TANZIA Prof. Cosmas Mligo wa UDSM afariki dunia

TANZIA Prof. Cosmas Mligo wa UDSM afariki dunia

Watu wana maradhi yao msisingizie clinic epukeni ukimwi
wacha kujificha kwenye UKIMWI tumekua nao tangu mwaka 70 huko kwamba leo ndo uchachamae kuua hivi ili hali ARVS zipo

acha woga ni changamoto hii,usifiche ukweli
 
R.I.P Prof. Nilimfahamu toka 2006 nilipoingia UDSM mwaka wa kwanza alikuwa Mwalimu mzuri sana wa Botany
 
Changamoto yetu ni ile ile...tunaendelea....maswaliiii.....
 
Eeeh, Bana! Hii hatari sasa. RIP Professor Cosmas Mligo. Poleni sana familia, ndugu, jamaa, marafiki , watu wote wa Morogoro na Tanzania nzima.
 
Kwamujibu wa taarifa hii, mauti yamemkuta Prof akiwa katika kituo cha afya cha chuo.

Hii tafsiri yake Prof ameondoka baada ya kuumwa kwa muda mfupi huenda ni masaa kadhaa tu. Vinginevyo angekuwa katika hospital kubwa zilizoko jijini Dar es Salaam.
 
Back
Top Bottom