Prof. Assad: Niliondolewa kazini kinyume na taratibu kwasababu nilikuwa sifuati maelekezo ya Mtu

Tatizo la Profesa ASSAD ni uelewa mdogo

Ana jina kubwa lakini uelewa wake uko chini sana

Nitatoa mfano Ripoti ya CAG ukishaiandaa unaandika madudu yote uliyoyaona na kukabidhi hiyo ripoti kwa Raisi ayasome madudu yake ya serikali yake akichukua hatua sawa asipochukua shauri yake sio kazi ya CAG yeye kakamilisha kazi yake

La pili hiyo Ripoti ya CAG hupelekwa bungeni baada ya kukabidhiwa ili bunge kama mhimili na msimamizi wa serikali wao waijadili kwa niaba ya wananchi

Kilichokuwa kinatokea kwa huyu msomi koko ni kuwa ripoti hata haijakabidhiwa hata bungeni yeye anaitisha press conference na kuanza kubwata kuhusu yaliyomo kwenye ripoti wakati kisheria ya ukaguzi na kikatiba yeye hana mandate ya kukabidhi ripoti hiyo kwa wananchi!!! Yeye ni kukabidhi kwa Raisi na kwa bunge mengine awaachie wenyewe serikali na bunge!!! Lakini alikuwa akijipa mamlaka ya kutoa ripoti kwa wananchi mamlaka ambayo hana kisheria na kikatiba na kinyume na miongozo ya NBAA Board ya wahasibu na wakaguzi ambaye pia yeye ni mwanachama hairuhusu hilo

La pili kuhusu huyu Profesa uchwara kasahau kuwa CAG kuondoka sio swala la umri tu kuna swala la kipindi cha uteuzi.Mfano katiba inatamka astaafu na miaka 60 lakini kuna sheria za uteuzi mfano kuwa atateuliwa kwa kipindi cha miaka mitano ikiisha Raisi halazimiki kuwa lazima akuteue tena!! Ila kama umeteuliwa kwa kipindi cha miaka mitano ikafika mwisho kipindi kinachofuata sio automatic Raisi aweza amua kutokukuteua tena,Profesa Assad alimaliza kipindi chake cha uteuzi vizuri kabisa.Raisi akaacha kumteua,Hicho kipindi wakati anamuacha alikuwa na miaka 58 uteuzi inataka ateuliwe kwa kipindi mfano miaka mitano angempa tena asingefit hiyo miaka angetumiakia miaka miwili tu!!! anaondoka sababu kafika miaka 60 tayari.Profesa ASSAD aliondolewa kipindi cha uteuzi kilipoisha anacholialia humu anadhani kuwa kipindi chako cha uteuzi kama ni miaka mitano basi kikisha ni automatc Raisi atake asitake lazima akupe kipindi cha pili

Kiufupi Profesa ASSAD ni mtu aliyebebwa bebwa tu kufikia hapo alipo lakini kwa uelewa anao mdogo mno ni mtu wa kawaida sana tu

Pili ni makosa kumwita Profesa.
Yeye cheo chake alichoondoka nacho kabla ya uteuzi ni ASSOCIATE PROFFESSOR SIO PROFESA!!! aliondoka chuo kikuu akiwa hajafikia ngazi ya Profesa.Kumwita Profesa ni utapeli mwingine ni sawa na kumwita Luteni Kanali kuwa ni kanali

Hakuwa na uwezo wa kufikia u profesa kaishia u Associate Professsor .Ni makosa kumwita Proffessor.Hicho kiwango hajafikia ndio maana namwita profesa uchwara sababu hajafikia
 
Pumba tupu
 
akili za watu waliolaaniwa izi.
 
Profesa uchwara aliyejifanya mhimili wakati mihimili iko 3 tu.

Ajaribu kugombea urais basi labda timu gaidi watamsajili 2025.
Mimi hata huwa sikuelewi, comment zako zote ni za hovyo hovyo! sana. Hivi wewe Mke au MME? Acha roho mbaya. Roho mbaya hailipi na utakufa nayo.
 
Tanzania bado tuna safari ndefu sana kimaendeleo na kifikra, kwahiyo na upo upande wa viongozi ambao hawataka tujulishwe kuhusu upotevu wa ile 1.5tl? Haya ni maajabu kwakweli

Ulichokiandika unakijua wewe mwenyewe
 
Mimi hata huwa sikuelewi, comment zako zote ni za hovyo hovyo! sana. Hivi wewe Mke au MME? Acha roho mbaya. Roho mbaya hailipi na utakufa nayo.
Usipate shida na huo msukule alive, sadist wa Lumumba.
 
Niliondolewa Ofisini kinyume na taratibu kwa sababu nilikuwa nasimamia na kufanya kazi kwa kufuata taratibu na miongozo ya kazi na sio maelekezo ya mtu,kuna mahali viongozi wetu wanashindwa kusimamia wanachokiamini kwa hofu ya kuporwa V8, wanahofu kukosa riziki.

Hili suala la kuniita CAG aliyemaliza muda wake binafsi linaniudhi, katiba ibara ya 144 inatamka wazi muda wa kumaliza na sababu za kukoma kuwa CAG, mimi nilipotolewa ofisini sikuwa nimemaliza muda wangu. Nadhani hatukuwa wazuri katika kusimamia katiba.

Mussa si jina langu, jina alilonipa baba yangu ni Jaffar. Wakati nasoma kulitokea matatizo fulani, ikabidi nitoke sehemu moja kwenda nyingine ili kumaliza masomo na hili jina la Mussa nikalipata huko ila watu wanaonifahamu wananijua kama Jaffar- Profesa Mussa Assad, CAG wa zamani.
View attachment 1966446
Huyu Prof naye alikuwa coward, kuna wakati na yeye alikuwa anadanganya kuhusu ukaguzi ivyo ivyo akihofia ugali wake, lakini jengine nilomtoa maanani na taaluma yake kama si ya kufoji ni kuhusu maoni yake juu ya katiba mpya.

Katiba ya Tanzania haiakisi tena mahitaji ya sasa mtu yoyote ata ambaye sio msomi anaweza kusema hili., inaonekana na yeye Assad pia kuna mahali kisiasa ametega kwa mama Samia, bado tunamuona ana unafiki ule ule kama wenzake tu., Lipumba alitakiwa aseme maneno hayo kuunga mkono katiba ya zamani lakini sio Assad., lakini ata huyo Lipumba basi amekiri katiba hii imepitwa na wakati.

Mapfrofesa wa bongo ni mashaka matupu, siku zote taaluma zao it is good for nothing., they are not true
 
Niliondolewa Ofisini kinyume na taratibu kwa sababu nilikuwa nasimamia na kufanya kazi kwa kufuata taratibu na miongozo ya kazi na sio maelekezo ya mtu,kuna mahali viongozi wetu wanashindwa kusimamia wanachokiamini kwa hofu ya kuporwa V8, wanahofu kukosa riziki.

Hili suala la kuniita CAG aliyemaliza muda wake binafsi linaniudhi, katiba ibara ya 144 inatamka wazi muda wa kumaliza na sababu za kukoma kuwa CAG, mimi nilipotolewa ofisini sikuwa nimemaliza muda wangu. Nadhani hatukuwa wazuri katika kusimamia katiba.

Mussa si jina langu, jina alilonipa baba yangu ni Jaffar. Wakati nasoma kulitokea matatizo fulani, ikabidi nitoke sehemu moja kwenda nyingine ili kumaliza masomo na hili jina la Mussa nikalipata huko ila watu wanaonifahamu wananijua kama Jaffar- Profesa Mussa Assad, CAG wa zamani.

mmmh
 
Kabisa yaani .
 
Kwani CAG ni uteuzi wa kudumu? Wajuzi mnisaidie
 
Chuma kimeshaoza now
Analazimisha kuonekana ni mtu msomi anaejielewa ana misimamo.

Bahati mbaya alikutana na Chuma.

Nilichokuwa nampendea yule baba JPM ukijifanya wewe ni wa muhimu sana kwenye hii nchi yeye anakuonesha namna ulivyo takataka tu na nchi inaweza kwenda mbele bila wewe hahahah.

Profesa uliondolewa na kidume sasa unalialia nini!!?
 
Back
Top Bottom