Prof. Assad: Niliondolewa kazini kinyume na taratibu kwasababu nilikuwa sifuati maelekezo ya Mtu

Prof. Assad: Niliondolewa kazini kinyume na taratibu kwasababu nilikuwa sifuati maelekezo ya Mtu

Naona anafaa kuchukua nafasi ya Prof.Lipumba katika wigo wa siasa za nchi hii.
Hata hivyo sio vibaya akapewa majukumu mengine kwanza ya kuisadia nchi kama
Mshauri wa Mh. Rais katika masuala ya Uchumi,Maendeleo na Uwajibikaji.
 
Niliondolewa Ofisini kinyume na taratibu kwa sababu nilikuwa nasimamia na kufanya kazi kwa kufuata taratibu na miongozo ya kazi na sio maelekezo ya mtu,kuna mahali viongozi wetu wanashindwa kusimamia wanachokiamini kwa hofu ya kuporwa V8, wanahofu kukosa riziki.

Hili suala la kuniita CAG aliyemaliza muda wake binafsi linaniudhi, katiba ibara ya 144 inatamka wazi muda wa kumaliza na sababu za kukoma kuwa CAG, mimi nilipotolewa ofisini sikuwa nimemaliza muda wangu. Nadhani hatukuwa wazuri katika kusimamia katiba.

Mussa si jina langu, jina alilonipa baba yangu ni Jaffar. Wakati nasoma kulitokea matatizo fulani, ikabidi nitoke sehemu moja kwenda nyingine ili kumaliza masomo na hili jina la Mussa nikalipata huko ila watu wanaonifahamu wananijua kama Jaffar- Profesa Mussa Assad, CAG wa zamani.
View attachment 1966446
Huyu Prof na yeye katuchosha kwa umbea, kama alikuwa na huo ujasiri si angesema kipindi anaondolewa
 
Profesa uchwara aliyejifanya mhimili wakati mihimili iko 3 tu.

Ajaribu kugombea urais basi labda timu gaidi watamsajili 2025.
Wewe hata degree ukute huna . Unamwita prof uchwara KISA siasa?
Ulishawahi kusahihishwa na prof wewe?
 
Huyu nae!

Sasa analialia nini anataka arudishwe au?
Haliii anaeleza ukweli wa jinsi hali ya mambo ilivyokuwa chini ya lile chizi asante mungu kwa maajabu uliyotutendea hapo 17.3.2021
Nikulipe nn mungu
 
BAADA ya Magufuli kuchaguliwa kuwa mgombea urais wa CCM,Prof. Assad( reckless person) akasema,"Magufuli alipokuwa Waziri wa Ujenzi,aligawa nyumba za serikali ovyo". Hiyo si kama Shimei alivyomtukana Mfalme Daudi. Halafu Daudi aliporudi Shimei ilibidi aende kuomba msamaha.
 
BAADA ya Magufuli kuchaguliwa kuwa mgombea urais wa CCM,Prof. Assad( reckless person) akasema,"Magufuli alipokuwa Waziri wa Ujenzi,aligawa nyumba za serikali ovyo". Hiyo si kama Shimei alivyomtukana Mfalme Daudi. Halafu Daudi aliporudi Shimei ilibidi aende kuomb

Kwani yeye nae yupo wapi.si kaondolewa kama alivyokuwa anawaondoa wenzake


Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahaaaaa...piga nkupige...nchaka nchaka nguo kuchanika
 
This man is a genious aise, halafu ana maisha simple sana kuna kipindi nilipishana nae pale millenium tower akisubiri usafiri wa Uber.

Kusubilia usafir wa Uber ndo ukampa u genius Na sio genious kumbe! Nenda Shule sio unaandika hata usivyovijua
 
Kwakua Assad nae atakufa, maana yake ni kwamba kila sehemu atamkuta ni imara zaidi yake. Hapa duniani hakuwa chochote mbele ya JPM na hata huko kuzimu atakuwa mgeni mbele ya JPM.
Lakin Assad huyu si ni wa mbinguni!! Navojua mimi Wa mbinguni na wa kuzimu hawachangamani
 
Angemjibu Magufuli haya wakati huo. Nakumbuka aliulizwa kama kweli 1.5T zilipotea au? Akajibu hapana ahahahahah dah Magu aisee alikuwa kifaru, zee la sijida likaingiwa na hofu badae likatimuliwa na kujifanya juaji. Fla sana
Aliyemtimua kibabe naye katimuliwa kisela.
Dunian mbabe Mungu tu.
 
Profesa uchwara aliyejifanya mhimili wakati mihimili iko 3 tu.

Ajaribu kugombea urais basi labda timu gaidi watamsajili 2025.
Ww mjane wa mwendazake u hali gan bibie, bado hujapata mrithi hapo lumumba
 
Nahisi haujashirikisha ubongo wako vizuri kabla ya kuandika haya uliyoandika.

Assad anaweza kuwa na mapungufu yake Ila huwezi kumuita mchumia tumbo maana hakuna anachochima kwa kulamba makalio ya wakubwa. Hakuna anayemtuma na hakuna anayemsemea Bali anapenda kujisemea yeye kama mfano kwa yaliyomkuta.

Halipwi na chama chochote kuongea hayo Ila believe me, kwa sisi tunaomfahamu jamaa yupo vizuri sana upstairs na Magufuli aliona jamaa anamkagua na kuweka Mambo yake hadharani ndio maana alimtoa bila kufuata Katiba .
Nahisi ww ndio hujashirikisha ubongo wako kabla ya kuandika

Jamaa amesema huyo cag hakuwa mchumia tumbo kwenye uongozi wa jpm
 
Mbona nyie kwenye li chama lenu chakavu muda wa miaka mitano wa urais ukiisha mnasema ni utamaduni wenu kumuacha amalizie mengine iwe kumi na yeyote atakaye jitokeza kuchukua fomu yatamkuta ya membe

Opofu unakuja kwa prof: tu kweli kuwa ccm ni sawa na mbweha
pumba tupu
 
Pole sana kama unaamini kila anayepinga mambo kadhaa ni mfuasi wa Magufuli basi ni mwendelezo ule ule wa ufuasi wa Kinyumbu. Ungepata muda tu ukapitia threads zangu nyuma ungegundua nilikuwa nampinga Magufuli.

But sikuwa namchukia. Mpaka leo natumia ufahamu huru. Au umesahau Chadema waliokuwa wanamchukia Lowassa ndiyo waliomkaribisha na kumzungusha nchi nzima huku wao wakizungusha mikono?[emoji16]

Siasa ni mikakati. Assad angetakiwa ayaongee haya wakati Marehemu yupo. Kuongea haya wakati hayupo kwenye Uislamu ni kuonesha woga na unafiq. Pia asipende sana publicity .... Akue.
Huwezi kubishana na kichaaa,kwahiyo ulitaka aongee kipindi cha jiwe apotezwe?,wangapi wamejitokeza baada jiwe kuanguka?,embe tumia akili bwana huu ndio wakati sahihi wa kuzungumza
 
You simply don't know him. He is not a genius by any standards. Yeye alidanganywa na wanasiasa wakimwaminisha watamtetea, anawaeleza report aliyoandika hata kabla hajaiwasilisha bungeni. Angekuwa slightest genius angetambua katiba ilibadilika siku nyingi sana na kuwa kuna vipindi vya kutumika kama CAG, yeye anang'ang'ania vifungu vinavyotaja umri wa kustaafu. Kipindi kimoja kikiisha waweza kuongezewa kipindi cha pili au usiongezewe. Waliomwaminisha ataendelea mpaka afikie 65 years sasa wote wala hawampihii simu. Ana bahati mbaya saaana.
Tanzania bado tuna safari ndefu sana kimaendeleo na kifikra, kwahiyo na upo upande wa viongozi ambao hawataka tujulishwe kuhusu upotevu wa ile 1.5tl? Haya ni maajabu kwakweli
 
Back
Top Bottom