PreGE2025 Prof. Eginald PAN Mihanjo: CCM ijiandae kuwa chama cha upinzani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hayo ni maneno ya kuokoteza km kawaida yenu nyie wapumbavu. Ht km hayo ni mawazo yake na mengi ni uwongo, kwamba asingepita? Huyo mzee akili imeshachoka
 
Hamjazoea kusikia wasomi kama huyu bobezi wa historia, stratejia akiongelea udhaifu wa CCM na dhana potofu kuwa wapo wengi.

Tunahitaji wazee kama hawa tuwasikilize wajitokeze wahojiwe walio tofauti na wapiga stori Prof. Palamagamba Kabudi
Alikuwa wapi sk zote, hayo mawazo yake na aache uwongo. Wazee km hao wakiona muda umeenda na hajapata nafasi ya maana wanakuwa km wachawi
 
Dunia na Tanzania yasimama kufuatilia kesi ya Tundu Antipas Lissu iliyo endelea kusikilizwa leo tarehe 12 June 2025.

Teknolojia na vikosi vya No Reforms No Election leo vimeizidi nguvu wizara ya habari na propaganda ya dola ya Tanzania.

Hali hii imeistusha kundi la mahafidhina ndani ya CCM wanaotaka miaka mitano mingine kwa Mama.

VIEWS KATIKA MITANDAO YOTE INAONESHA UMAARUFU WA VUGUVUGU / MOVEMENT

1. CLIP KESI NZIMA LIVE : MILLARD AYO

VIEWS 219,000

2. CLIP YA LISSU VS WAKILI WA SERIKALI

VIEWS 201,000

3. CLIP YA : LISSU AONGEA KWA UCHUNGU MAHAKAMANI "NAKAA SEHEMU YA WALIOHUKUMIWA KIFO WAKATI SIJAHUKUMIWA KIFO"​


VIEWS 252,000
 
16 June 2025
Dar es Salaam, Tanzania

#ENGLISH: PRELIMINARY INQUIRY OF TREASON CASE REPUBLIC VS TUNDU LISSU AT KISUTU RM's COURT


View: https://m.youtube.com/watch?v=sEFk6GfKrlkTanzanian opposition politician Tundu Lissu has protested his treatment in prison. While appearing before Kisutu Magistrate’s Court in Dar es Salaam, the CHADEMA leader was granted right to represent himself in ongoing treason case against him. Lissu, whose CHADEMA party was disqualified from the October 2025 elections, was arrested for his call for electoral reforms before the polls. Rights organizations have called his arrest and detention a political persecution of opponents in tanzania, calling for openness and accountability.

View: https://m.youtube.com/watch?v=JGrWbVCFClY
 
17 June 2025

Mwenyekiti wa CCM Taifa Dr. Samia Suluhu Hassan , aelezwa changamoto kubwa za Kisesa, Meatu, Simiyu kanda ya Ziwa

Luhaga Mpina Afunguka Mbele ya Rais Samia, Wananchi Wamashangilia Mwanzo -Mwisho : 'Kisesa Tunakudai​


View: https://m.youtube.com/watch?v=gESQXenMkZ4Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina ameeleza changamoto mbalimbali zinazowakabili wananchi wa Jimbo la Kisesa, ambapo agusia maswala ya barabara, changamoto katika pamba na mambo mengine. Mpina ameongea haya kwenye hafla ya kufungua Kiwanda cha kuchakata pamba na Kuhutubia Wananchi wa Mkoa Simiyu, leo tarehe 17 Juni, 2025.
N.B :
anasema Prof. Mihanjo na anadadavua kwa kina :
  • 2015 CCM ilikuwa ipotee
  • Kanda ya Ziwa ilibeba CCM chini ya JPM

17 June 2025
Akiyajibu maombi aliyotoa mbunge Luhaga Mpina, Rais Samia Suluhu Hassan amemkosoa mbunge huyo na kueleza kuwa hakulitendea haki jimbo lake..

View: https://m.youtube.com/watch?v=lBK1ZkTkg8U
 
Rais Samia Suluhu Hassan amemkosoa mbunge huyo na kueleza kuwa hakulitendea haki jimbo lake

Amlipu mbunge wa Kisesa


View: https://m.youtube.com/watch?v=bUHv7OhYLzA
 
Prof. Eginald PAN Mihanjo :
  • Vijana ambao ndiyo wengi wanaona kuwa matatizo yote ya kukosa ajira, masoko na maisha magumu ni sababu ya CCM
  • Ikiwa vijana wengi watajitokeza kupiga kura 2025, itakuwa balaa kubwa kwa CCM
  • Mkutano Mkuu wa

22 June 2025

WANAFUNZI WA VYUO VYA JUU WATOA TAMKO ZITO MUDA HUU


View: https://m.youtube.com/watch?v=77iWzBvfD2gVijana hao wanatioka vyuo mbalimbali ikiwemo UDSM, NIT n.k
  • Wachambua hali ya kisiasa yenye maono mbalimbali
  • Kutiki October 2025
  • No Reforms No Election
  • Amani ya kudumu hupatikana kwa kupitia haki
  • Uchaguzi huru hautampa ushindi wa wa asilimia 100%
  • Bunge la Dodoma lamulikwa
  • Umuhimu wa elimu zaidi ya kusoma na kuandika kwa wawakilishi / viongozi wa kisiasa, maana dunia imebadilika
  • Utamaduni sasa ni UCHAWA
  • Jamii kwa sasa imeshindwa kuchambua mambo ya msingi, na hili hasi ipo hadi bungeni
  • Masikitiko juu ya kundi la No Reforms No Election limenyimwa sauti kwa kila mbinu
  • Kura ya mpiga kura haifahamiki kama kweli itafanya matarajio ya mpiga mkura
  • Takwimu za UNICEF 70% ni vijana lakini bajeti ya taifa iliyosomwa 2025 haiendi kumgusa kijana ktk hali chanya mfano imepunguza vinywaji kama pombe, energy drinks
  • N.k
 
Msomi wa digrii ya sayansi ya siasa na uchumi kutoka Chuo Kikuu cha Lumumba cha Moscow Russia azungumza


View: https://m.youtube.com/watch?v=nortjuXjkoUTumeikataa CCM asema mkongwe huyo mwenye ufahamu wa ndani wa siasa za Tanzania ambaye alipelekwa Urusi kusoma ktk chuo kikuu tajwa duniani.

Na aliporejea alipata kuwa mkuu wa wilaya ya Iringa miaka ya RC Mkuu wa mkoa Dr. W.A Kleruu akalaumiwa kutomlinda mkuu wa mkoa na hasira za wahehe.

Baada ya kuonekana hakuwa na uhusika kwa yaliyompata Dr. Kleruu aliyepigwa risasi na mkulima Mwawindi, DC huyu akahamishiwa DSM kuwa mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Rufiji, Njombe kisha baadaye kutimuliwa na kufutwa uanachama wa CCM
 

27 June 2025

SAUTI ZA NO REFORMS NO ELECTION ZASIKIKA LEO KIVUKONI FRONT


View: https://m.youtube.com/watch?v=28_8CnamIfw
 
Prof. Mihanjo na anadadavua kwa kina :
  • 2015 CCM ilikuwa ipotee
  • Kanda ya Ziwa ilibeba CCM chini ya JPM
  • Rais wa sasa aliyeingia kwa ajali, awe makini sana
  • Rais aliyepo atapitia wakati mgumu March 2025 - June 2025

27 June 2025

BUNGENI LEO 27 JUNE 2025
Mhimili wa Bunge wahitimisha miaka 5 kama bunge la chama kimoja, he wananchi wanasemaje kuhusu 2020 - 2025 kuhusu utendaji wa bunge :


View: https://m.youtube.com/watch?v=OgQb6p8h4-k
 
CCM kuwa madarakani miaka 60 ni fursa lakini ni changamoto kubwa kwa CCM

27 JUNE 2025

YEREMIA MAGANJA - CCM NI DUBWANA FULANI, KIKWETE, MAGUFULI, SAMIA PAMOJA NA UTASHI WAO HAWAWEZI KULIGEUKA DUBWANA HILI

Afafanua kuhusu chama dola hiki kongwe jinsi kinavyowashinda viongozi wa CCM pale wanapotaka mabadiliko

View: https://m.youtube.com/watch?v=KHUdEs5l20kHotuba ya leo kuvunja Bunge la Dodoma, mwanasiasa mkongwe aliyeona mengi ya CCM kuhusu utashi
  • Siasa ya chama kimoja kushikamana na vyombo vya dola
  • Watanzania wanapewa matumaini hewa
  • Uongozi wa maguvu dhidi ya NO REFORMS NO ELECTION
  • Mabadiliko ya katiba ni ndoto wakati CCM ni chama dola siyo chama cha siasa
  • Mwenyekiti wa kijiji ana uwezo wa kuvunja katiba bila kuulizwa
  • Viongozi wote wa CCM toka ngazi ya kijiji hadi ngazi ya mwenyekiti wa CCM taifa wapo juu ya katiba ya nchi, mahakama na jeshi la Polisi maana hata kiongozi wa kijiji wa CCM hawezi kukamatwa na vyombo vya dola
 

29 June 2025

WASOMI WAIBUA MAPYA KWENYE UCHAGUZI ,WASEMA "MIFUMO YA BADO HAIPO SAWA INAPASWA KUBADILISHWA"​



View: https://m.youtube.com/watch?v=_ZpJMAZzdEM
 
SHEIKH AFAFANUA SHARIA YA KUWA MWANAMKE HAWEZI KUWA RAIS, HAIWEZI KUTUMIKA TANZANIA


View: https://m.youtube.com/watch?v=MYhmGz6GK6k
NI baada ya mawazo mbalimbali ya wanazuoni wa dini ya kiIslamu kutoa maoni na kauli kuhusu Tanzania kuongozwa na rais wa jinsia ya kike.

Sheikh mwanazuoni akirejea hadithi mbalimbali za kiislamu asema kwa waTanzania kila mtu ana dini yake, kiongozi wa nchi yetu hachaguliwi kwa dini yake ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…