Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,030
- 20,391
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
RIPpole sana kwa wafiwa
Acha ukabila, tafuta pesaWana MIVA tumepoteza mtu muhimu sana. Pia sikujua kama alikuwa ni Professor mpaka nilipoona barua inayomtambulisha kuwa ni professor. Na alikuwa ni msomi wa level ya PhD peke yake pale kijijini kwetu.
Professor Cosmas Mligo alikuwa mzaliwa wa Kijiji cha Miva, mkoa wa Njombe. Nimeandika hivi ili wale wanao changanya kuwa alikuwa wa wapi wajue.
POLE KWA WASOMI WOTE.