PreGE2025 Prof. Eginald PAN Mihanjo: CCM ijiandae kuwa chama cha upinzani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Citizen ndio funza gani!!? Ya kwao yanawashinda wanakazana kucheza ngoma isiyowqhusu, kwanza kwani shida za wakenya zimeisha zote!!??

Jopo huru la wanahabari, tofauti na lile la watu wa minyama la Wasafi Media.

Sasa media zenye base nchini Kenya zimekuwa vyanzo vya uchambuzi wa kina wa hali ya kisiasa, kijamii na kidemorasia pamoja na haki za kuishi za waTanzania
 
Hawana habari za Kibera huko na wachungaji wanaoua wafuasi wao na kuuza Figo??
 
Pretoria, Republic of
South Africa

Road to Tanzania’s presidential election paved with blood and fear​

By Correspondent
Tanzania 1

(Alinanuswe Mwanguku/AFP)
Last month, on the day Pope Francis died, the most senior Catholic priest in Tanzania was fighting for his own life.

Father Charles Kitima, the secretary-general of the Tanzania Episcopal Conference, was in the Aga Khan Hospital in Dar es Salaam. He had been assaulted the night before. The attack occurred inside the national headquarters of the Catholic Church, where Father Kitima resides.

The attackers did not identify themselves but clearly intended to cause grievous harm; sources said the priest was struck forcefully in the head with a blunt object.
According to local publication The Chanzo, the attack happened hours after a recording of him went viral on social media, in which he criticised “lawlessness” ahead of the presidential election.

Father Kitima remains in hospital. Police have arrested one suspect and confirmed that investigations are ongoing.

The attack conforms to a troubling pattern. In recent months, there has been a spate of abductions, assaults, arrests and murders in Tanzania.
Tanzania 2
Father Charles Kitima was attacked after condemning lawlessness ahead of the elections.

The victims seem to have one thing in common: they are all opponents or critics of the government of President Samia Suluhu Hassan, who is running for election in October 2025.

This campaign of intimidation is so crude that, on Thursday, the European parliament passed a resolution urging “Tanzanian authorities to end the escalating crackdown … against opposition members, human rights defenders, indigenous peoples, activists, journalists and civil society organisations, and to independently investigate police abuses and enforced disappearances”.

In a statement, Tanzania’s foreign ministry rejected the findings of the European parliament, saying it was based on “incomplete or partisan information” that “misrepresents the situation on the ground”.

Opposition in the cross-hairs
It is an especially dangerous time to be associated with CHADEMA, the largest opposition party, whose leader Tundu Antipas Lissu was arrested in April while speaking at a public rally in Songea Ruvuma region in southern Tanzania.

From there, he was transported 13 hours by road to Dar es Salaam, and charged on two counts, including treason — which carries the death penalty — for allegedly inciting people to obstruct the upcoming election.
On the day that Lissu was charged, several of his supporters were arrested, beaten and injured as they tried to make their way to the Kisutu Chief Resident magistrate’s court in Dar es Salaam.

In another incident, a well-known party member in Mbeya, Mpaluka Said Nyagali, popularly known as Mdude, was abducted from his home in the middle of the night last week. He is still missing.

There have been reports of other party members who have been abducted or arrested, in some instances with reports of involvement from state security officials.
Lissu
Arrested: Tundu Lissu, leader of Tanzania’s main opposition party, CHADEMA. (Eric Boniphace/AFP)

“The country is not safe,” said Boniface Mwabukusi, the president of the Tanganyika Law Society TLS, in response to Mdude’s abduction. Mwabukusi alleged that it was police officers who assaulted Mdude before forcibly abducting him.
“This is yet another disturbing incident that adds to the growing concerns over public safety.”

Tanzania’s police inspector-general, IGP Camillus Wambura, did not respond to a request for comment.
Another incident that shocked the nation involved the abduction and murder of CHADEMA secretariat member Ali Mohamed Kibao last September (2024) . He was forcibly removed from a public bus in Tegeta, Dar es Salaam, while travelling to Tanga. His body was discovered the next day in the capital’s Ununio area, bearing signs of torture and acid burns.
Tanzania 3
Cut from the same cloth: President Samia Suluhu Hassan, once hailed as a reformer, has fallen into the repressive habits of her predecessor. (Elizabeth Frantz/Reuters)

Growth at what cost?
Samia succeeded John Magufuli after his death in office in 2021. She was deputy president at the time. She immediately reversed her predecessor’s Covid denialism, earning an instant popularity boost. She has also overseen some of the most impressive economic growth in Africa (GDP growth was 5.7% in 2024, according to the African Development Bank, and is set to surpass that this year).

But several corruption scandals have contributed to a perception that this growth is not being evenly distributed, while democratic space has continued to shrink under her watch. In its annual Freedom in the World Index, Freedom House downgraded Tanzania to “not free” (from “partly free” in 2024).

Some within the ruling Chama Cha Mapinduzi party CCM — which has governed Tanzania since independence in 1961 — are concerned that these factors could contribute to a poor showing in October’s presidential election.

This may explain the crackdown against opposition party members, and the recent decision by the electoral commission to disqualify CHADEMA from that 2025 election. The commission INEC said Chadema had not signed an electoral code of conduct.

CHADEMA has previously said that it will boycott the vote in the absence of meaningful electoral reforms.

The Institute for Security Studies, a South Africa-based think tank, wrote in an analysis that Tanzania’s troubles are symptomatic of a worrying regional trend.

“Democracy is in bad shape in East Africa and seems to be getting worse. Tanzanian President Samia Suluhu Hassan’s political reforms after she succeeded the authoritarian John Magufuli in 2021 raised a glimmer of hope — but she now seems to have regressed.”

Source. Daily Maverick
 
  • Rais wa sasa aliyeingia kwa ajali, awe makini sana
  • Rais aliyepo atapitia wakati mgumu March 2025 - June 2025
  • No Reforms No Election ni Hoja kubwa sana
  • Wapinzani wasiiache No Reforms No Election

Mwana stratejia huyu amesema kweli, tunaona Wimbi la Tsunami la kisiasa mwezi May - June 2025 hali inazidi kwenda kwa kasi sana.

Tanzania sasa inazungumzwa na kusomwa kimataida tena kwa kina
 
25 Aprili 2025

View: https://m.youtube.com/watch?v=wbk2XLS77j8
Ushindi haupatikani kwa kutegemea 'chawa' wala wingi wa kadi. Watu wana kadi na mapenzi kwa vyama hata vitatu. CCM iwe makini wanatakiwa wasiwe na mazoea.

CHADEMA kimekaa muda mrefu kama chama cha siasa, sasa kimekuja kivingine kama MOVEMENT / VUGUVUGU 2025

anasema Prof. Mihanjo na anadadavua kwa kina :
  • 2015 CCM ilikuwa ipotee
  • Kanda ya Ziwa ilibeba CCM chini ya JPM
  • Rais wa sasa aliyeingia kwa ajali, awe makini sana
  • Rais aliyepo atapitia wakati mgumu March 2025 - June 2025
  • No Reforms No Election ni Hoja kubwa sana
  • Wapinzani wasiiache No Reforms No Election
  • Wananchi wamekosa matumaini maisha ni magumu
  • CCM kuwa madarakani miaka 60 ni fursa lakini ni changamoto kubwa kwa CCM
  • CCM inabebwa na structures, miundo mifumo onayoikibeba
  • Vijana ambao ndiyo wengi wanaona kuwa matatizo yote ya kukosa ajira, masoko na maisha magumu ni sababu ya CCM
  • Ikiwa vijana wengi watajitokeza kupiga kura 2025, itakuwa balaa kubwa kwa CCM
  • Mkutano Mkuu wa CCM kuvunja katiba yake kuteua mgombea uchaguzi na mgombea mwenza ni ulevi wa madaraka
  • Kuna vipindi katiba inakanyagwa, wakati wa Mkapa tunajua majina 5 yaiingia Halmashauri Kuu kuchaguliwa
  • Jakaya Kikwete asingepita ikabidi Mkapa acheze mchezo na alisaidiwa na 'vyombo' majina matatu yakapitishwa Salim Ahmed Sal8m , Jakaya Kikwetw , Prof. Mwandosya
  • Samia Hassan asingepita kuwa mgombea wa CCM January, ilibidi 'vyombo' wafanye namna kuvunja katiba
  • Kuvunjwa katiba ina athari mtambuka inagusa Kidiplomasia, kiulinzi na Kisiasa
  • Ndiyo maana No Reforms No Election imepata nguvu
  • Tundu Lissu anaongea lugha onayoeleweka na vijana, na anatakiwa kupanua wigo akusanye makundi yote
  • Tundu Lissu na viongozi wenzake CHADEMA waongeze hamasa vijana wajitoke kukiunga mkono CHADEMA na wajitokeze kupiga kura
  • CHADEMA wazungumzie matatizo ya Wakulima, Wavuvi, wafugaji wanafunzi wa vyuo ili kugusa mahitaji ya kila kundi
  • Tunaangalia stratejia za CCM na Wapinzani
  • Marafiki zangu Lowassa, Bernard Membe, mwalimu wangu Kingunga Ngombale Mwiru walijitoa CCM walinipigia simu kabla ya kuhama na kuekezea sababu zao ..
  • Tumeandika katika sekretarieti ..

Prof. Eginald P.A.N. Mihanjo. PhD, MA in History, BA (Hon.) Educ. (UDSM) amewahi kuwa Kaimu Makamu Mkuu Wa Chuo Kikuu, Mhadhiri mwandamizi ndani na nje ya nchi, Mkurugenzi wa mafunzo wa Chuo cha Ulinzi wa Taifa NDC kinachotoa mafunzo ya usalama -stratejia- ulinzi, mhadhiri Chuo cha Diplomasia cha Tanzania na Msumbiji Foreign Relation Kurasini.. pia ni mtaalamu wa Usalama, Ulinzi, Usuluhishi wa Migogoro kimataifa na kikanda ..

Kikubwa ni hiyo Prof.kuwaambia hao Wananchi kwamba hata chama kilibadilika hakuna namna maisha yatakuwa marahisi sana sana watakuwa wamebadili chupa ila bia ni Ile Ile.
 
08 June 2025
Dodoma, Tanzania

Makao makuu ya serikali na bunge la muungano

MAANDAMANO YA KUPINGA UTEKAJI NA MADAI YA NO REFORMS NO ELECTION JIJINI DODOMA 08 JUNE 2025

View: https://m.youtube.com/watch?v=f7Sq44-PrWQ

Mji mpya ambao una chuo kikuu kikubwa zaidi nchini Tanzania cha University of Dodoma, makao ya wizara zote, ofisi kuu za Mahakama Kuu na vyombo vyote vya dola
 
  • No Reforms No Election ni Hoja kubwa sana
  • Wapinzani wasiiache No Reforms No Election

08 June 2025
Dodoma, Tanzania

WAKILI WA TUNDU LISSU AFAFANUA KWANINI INATAKIWA NO REFORMS NO ELECTION

View: https://m.youtube.com/watch?v=RPEVfg6P4H4

Wakili Dickson Matata azungumza mazito ya umuhimu wa viongozi kuheshimu katiba vifungu namba 50 na namba 42... mapungufu katika wajumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi INEC ..
 
CCM kuwa madarakani miaka 60 ni fursa lakini ni changamoto kubwa kwa CCM

Makala ya tunduizi wiki

07 June 2025

SIASA: Anguko la Chama Kikongwe huwa linatokea vipi?... PRI ya Mexico ilikuaje? Je, CCM ya Tanzania..​

Sababu sita nzito za imani kupotea kwa ushawishi wa chama dola kongwe

View: https://m.youtube.com/watch?v=iMT9ONVhCY4
CCM imekuwa na ushawishi mkubwa katika siasa za Tanzania, ikiwa chama tawala kwa kipindi chote cha historia yake.

Chama chochote kikongwe kinaweza kuyumbishwa na migawanyiko ya ndani, hasa pale panapokosekana demokrasia ya ndani ya chama.

Kukithiri kwa ubaguzi wa makundi, kupendeleana kwa misingi ya kikanda, au kusuasua kwa uchaguzi wa ndani wa haki kunaweza kudhoofisha mshikamano wa ndani.

Aidha, iwapo viongozi wa juu wa chama wataonekana kutojali sauti za wanachama wa kawaida, au kuwepo kwa upinzani wa wazi miongoni mwao, chama kinaweza kupoteza dira na kuanguka taratibu..
Source : Jaizmela News
 
Muda na wakati utaweza kumstua mheshimiwa rais na mwenyekiti wa chama dola kongwe kuhusu hali halisi ya taifa letu tofauti na ripoti anazopelekewa na baraza la usalama :

1749458103470.jpeg

Nukuu ya Leo​

“Teknolojia imebadilisha namna dunia inavyowasiliana. Watu wanaweza kusema lolote kuhusu Tanzania, hata kama si kweli. Nasisitiza Wizara na vyombo vya ulinzi vya ulinzi na usalama kuchukua hatua kwa haraka, kama ni kutoa ufafanuzi, kukanusha, au kukubali na kurekebisha. Msikubali Tanzania iwe kama shamba la bibi, kila mtu aje aseme analotaka bila majibu.”

MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN​

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania​

Amiri Jeshi Mkuu anapokea taarifa kutoka Baraza la Usalama wa Taifa, Mkuu wa Majeshi, Mkuu wa Polisi Tanzania, Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa na vyombo vingine.
 
Ye mwenyewe ndio dhaifu, amesoma na kuendelezwa chini ya ccm, halafu leo mbwa huyu anaiona ccm kituko, mbaaaf kabisa huyu!
Unajua siasa isifanye mkoseane utu. Weka academic profile yako hpo tuone uhalisia wa kile usemacho. Huwezi kumuita mtu mbwa na ukawa uko sawa. Mpinge kwa hoja. Ukishindwa kuheshimu mawazo yake. Heshimu hata umri wake.
 
25 Aprili 2025

View: https://m.youtube.com/watch?v=wbk2XLS77j8
Ushindi haupatikani kwa kutegemea 'chawa' wala wingi wa kadi. Watu wana kadi na mapenzi kwa vyama hata vitatu. CCM iwe makini wanatakiwa wasiwe na mazoea.

CHADEMA kimekaa muda mrefu kama chama cha siasa, sasa kimekuja kivingine kama MOVEMENT / VUGUVUGU 2025

anasema Prof. Mihanjo na anadadavua kwa kina :
  • 2015 CCM ilikuwa ipotee
  • Kanda ya Ziwa ilibeba CCM chini ya JPM
  • Rais wa sasa aliyeingia kwa ajali, awe makini sana
  • Rais aliyepo atapitia wakati mgumu March 2025 - June 2025
  • No Reforms No Election ni Hoja kubwa sana
  • Wapinzani wasiiache No Reforms No Election
  • Wananchi wamekosa matumaini maisha ni magumu
  • CCM kuwa madarakani miaka 60 ni fursa lakini ni changamoto kubwa kwa CCM
  • CCM inabebwa na structures, miundo mifumo onayoikibeba
  • Vijana ambao ndiyo wengi wanaona kuwa matatizo yote ya kukosa ajira, masoko na maisha magumu ni sababu ya CCM
  • Ikiwa vijana wengi watajitokeza kupiga kura 2025, itakuwa balaa kubwa kwa CCM
  • Mkutano Mkuu wa CCM kuvunja katiba yake kuteua mgombea uchaguzi na mgombea mwenza ni ulevi wa madaraka
  • Kuna vipindi katiba inakanyagwa, wakati wa Mkapa tunajua majina 5 yaiingia Halmashauri Kuu kuchaguliwa
  • Jakaya Kikwete asingepita ikabidi Mkapa acheze mchezo na alisaidiwa na 'vyombo' majina matatu yakapitishwa Salim Ahmed Sal8m , Jakaya Kikwetw , Prof. Mwandosya
  • Samia Hassan asingepita kuwa mgombea wa CCM January, ilibidi 'vyombo' wafanye namna kuvunja katiba
  • Kuvunjwa katiba ina athari mtambuka inagusa Kidiplomasia, kiulinzi na Kisiasa
  • Ndiyo maana No Reforms No Election imepata nguvu
  • Tundu Lissu anaongea lugha onayoeleweka na vijana, na anatakiwa kupanua wigo akusanye makundi yote
  • Tundu Lissu na viongozi wenzake CHADEMA waongeze hamasa vijana wajitoke kukiunga mkono CHADEMA na wajitokeze kupiga kura
  • CHADEMA wazungumzie matatizo ya Wakulima, Wavuvi, wafugaji wanafunzi wa vyuo ili kugusa mahitaji ya kila kundi
  • Tunaangalia stratejia za CCM na Wapinzani
  • Marafiki zangu Lowassa, Bernard Membe, mwalimu wangu Kingunga Ngombale Mwiru walijitoa CCM walinipigia simu kabla ya kuhama na kuekezea sababu zao ..
  • Tumeandika katika sekretarieti ..

Prof. Eginald P.A.N. Mihanjo. PhD, MA in History, BA (Hon.) Educ. (UDSM) amewahi kuwa Kaimu Makamu Mkuu Wa Chuo Kikuu, Mhadhiri mwandamizi ndani na nje ya nchi, Mkurugenzi wa mafunzo wa Chuo cha Ulinzi wa Taifa NDC kinachotoa mafunzo ya usalama -stratejia- ulinzi, mhadhiri Chuo cha Diplomasia cha Tanzania na Msumbiji Foreign Relation Kurasini.. pia ni mtaalamu wa Usalama, Ulinzi, Usuluhishi wa Migogoro kimataifa na kikanda ..

Na wanajua ni utani ngoja kiwatokee kitu ndio watajua kuwa wa ni laini sana.
 
Prof. Eginald P.A.N. Mihanjo. PhD, MA in History, BA (Hon.) Educ. (UDSM) amewahi kuwa Kaimu Makamu Mkuu Wa Chuo Kikuu, Mhadhiri mwandamizi ndani na nje ya nchi, Mkurugenzi wa mafunzo wa Chuo cha Ulinzi wa Taifa NDC kinachotoa mafunzo ya usalama -stratejia- ulinzi, mhadhiri Chuo cha Diplomasia cha Tanzania na Msumbiji Foreign Relation Kurasini.. pia ni mtaalamu wa Usalama, Ulinzi, Usuluhishi wa Migogoro kimataifa na kikanda ..

09 June 2025

MAHALI YA CHUO CHA POLISI

IGP Wambura : ... Prof. Eginald P.A.N. Mihanjo mwenyekiti wa Bodi ya Vyuo vya Polisi na mlezi wa Chuo cha Taaluma ya Polisi yaani DPA hapa tulipo ..mheshimiwa rais awali ya yote ningependa ... kwa niaba ya jeshi la Polisi...

View: https://m.youtube.com/watch?v=OR375W94QxY
 
03 June 2025
Vijana wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ya miaka ya 1960 Profesa Farouk Topan na Profesa Georgios Hadjiyavanis

View: https://m.youtube.com/watch?v=biSQU_VrOZ8
Profesa Farouk Topan na Profesa Georgios Hadjiyavanis walikutana katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika miaka ya 1960, mmoja akitokea Zanzibar na mwengine akitokea Tanganyika. Wawili hawa wanaunganishwa na hadithi ya mapambano katika zama za ujana wao kwa njia na namna mbalimbali. Wasikilize hapa wakizungumzia dhana ya Uhuru na Ubunifu kwenye Kongamano la 37 la Kiswahili kwenye Chuo Kikuu cha Bayreuth tarehe 30 Mei 2025..
Source : Gumzo la Ghassani
 
Mwenyekiti wa ACT Wazalendo mheshimiwa Othman Masoud Othman OMO

1749865878257.jpeg
 
25 Aprili 2025

View: https://m.youtube.com/watch?v=wbk2XLS77j8
Ushindi haupatikani kwa kutegemea 'chawa' wala wingi wa kadi. Watu wana kadi na mapenzi kwa vyama hata vitatu. CCM iwe makini wanatakiwa wasiwe na mazoea.

CHADEMA kimekaa muda mrefu kama chama cha siasa, sasa kimekuja kivingine kama MOVEMENT / VUGUVUGU 2025

anasema Prof. Mihanjo na anadadavua kwa kina :
  • 2015 CCM ilikuwa ipotee
  • Kanda ya Ziwa ilibeba CCM chini ya JPM
  • Rais wa sasa aliyeingia kwa ajali, awe makini sana
  • Rais aliyepo atapitia wakati mgumu March 2025 - June 2025
  • No Reforms No Election ni Hoja kubwa sana
  • Wapinzani wasiiache No Reforms No Election
  • Wananchi wamekosa matumaini maisha ni magumu
  • CCM kuwa madarakani miaka 60 ni fursa lakini ni changamoto kubwa kwa CCM
  • CCM inabebwa na structures, miundo mifumo onayoikibeba
  • Vijana ambao ndiyo wengi wanaona kuwa matatizo yote ya kukosa ajira, masoko na maisha magumu ni sababu ya CCM
  • Ikiwa vijana wengi watajitokeza kupiga kura 2025, itakuwa balaa kubwa kwa CCM
  • Mkutano Mkuu wa CCM kuvunja katiba yake kuteua mgombea uchaguzi na mgombea mwenza ni ulevi wa madaraka
  • Kuna vipindi katiba inakanyagwa, wakati wa Mkapa tunajua majina 5 yaiingia Halmashauri Kuu kuchaguliwa
  • Jakaya Kikwete asingepita ikabidi Mkapa acheze mchezo na alisaidiwa na 'vyombo' majina matatu yakapitishwa Salim Ahmed Sal8m , Jakaya Kikwetw , Prof. Mwandosya
  • Samia Hassan asingepita kuwa mgombea wa CCM January, ilibidi 'vyombo' wafanye namna kuvunja katiba
  • Kuvunjwa katiba ina athari mtambuka inagusa Kidiplomasia, kiulinzi na Kisiasa
  • Ndiyo maana No Reforms No Election imepata nguvu
  • Tundu Lissu anaongea lugha onayoeleweka na vijana, na anatakiwa kupanua wigo akusanye makundi yote
  • Tundu Lissu na viongozi wenzake CHADEMA waongeze hamasa vijana wajitoke kukiunga mkono CHADEMA na wajitokeze kupiga kura
  • CHADEMA wazungumzie matatizo ya Wakulima, Wavuvi, wafugaji wanafunzi wa vyuo ili kugusa mahitaji ya kila kundi
  • Tunaangalia stratejia za CCM na Wapinzani
  • Marafiki zangu Lowassa, Bernard Membe, mwalimu wangu Kingunga Ngombale Mwiru walijitoa CCM walinipigia simu kabla ya kuhama na kuekezea sababu zao ..
  • Tumeandika katika sekretarieti ..

Prof. Eginald P.A.N. Mihanjo. PhD, MA in History, BA (Hon.) Educ. (UDSM) amewahi kuwa Kaimu Makamu Mkuu Wa Chuo Kikuu, Mhadhiri mwandamizi ndani na nje ya nchi, Mkurugenzi wa mafunzo wa Chuo cha Ulinzi wa Taifa NDC kinachotoa mafunzo ya usalama -stratejia- ulinzi, mhadhiri Chuo cha Diplomasia cha Tanzania na Msumbiji Foreign Relation Kurasini.. pia ni mtaalamu wa Usalama, Ulinzi, Usuluhishi wa Migogoro kimataifa na kikanda ..

Ataambiwa "Anatumika na upinzani "
 
Back
Top Bottom