Tetesi: Prof Azaveli Lwaitama unahatarisha sana Mustakabali wako, nini shida mzee?

Tetesi: Prof Azaveli Lwaitama unahatarisha sana Mustakabali wako, nini shida mzee?

Bill Lugano

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
1,189
Reaction score
6,450
Nmekuwa nikimsikiliza sana huyu msomi ambaye huongea anachoamini pasipo kuuma uma maneno. Najiuliza anajiamini nini? Kwa nini ameamua kuchagua fungu hilo?

Maneno ambayo huongea ni makali sana na yanaweza kuwa yanachoma.anataka kukimbia.swali. je ameagana na nyonga?

Haya maneno... Si ya kuyapuuza. Usalama wa taifa ...mmeyasikia maneno yake kwa umakini kabisa? Mmeyasikia yalivyo na ukakasi?yanavyochoma? Mmemsikia?

Haya. Mumlinde. Kuna mijitu mipumbavu inaweza taka kumdhuru.
 
Attachments

Tanzania inawahitaji akina Lwaitama wengi zaidi kuliko akina Benson Bana

Halafu wewe mleta mada kajifunze kazi za usalama wa Taifa ni nini, kamwe siyo kuzuia watu kutoa maoni ambayo ni haki yao kwa mujibu wa Katiba.

Usalama wa Taifa ni kwa ajili ya usalama wa Taifa na si kwa ajili ya kumlinda mtu asishindwe na wenzie kisiasa.

Kama kuna usalama wa Taifa wa kulinda ambition za mtu za kisiasa badala ya kulinda Taifa, basi inabidi wakapigwe msasa tena huko Israel, Ujerumani na Russia ili walielewe vizuri somo la nini maana ya kuwa usalama wa Taifa .
 
Anatafuta kiki

Huu unafiki ndo unaotugharimu Wabongo na Wadanganyika. Mtu anaongea HOJA YA MSINGI wewe unasema anatafuta kiki...Nonsense!
Dr. Lwaitama yuko vizuri sana UPSTAIRS tena sana kuliko hawa Ma-profedha.na Madaktari Kanjanja kama kina Ka-BUNDI na BENSON BURNER n.k. Anachoongea Lwaitama hapa ni UKWELI ambao hata MAGUFULI anaujua vizuri tu sema tu ni HICHO KIBURI, UDIKTETA na JEURI UZIMA. Lakini mwisho wa siku KATIBA MPYA NI LAZIMA.
 
Hahahaa...... Umenikumbusha Prof Kitila alivyoponda teuzi za maprofesa wa Udsm lakini siku aliyoteuliwa yeye alisahau hata kuwaaga wanafunzi wake......!
Yaani CCM hamna wema, Leo mnamsimanga mtu mliedai kauona mwanga!!?? Na kwa maneno yako haya kumbe ni kwelil kuwa huwa mnahonga watu ili wawaunge mkono!
 
Wewe unaonekana kilaza sana na hukulelewa vizuri au hukupata elimu ya kutosha. Ubongo wako utakuwa umemeguka. Mtoa mada ametoa ombi kwa usalama wa taifa kumlinda wewe unakuja kuharisha humu hata hujui ambacho kimeandikwa.lipumbah kweli wewe.

Tanzania inawahitaji akina Lwaitama wengi zaidi kuliko akina Benson Bana

Halafu wewe mleta mada kajifunze kazi za usalama wa Taifa ni nini, kamwe siyo kuzuia watu kutoa maoni ambayo ni haki yao kwa mujibu wa Katiba.

Usalama wa Taifa ni kwa ajili ya usalama wa Taifa na si kwa ajili ya kumlinda mtu asishindwe na wenzie kisiasa.

Kama kuna usalama wa Taifa wa kulinda ambition za mtu za kisiasa badala ya kulinda Taifa, basi inabidi wakapigwe msasa tena huko Israel, Ujerumani na Russia ili walielewe vizuri somo la nini maana ya kuwa usalama wa Taifa .
 
Kwan mtoa mada kasemaje?

[UOTE="VAPS, post: 29522638, member: 92403"]Kabisa nimefatilia clip you tube ni ya kawaida sana. Prof. Lwaitama yupo sawa.[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom