambayo haivunjwa na viongozi wa sekta na taasisi zingine za kisiasa za ccm na serikali tuache ushabiki wa kisiasa tuangalie maisha yanaenda VP siasa za mzungu tuu
 
Assad ni mmojawapo wa wazalendo wachache wasio wachumia tumbo tu waliobaki.
Muda wake umeisha nadhani anapaswa kuwa mshauli wa wapinzani na huenda hawata nunuliwa tena kwa rupia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…