Safari alishakaa pembeni usimuunganishe na hao wengine, anajitambuamaprof wana ikili hao, yaan wajiingize kwenye mambo yakipuuz yakina juakal,silinde na wale mamaza wahuni, hawa wanasovu ishu mchangamano sio umbea na wawale mamaza wahuni
Kwa hiyo CCM ikishindwa, ni halali pia CHADEMA kushindwa? Love of comfort.Nilidhani una nia ya dhati kusaidia nchi.Wawili hao ukiwalinganisha na utitiri wa "wasomi wenye digrii zaidi ya 4"walioko ccm na serikalini walioshindwa kusaidia nchi kuwa sehemu yenye amani,ustawi na haki unaona wanastahili kutupiwa mzigo wote wa lawama?
Kuna ma-Dr.waliotenguliwa teuzi wakaanza kulia lia na wengine kusema "waliokotwa majalalani"achilia mbali waliosema ccm kutumia mabavu kubaki madarakani ni halali. Hayo ni matokeo ya Elimu yetu,usiwalaumu.
Sijatumia neno "kushindwa". Nimesema "kulaumu".Waliotajwa ni Prof.Safari na Baregu na nimezungumzia mfumo! Hata kina Lamwai hawakuweza kuinusuru NCCR -MAGEUZI kuporomoka. Hawakujua mfumo (siasa na elimu"una nafasi gani.Kwa hiyo CCM ikishindwa, ni halali pia CHADEMA kushindwa? Love of comfort.
Sijui kama unajua kuwa Prof. Safari aliishaondoka Chadema kwa sababu hizo hizo unazozisema.maprof wana ikili hao, yaan wajiingize kwenye mambo yakipuuz yakina juakal,silinde na wale mamaza wahuni, hawa wanasovu ishu mchangamano sio umbea na wawale mamaza wahuni
Lugha anayoijua huyo mlumumba ni moja tu; ya mapambio, ambayo ndio muhimu zaidi kwa tumbo lake.Sijatumia neno "kushindwa". Nimesema "kulaumu".Waliotajwa ni Prof.Safari na Baregu na nimezungumzia mfumo! Hata kina Lamwai hawakuweza kuinusuru NCCR -MAGEUZI kuporomoka. Hawakujua mfumo (siasa na elimu"una nafasi gani.
Yaonekana tunashindwa kuelewana nini tunachozungumzia.
Mkendaaaaa nimekusomaUtakaa sana,Chadema ipo na itakuwepo,kesho ni njema kuliko jana.
Chadema haifi. Msimu huu wa uchaguzi tunatazamia kuona watu wengi wakihama na hasa wale walikuwa viongozi na wakiangalia hali wanaona hawatapita kwenye mchujo ndani ya Chama. Tunatazamia kuwaona kina Lijualikali wengi. Hasa wakati ule wa kikao cha mwisho cha mchujo wengi watatangaza kuhama. Tumejiandaa kisaikolojia. Chadema ni taasisi imara na hakifi. Safari hii ushindi utakuwa mkubwa sana kuliko uchaguzi uliopita. Kama tu uchaguzi ungekuwa huru chini ya tume huru ya uchaguzi, Chadema kina nafasi na uwezo wa kushinda ngazi ya uraisi na wabunge zaidi ya nusu. Hamahama hiyo ni kawaida na hatutishiki wala hatudanganyiki.Utakaa sana,Chadema ipo na itakuwepo,kesho ni njema kuliko jana.