PreGE2025 Prof. Eginald PAN Mihanjo: CCM ijiandae kuwa chama cha upinzani

PreGE2025 Prof. Eginald PAN Mihanjo: CCM ijiandae kuwa chama cha upinzani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Maneno ya mwanasheria mkuu wa serikali mbele ya Bunge msomi Hamza S. Johari
1746286877888.jpeg
 
  • Mazingira ya gereza la Ukonga yanapoka haki za msingi za kisheria za Tundu Lissu
  • Baraza la Umoja wa Mataifa UNGA azimio namba 61 almaarufu The Nelson Mandela Rules juu ya haki za mahabusu kama Tundu Lissuna wafungwa zinasemaje
Kibatala alikuwa anazungumza na mteja wake Tundu Lissu katika mazingira haya yaliyomfanya atoe machozi kwa hisia leo akiongea na waandishi wa habari:

1746287483297.jpeg

1746303617288.jpeg
 
03 May 2025
Dar es Salaam, Tanzania

Advocate Ongoya Zebedee Elisha - Msiamini sana Katiba na Sheria italeta haki


View: https://m.youtube.com/watch?v=Kn4RxNMzRXE

Haki za msingi za wananchi na uhuru wa waandishi wa habari ni kichoche chanya cha kuwepo uchaguzi ulio huru na wa haki, hivyo kuweka imani tu katika katiba na sheria tu haitoshi.

Advocate Ongoya Zebedee Elisha amesisitiza kuwa lazima kuwepo haki sawa kwa wale wapiga makofi kuabudu watawala waliopo madarakani yaani chawa na wale wanaopinga utawala uliopo madarakani yaani wapinzani / wanaharakati.

Kama serikali inaweza kukamata wapinzani basi serikali iweze kuwakamata chawa hapo ndipo ndipo haki itakuwa imetendeka...Advocate Ongoya Zebedee Elisha asema.

Wakili msomi Advocate Ongoya Zebedee Elisha amesema leo akitoa mada ktk kongamano la Chama cha Wanasheria Tanganyika TLS Leo Mei 03, 2025 wakati wa kingamano la Kitaifa la Wadau Kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 linalofanyika makao makuu ya chama hicho Wakili House jijini Dar es Salaam.
 
Innocent Bashungwa - Tunalaani Vikali waliomshambulia Padre Dr. Kitima na pia aliyeandika mtandaoni kumtishia padre naagiza akamatwe mara moja


View: https://m.youtube.com/watch?v=u0uf_xiXKsI
Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Innocent Bashungwa asema hayo kwa niaba ya wizara ya mambo..

Vitendo vya kudhuru watu haviwezi kuvumiliwa ... na aliye twitte kuwa Padre Kitima siku zake zinahesabika ... naagiza akamatwe mara moja kwani ni mhalifu kama mfalifu mwingine kwani aliye twite amevunja sheria za mtandaoni na lazima vyombo vya usalama wamkamate mara mtu huyo ...asema waziri Innocent Bashungwa .
 
25 Aprili 2025


View: https://m.youtube.com/watch?v=wbk2XLS77j8
Ushindi haupatikani kwa kutegemea 'chawa' wala wingi wa kadi. Watu wana kadi na mapenzi kwa vyama hata vitatu. CCM iwe makini wanatakiwa wasiwe na mazoea.

CHADEMA kimekaa muda mrefu kama chama cha siasa, sasa kimekuja kivingine kama MOVEMENT / VUGUVUGU 2025

anasema Prof. Mihanjo na anadadavua kwa kina :
  • 2015 CCM ilikuwa ipotee
  • Kanda ya Ziwa ilibeba CCM chini ya JPM
  • Rais wa sasa aliyeingia kwa ajali, awe makini sana
  • Rais aliyepo atapitia wakati mgumu March 2025 - June 2025
  • No Reforms No Election ni Hoja kubwa sana
  • Wapinzani wasiiache No Reforms No Election
  • Wananchi wamekosa matumaini maisha ni magumu
  • CCM kuwa madarakani miaka 60 ni fursa lakini ni changamoto kubwa kwa CCM
  • CCM inabebwa na structures, miundo mifumo onayoikibeba
  • Vijana ambao ndiyo wengi wanaona kuwa matatizo yote ya kukosa ajira, masoko na maisha magumu ni sababu ya CCM
  • Ikiwa vijana wengi watajitokeza kupiga kura 2025, itakuwa balaa kubwa kwa CCM
  • Mkutano Mkuu wa CCM kuvunja katiba yake kuteua mgombea uchaguzi na mgombea mwenza ni ulevi wa madaraka
  • Kuna vipindi katiba inakanyagwa, wakati wa Mkapa tunajua majina 5 yaiingia Halmashauri Kuu kuchaguliwa
  • Jakaya Kikwete asingepita ikabidi Mkapa acheze mchezo na alisaidiwa na 'vyombo' majina matatu yakapitishwa Salim Ahmed Sal8m , Jakaya Kikwetw , Prof. Mwandosya
  • Samia Hassan asingepita kuwa mgombea wa CCM January, ilibidi 'vyombo' wafanye namna kuvunja katiba
  • Kuvunjwa katiba ina athari mtambuka inagusa Kidiplomasia, kiulinzi na Kisiasa
  • Ndiyo maana No Reforms No Election imepata nguvu
  • Tundu Lissu anaongea lugha onayoeleweka na vijana, na anatakiwa kupanua wigo akusanye makundi yote
  • Tundu Lissu na viongozi wenzake CHADEMA waongeze hamasa vijana wajitoke kukiunga mkono CHADEMA na wajitokeze kupiga kura
  • CHADEMA wazungumzie matatizo ya Wakulima, Wavuvi, wafugaji wanafunzi wa vyuo ili kugusa mahitaji ya kila kundi
  • Tunaangalia stratejia za CCM na Wapinzani
  • Marafiki zangu Lowassa, Bernard Membe, mwalimu wangu Kingunga Ngombale Mwiru walijitoa CCM walinipigia simu kabla ya kuhama na kuekezea sababu zao ..
  • Tumeandika katika sekretarieti ..

Prof. Eginald P.A.N. Mihanjo. PhD, MA in History, BA (Hon.) Educ. (UDSM) amewahi kuwa Kaimu Makamu Mkuu Wa Chuo Kikuu, Mhadhiri mwandamizi ndani na nje ya nchi, Mkurugenzi wa mafunzo wa Chuo cha Ulinzi wa Taifa NDC kinachotoa mafunzo ya usalama -stratejia- ulinzi, mhadhiri Chuo cha Diplomasia cha Tanzania na Msumbiji Foreign Relation Kurasini.. pia ni mtaalamu wa Usalama, Ulinzi, Usuluhishi wa Migogoro kimataifa na kikanda ..

Mwalimu wangu wa history udsm
 
Anaota huyu "Chama cha mapinduzi" asalani hakiwezi kuwa chama upinzani yaani tuwakabidhi nchi kwa vikaratasi ndani ya box ?😂 Mnajua maana ya mapinduzi nyinyi?! Endeleeni kujifurahisa
 
Anaota huyu "Chama cha mapinduzi" asalani hakiwezi kuwa chama upinzani yaani tuwakabidhi nchi kwa vikaratasi ndani ya box ?😂 Mnajua maana ya mapinduzi nyinyi?! Endeleeni kujifurahisa

Mzee wenu huyo, msomi, mtaalamu wa stratejia, mshauri wa timu ushindi ya chama dola CCM ametoa uchambuzi wenye takwimu na mifano kuhusu hali ya kisiasa ilivyo Tanzania.

Na uzuri wa vyama vya kisiasa kuwa vya kitaifa, badala ya chama dola tawala ili kujipanga inawezekana CCM kugeuka kuwa chama upinzani bila kuchafua hali ya kiusalama nchini.

Muzingatie ushauri wa huyu Mzee aliyetumika kuanzia awamu ya Nyerere hadi ya Magufuli, lakini amebaini enzi za kungangania madaraka zimeshapita, sasa ni wakati chama cha CCM kijigeuze kuwa chama cha kisiasa na siyo chama Dola, ama sivyo kitakufa kisiasa kama vyama vingine dola KANU Kenya n.k
 

TOKA MAKTABA:​

Africa Is Breeding A Generation Of Illiterates And Ignoramuses - Prof. Wole Soyinka​


View: https://m.youtube.com/watch?v=ByW4XQhdb-M
A generation of illiterates and ignoramuse. Prof. Wole SoyinkaNobel Laureate, Wole Soyinka, has said the country is breeding a generation of illiterates who are relish in the arrogant of ignorance.

“Nigerian youths are full of spunk outside, but when they are inside Nigeria, they are full of gas. We are building a generation of illiterates.

Making particular reference to Internet trolls, the Nobel laureate said the nation is raising a generation that is the first to comment on the internet on issues they are deeply ignorant about.

“They are waiting for Wole Soyinka to lead a march to Aso Rock. It is about time to get off your feet and stop writing rubbish on the internet about things you do not understand. I do not know how to describe the new generation beyond a generation of internet trolls.

When you talk about education, I get texts from the new generation and can’t believe these texts are from the youth.

“When I decided to build my house in the forest, I bought a second-hand diesel generator and asked someone to dig a borehole. I wanted to be self-sufficient. What I want to pass on to you is that I thought of the possibility of being self-reliant. This entails that I can come to cooperatives with others and demand things from the government by any means necessary.” Soyinka said

He made this remark when he spoke at the launch of InnoCreativa Youth Hub 2030 and project logo by Creative Youth Community Development Initiative (CYCDI) held at The Civic Centre, Lagos
 
Mzee wenu huyo, msomi, mtaalamu wa stratejia, mshauri wa timu ushindi ya chama dola CCM ametoa uchambuzi wenye takwimu na mifano kuhusu hali ya kisiasa ilivyo Tanzania.

Na uzuri wa vyama vya kisiasa kuwa vya kitaifa, badala ya chama dola tawala ili kujipanga inawezekana CCM kugeuka kuwa chama upinzani bila kuchafua hali ya kiusalama nchini.

Muzingatie ushauri wa huyu Mzee aliyetumika kuanzia awamu ya Nyerere hadi ya Magufuli, lakini amebaini enzi za kungangania madaraka zimeshapita, sasa ni wakati chama cha CCM kijigeuze kuwa chama cha kisiasa na siyo chama Dola, ama sivyo kitakufa kisiasa kama vyama vingine dola KANU Kenya n.k
Na ki
Mzee wenu huyo, msomi, mtaalamu wa stratejia, mshauri wa timu ushindi ya chama dola CCM ametoa uchambuzi wenye takwimu na mifano kuhusu hali ya kisiasa ilivyo Tanzania.

Na uzuri wa vyama vya kisiasa kuwa vya kitaifa, badala ya chama dola tawala ili kujipanga inawezekana CCM kugeuka kuwa chama upinzani bila kuchafua hali ya kiusalama nchini.

Muzingatie ushauri wa huyu Mzee aliyetumika kuanzia awamu ya Nyerere hadi ya Magufuli, lakini amebaini enzi za kungangania madaraka zimeshapita, sasa ni wakati chama cha CCM kijigeuze kuwa chama cha kisiasa na siyo chama Dola, ama sivyo kitakufa kisiasa kama vyama vingine dola KANU Kenya n.k
Na kimsingi amekuwa ndio muandaa ilani za chama kwa muda mrefu katika chama kwa hiyo analysis anayotoa anaitoa kwa kuwa kwa muda mrefu amekuwa strategist wa chama na ni ushauri katika Hali ambayo wengine ni ngumu kuelewa
 
01 May 2025
Kijiji cha Mkowela,
Tunduru,
Tanzania

Tumetengwa tunaona katika ma televisheni wenzetu huko wanapewa maendeleo lakini huku Mkowela kama siyo ipo Tanzania mfano kwa Miaka 52 shule Haijakarabatiwa, wakabidhi lalamiko upinzani iende kubana serikali

WANANCHI TUNDURU WALALAMIKIA SHULE KUTOKARABATIWA MIAKA 52 / WAMTWISHA ZIGO KIGOGO ACT AFIKISHE KILIO

View: https://m.youtube.com/watch?v=DMDDFJSQwj4
Mei 2025, Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo alifanya ziara kwenye Kijiji cha Mkowela kilichopo Wilayani Tunduru.

Baada ya Mkutano wake, wananchi walimuomba afikishe kilio chao cha shule ya msingi Mkowera ambayo ina madarasa matatu pekee yenye kufaa kusomea. Madarasa mengine ni chakavu kwa kuvuja, kukosa sakafu ya saruji, kuta kuporomoka na baadhi ya madarasa kuota vichuguu. Kwa mujibu wa wanakijiji wa Mkowela, shule pia ina walimu wanne pekee na haina vyoo vya kutosha.

Katibu Mkuu, Ado Shaibu ambaye aliambatana na baadhi ya wanakijiji kwenda shuleni kujionea hali halisi amewaahidi Wana-Mkowela kuwa atapaza sauti juu ya kero hiyo kwa sababu Serikali inapaswa kusimamia ipasavyo rasilimali za umma ikiwemo kodi kuhakikisha inawaletea maendeleo wananchi ikiwemo kuhakikisha miundombinu bora ya elimu, afya, maji na barabara.
 
anasema Prof. Mihanjo na anadadavua kwa kina :
  • 2015 CCM ilikuwa ipotee
  • Kanda ya Ziwa ilibeba CCM chini ya JPM

MATOKEO YA URAIS MWAKA 2015 :

Matokeo ya kura za urais mwaka 2015 almanusura chama dola kongwe kuwa chama cha upinzani

Presidential Election results:
Candidate – Party – Votes (%)
  1. John Magufuli – CCM – 8,882,935 (58.5%)
  2. Edward Lowassa – CHADEMA – 6,072,848 (40.0%)
  3. Anna Mghwira – ACT–Wazalendo – 98,763 (0.65%)
  4. Lutalosa Yembe – ADC – 66,049 (0.43%)
  5. Hashim Rungwe Spunda – CHAUMMA – 49,256 (0.32%)
  6. Machmillan Lyimoo – TLP – 8,198 (0.05%)
  7. Janken Kasambala – NRA – 8,028 (0.05%)
  8. Fahmi Nassoro Dovutwa – UPDP – 7,785 (0.05%)
Total 15,193,862 (100%)

Registered electors/ voters 23,254,485

Source: NEC / INEC
 
CHADEMA kimekaa muda mrefu kama chama cha siasa, sasa kimekuja kivingine kama MOVEMENT / VUGUVUGU 2025
anasema Prof. Mihanjo na anadadavua kwa kina :
  • 2015 CCM ilikuwa ipotee
  • Kanda ya Ziwa ilibeba CCM chini ya JPM

14 May 2025
Musoma, Kanda ya Ziwa

CHADEMA YATISHA, WANANCHI WAWAPOKEA VIONGOZI WA CHADEMA KWA SHAMRASHAMRA KUBWA


View: https://m.youtube.com/watch?v=juI688Br7XI
 
TOKA MAKTABA :

11 September 2021
Shule ya Uongozi


HUMPHREY POLEPOLE - SERIKALI ISIYOONEKANA INAAMUA KILA KITU CHA SERIKALI INAYOONEKANA


View: https://m.youtube.com/watch?v=-FeHe4NDQ-M

Nguvu ya serikali isiyoonekana yenye nguvu kuliko serikali inayoonekana Tanzania ni hatari sana, Humphrey Polepole anafafanua...

Humphrey Polepole hii ipo kule Angola na DR Congo na hata raia Tanzania bila kufuatilia huwezi kujua kama kuna serikali mbili au la ...

Hivyo Humphrey Polepole anasisitiza raia lazima kuuliza maswali kila wakati na tena kipindi cha sasa cha utandawazi mtumie mitandao kuuliza kwani hakuna mhariri wa kuzuia habari kama zamani ambapo mhariri wa gazeti au kituo cha TV au radio anaweza kuamua habari hiyo isitoke katika media zile za zamani...

Ba pia Humphrey Polepole anaongeza ...
 
19 May 2025

Tanzania’s Samia Suluhu SLAMS Kenyan Activists in Fiery Speech Amid Deportation Drama​



View: https://m.youtube.com/watch?v=WGt40Nb4N4s
Updates on Regional Politics and Human Rights!

Timestamps:

  • 0:00 - Intro: Kenya’s Urgent Appeal
  • 0:45 - Arrest of Willy Mutunga & Activists
  • 1:30 - Context: Tundu Lissu’s Treason Trial
  • 2:15 - Deportations of Kenyan Figures
  • 3:00 - Boniface Mwangi’s Hotel Incident
  • 3:45 - Kenya’s Foreign Office Response
  • 4:20 - David Maraga’s Arrival in Tanzania
  • 5:00 - Regional & International Criticism
  • 5:40 - Why This Matters for EAC Democracy
  • 6:15 - Outro: What’s Next
 
Back
Top Bottom