TANZIA Prof. Cosmas Mligo wa UDSM afariki dunia

TANZIA Prof. Cosmas Mligo wa UDSM afariki dunia

Dah Jamaa kala kitabu balaa..Sad that we have lost a very young and energetic Prof.
 
Aiseeh huyu ndio alinipa "A" kwenye reseach project yangu ya mwaka wa 3 Pale CONAS botany department!! Very sad kwa kweli, Mwenyez Mungu ailaze Roho yake mahala pema!!
Ilitosha tu kutuambia kuwa alikusimamia kwenye sp yako,hayo Mambo ya kupata A hakukuwa na ulazima huo kwa Kweli.
 
Aiseeh huyu ndio alinipa "A" kwenye reseach project yangu ya mwaka wa 3 Pale CONAS botany department!! Very sad kwa kweli, Mwenyez Mungu ailaze Roho yake mahala pema!!
RIP Professor Cosmas.

Mkuu nisaidie manake acha tu Kiswahili kiheshimiwa. Nimejaribu sana ku-guess Kizungu cha "Idara ya Elimu Mimea, Ndaki ya Sayansi Asilia na Tumizi." hadi nikachoka hadi ninapokutana na hiyo CONAS!! Inawezekana ikawa ni "College of Natural Applied Science" kwenye kitivo cha Botany?! Kama ndiyo, "Ndaki" ndo nini?
 
Zinafikirisha nini?
Nawaza tu, nikifa Leo nitakua boonge la looser maana nimejinyima sana ktk maisha yangu ili kutengeneza the so called "FUTURE" kumbe muda wowote mtu unakufa na unakua hujala maisha effectively!
 
“Idaya” ya Elimu mimea?

Nani mwandishi wa hilo tangazo??

Sitaki kuamini UDSM imeshuka viwango kiasi hicho.

I digress....

Pole zao wafiwa [najua wale anti-Magufuli in everything brigade wanazifurahia hizi habari].

U are mad nani anafurahia kifo ?? tatizo ni nyie na propaganda za kishenzi.
 
Back
Top Bottom