TANZIA Prof. Cosmas Mligo wa UDSM afariki dunia

TANZIA Prof. Cosmas Mligo wa UDSM afariki dunia

Nawaza tu, nikifa Leo nitakua boonge la looser maana nimejinyima sana ktk maisha yangu ili kutengeneza the so called "FUTURE" kumbe muda wowote mtu unakufa na unakua hujala maisha effectively!
Mmh mkuu umeniwazisha sana
 
RIP Professor Cosmas.

Mkuu nisaidie manake acha tu Kiswahili kiheshimiwa. Nimejaribu sana ku-guess Kizungu cha "Idara ya Elimu Mimea, Ndaki ya Sayansi Asilia na Tumizi." hadi nikachoka hadi ninapokutana na hiyo CONAS!! Inawezekana ikawa ni "College of Natural Applied Science" kwenye kitivo cha Botany?! Kama ndiyo, "Ndaki" ndo nini?
Ndaki ni college mkuu

Sent from my Infinix X623 using JamiiForums mobile app
 
Nilikuwa namuona mtaani ni ngumu kuamini kama alikuwa Profesa

Dunia Tunapita

Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
Jamaa alikua kichwa Sana, mtu na nusu kwa lugha ya mtaa. Akili kubwa, halafu Yuko simple tu. Hana majivuno hata kidogo. Ana machapisho kibao ya kisayansi kwenye journals za kimataifa. Alijua kufundisha na kuinua wanyonge! Nimeumia sana. Lakini Mungu ndio anajua zaidi.
 
RIP Professor Cosmas.

Mkuu nisaidie manake acha tu Kiswahili kiheshimiwa. Nimejaribu sana ku-guess Kizungu cha "Idara ya Elimu Mimea, Ndaki ya Sayansi Asilia na Tumizi." hadi nikachoka hadi ninapokutana na hiyo CONAS!! Inawezekana ikawa ni "College of Natural Applied Science" kwenye kitivo cha Botany?! Kama ndiyo, "Ndaki" ndo nini?
Mkuu tafuta hii kitu Ethanobotany
 
Jamaa alikua kichwa Sana, mtu na nusu kwa lugha ya mtaa. Akili kubwa, halafu Yuko simple tu. Hana majivuno hata kidogo. Ana machapisho kibao ya kisayansi kwenye journals za kimataifa. Alijua kufundisha na kuinua wanyonge! Nimeumia sana. Lakini Mungu ndio anajua zaidi.
Asante Mungu akubariki kwa kumuelezea vizuri Prof Mligo!

jamaa alikujaga mazoezi kutufundisha Biology pale Tosamaganga, hatukuwa na mwalimu wa A level kwa muda mrefu! kwanza akatupga test ngumu nakumbuka nlipata 26 ya 100 ndio nliongoza! nia yake asifufanye tukajipa moyo kuwa masomo ni rahisi! akaamsha ari ya kusoma mpaka tukafanya vizuri final!

Wazuri wanaondoka wanabaki vichwa panzi daaah
 
“Idaya” ya Elimu mimea?

Nani mwandishi wa hilo tangazo??

Sitaki kuamini UDSM imeshuka viwango kiasi hicho.

I digress....

Pole zao wafiwa [najua wale anti-Magufuli in everything brigade wanazifurahia hizi habari].

Hauko peke yako kuwa mna matatizo na typo mistake zaidi kuliko ukweli la coruna anaye pukutisha watu.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Mie ni class mate wangu tumehitimu form 4 Uwemba sec ipo Njombe.Very sad kumpoteza mate wangu.Imenishtua Sana.
Mwenzio katoboa mpaka PhD Kisha Uprofesa wewe umebaki na form 4 leaving certificate! This world is not fair.
 
Mie
Mwenzio katoboa mpaka PhD Kisha Uprofesa wewe umebaki na form 4 leaving certificate! This world is not fair.
Lakini mie sikutaka kusema level ya Elimu niliyofikia ingawa ni kweli sijafika alipofika yeye.Lakini si haba Nina maisha ambayo naamini si haba nashukuru Mungu.
 
Haka ka changamoto nako kameambiwa kalambe kuanzia 60+ ila kuna muda kanakosea.

RIP Prof kijana...so sad.
Jichungeni tu hakuna cha wazee wala vijana wanapiga kotekote! Mlitaka kutunyanyapaa sana sisi wazee!
 
Mwenzio katoboa mpaka PhD Kisha Uprofesa wewe umebaki na form 4 leaving certificate! This world is not fair.
Umejuaje kwamba amebaki na Form IV Leaving Certificate?! Au aliosoma nao marehemu O-Level wote waliishia kupata cheti cha kuhitimu pekee?!
 
Back
Top Bottom