Bill Lugano
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,189
- 6,450
Kwa watu msiomfahamu Mwalimu Lwaitama ndio mtaona hilo.Anatafuta kiki
Akipewa tonge atayakana hayo aliyosema
Ili iweje? Kutafuta kiki ni kusema ama kufanya kitu kiuongo uongo ama kilaghai ili upate sifa. Kwenye maelezo ya Lwaitama kipi cha uongo?Anatafuta kiki
Anatafuta kiki
Hahahaa...... Umenikumbusha Prof Kitila alivyoponda teuzi za maprofesa wa Udsm lakini siku aliyoteuliwa yeye alisahau hata kuwaaga wanafunzi wake......!Akipewa tonge atayakana hayo aliyosema
Yaani CCM hamna wema, Leo mnamsimanga mtu mliedai kauona mwanga!!?? Na kwa maneno yako haya kumbe ni kwelil kuwa huwa mnahonga watu ili wawaunge mkono!Hahahaa...... Umenikumbusha Prof Kitila alivyoponda teuzi za maprofesa wa Udsm lakini siku aliyoteuliwa yeye alisahau hata kuwaaga wanafunzi wake......!
Tanzania inawahitaji akina Lwaitama wengi zaidi kuliko akina Benson Bana
Halafu wewe mleta mada kajifunze kazi za usalama wa Taifa ni nini, kamwe siyo kuzuia watu kutoa maoni ambayo ni haki yao kwa mujibu wa Katiba.
Usalama wa Taifa ni kwa ajili ya usalama wa Taifa na si kwa ajili ya kumlinda mtu asishindwe na wenzie kisiasa.
Kama kuna usalama wa Taifa wa kulinda ambition za mtu za kisiasa badala ya kulinda Taifa, basi inabidi wakapigwe msasa tena huko Israel, Ujerumani na Russia ili walielewe vizuri somo la nini maana ya kuwa usalama wa Taifa .