Prof. Assad: Niliondolewa kazini kinyume na taratibu kwasababu nilikuwa sifuati maelekezo ya Mtu

Huyo kidume yuko wapi leo hii?
 
Ila ana roho fulani ya ubinafsi ilitakiwa akae atulie hii ya kulia lia katika media inamtia doa kwa kujiona yeye ni bora zaidi ya wengine.

Na hii inaleta tafasri ya kwamba aliumia mno kutumbuliwa 😅
🤣
 
Yuko wapi sasa? Si amepelekwa kuzimu?
 
Ila Mungu fundi, na ukimuona mwenzio takataka Mungu yeye anamuona kuwa anapendeza kuishi kwenye Dunia yake
 
Ndioa wasomi wetu hawa lakni wanalilia V8 za serikali, na washukuru sana awamu ya tano kwa kuwateua kushika nyadhifa mbalimbali serikali maisha yao tunayafahamu vizuri sana kabla ya kuteuliwa kushika nyadhifa hizo.
 
Aliondolewa na chuma kilichoyeyushwa na 'kovidi' kwa muda wa siku tatu.

Hapo nani kidume? Let him reveal the fuching truth under the late dictator regime!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…