Triple G
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 3,018
- 4,369
Ilitosha tu kutuambia kuwa alikusimamia kwenye sp yako,hayo Mambo ya kupata A hakukuwa na ulazima huo kwa Kweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilitosha tu kutuambia kuwa alikusimamia kwenye sp yako,hayo Mambo ya kupata A hakukuwa na ulazima huo kwa Kweli.
Mwaka gani?Mie ni class mate wangu tumehitimu form 4 Uwemba sec ipo Njombe.Very sad kumpoteza mate wangu.Imenishtua Sana.
Kama siyo kwa Dr Gwajima,na wao kwa Nini wasitoke hadharani na kutangaza kwa Taifa zima Dawa ya Corona ni mchanganyiko fulani Kama ni kweli Dawa wanayo! Maana msije na vitangazo vyenu Mbuzi vya kuwapiga Watu kupitia tahaaruki ya hili gonjwa la Corona!!acha ujinga! unafkiri ni kwa Dr gwajima hapo?
Hongera bwana.Sasa hivi upo wapi kimaisha?.Sijawahi kupata Sap tangu naanza chuo Udsm pale
yeah miaka 48 da hata hajakula maisha sanaProf mtoto kabisa huyu . Poleni sana
Nipo napambana tu..nina maisha ya kawaida sana kiongozi saa nyingine hata mlo mmoja kwa siku ni shida nisaidie kiongozi kama naweza pata ajira!!Hongera bwana.Sasa hivi upo wapi kimaisha?.
Mi nimejifungia ghetto.
RIP
Mtu yyte anayefariki pumzi lazima ikateKwani umeambiwa Marehemu kafa kwa changamoto ya upumuwaaji!?
Mkuu, ufafanuzi pls..UDSM okoeni uhai wa staff wenu wenye changamoto upumuaji! wapelekeni sinza kijiwen kuna clinic inaitwa ZOMOLA
Kweli mkuu, kurona itaua nchi zote duniani kasoro tz tu ndio maana huwezi sikia mtu kafa kwa korona zaidi ya kusingiziaCorona isisingiziwe! maana sasa hivi wengi wana tabia ya kusingizia Corona
"Ndaki ya sayansi asilia na tumizi" badala ya,"ndani ya sayansi asilia na tumizi".“Idaya” ya Elimu mimea?
Nani mwandishi wa hilo tangazo?...