PreGE2025 Prof. Eginald PAN Mihanjo: CCM ijiandae kuwa chama cha upinzani

PreGE2025 Prof. Eginald PAN Mihanjo: CCM ijiandae kuwa chama cha upinzani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
TOKA MAKTABA:
12 February 2024

1707745083508.png

Pope Francis posing with President Samia Hassan for a photo in Vatican City

Read more:

12 September 2024
15 Sept 2024 — Padri Charles Kitima alivyowapandisha madhabahuni Dk Nchimbi, Lissu na Mnyika...

View: https://m.youtube.com/watch?v=FzptgTPz4yQ
 
TOKA MAKTABA:
12 February 2024

1707745083508.png

Pope Francis posing with President Samia Hassan for a photo in Vatican City

Read more:

12 September 2024
15 Sept 2024 — Padri Charles Kitima alivyowapandisha madhabahuni Dk Nchimbi, Lissu na Mnyika...

View: https://m.youtube.com/watch?v=FzptgTPz4yQ


Vatican City

DOMINANT IN AFRICA

The Vatican’s Pontifical Yearbook 2025 shows of the 1.406 billion global Catholic population, 281 million are in Africa accounting for 20 per cent of the global figure.

The African Catholic population rose from 272 million in 2022 to 281 million in 2023, a 3.3 per cent growth and the largest increase compared to the global rise of 1.15 per cent.

The Democratic Republic of Congo has Africa’s largest number of baptised Catholics with almost 55 million, followed by Nigeria with 35 million. Vatican reports highlight Uganda, Tanzania and Kenya among countries that also register significant figures.
 
Julius Nyerere katika hotuba yake kuhusu kanisa na Theolojia ya Ukombozi katika Amerika ya Kusini akiwa nchini Managua, Nicaragua. Hotuba yake hii ya mwaka 1988 inaigusa Tanzania ya 2024 kuhusu masuala ya hali ya kisiasa.

Padre Charles Kitima katibu wa Baraza la Maaskofu Tanzania : Mimi ni Muumini wa Nyerere
1746095761782.jpeg
 
JULIUS NYERERE - NI MUHIMU KATIKA DEMOKRASIA WATU WAWE HURU KUONGEA HATA IKIWA KTK DEMOKRASIA YA CHAMA KIMOJA

1 May 2025
Columbia,
South Carolina Marekani

Father Charles Kitima katibu wa TEC Breaking News | Good Morning Africa ~ Good Morning East, Africa


View: https://m.youtube.com/watch?v=ndN28csvRhw
Father Kitima ameshambuliwa 30 Aprili 2025. Pia wanachama wa CHADEMA mnamo tarehe 24 Aprili 2025 kutoka Kisutu katikati ya jiji la DSM walitekwa, kuzungushwa kwa masaa kibao ndani ya magari ya Polisi kisha kupigwa, kutupwa mapori yaliyo nje ya mji wa Dar es Salaam huku wakiugulia miguu, mikono iliyovyunjwa, maumivu maungoni kufuatia kipigo cha mbwakoko ..

Maswali mengi juu ya kinachoendelea Tanzania
Source : America Swahili News
 
01 May 2025

MBUNGE ATAKA TANZANIA IWEKEWE VIKWAZO VYA KIMATAIFA


View: https://m.youtube.com/watch?v=WkN0LcH7f0Y

Hii ni kufuatia hali mbaya ya haki za kibinadanmu, kisiasa na za kuishi kukiukwa kwa ukubwa chini ya utawala wa awamu ya 6 ya uongozi wa nchi

Mbunge wa kutoka eneo bunge Saboti mheshimiwa Caleb Amisi || ni mjumbe wa Kamati ya Kibunge ya Masuala ya Ulinzi na Mahusiano ya Kigeni (Mambo ya Nje) : Member Defence & Foreign Relations Committee

Nchi kadhaa za kiAfrika kama Zimbabwe n.k zinahangaika kujinasua kutoka vikwazo vikali vya kiuchumi huku vigogo wa majeshi ya ulinzi ya Zimbabwe wakiwa pia wametiwa katika listi ya vikwazo huku akaunti zao katika mabenki nje ya Zimbabwe zikiwa zimefungwa hivyo kutoweza kutumia pesa hizo wao na familia zao.
 
02 May 2025
Mbeya, Tanzania

2 hours ago — Initial claims on social media suggest unknown assailants forcibly entered Mr Nyagali's home, attacked him with blunt...

Mdude Nyagali is a well-known Tanzanian activist. Mdude has worked tirelessly to fight and advocate for human rights and good governance in ... Author- FiveYears Of Pain. - To buy my Book, please ... go to ...

1746182109102.jpeg

01 October 2021
#Tanzania Mdude Nyangali was abducted and tortured twice and charged falsely with narcotics possession and held in detention without bail for over one year. In this exclusive #MariaSpaces Twitter session, he narrates what he experienced during these atrocious periods in his life.#MariaSpaces is reproduced with permission from owner...

View: https://m.youtube.com/watch?v=_aY3qxnEGjg
 
TOKA MAKTABA :
Serikali ya CCM mwezi march 2022 walienda mpaka Geneva Switzerland na kuridhia mikataba mingi kulinda haki za kidemokrasia na haki za binadamu lakinj wanaburuza miguu kutekeleza

TOKA MAKTABA

NCHI ILIKUWA IMECHAFUKA SANA

TOKA MAKTABA :

2 December 2021
Bunge la Ulaya(EU) lajadili hali ya kisisasa Tanzania na kukamatwa kwa Freeman Mbowe




View: https://m.youtube.com/watch?v=2PudlmmNr7g
Mwenyekiti wa kamati wa mambo ya nje kwenye Bunge la Ulaya, David James McAllister amesema anawasiliana na watu wengi nchini Tanzania ambapo amesema wapo kwenye hali ambayo viongozi, wanachama na wafuasi wa upinzani wanakumbana na udhalilishaji, kushikiliwa kinyume cha sheria na vitisho.

Kwa upande wake mkurugenzi wa mambo ya Afrika kutoka umoja wa Ulaya, Laranjinha Rita amesema kuna sababu za matumaini Tanzania ambapo miezi ya karibuni kumekuwa na mwanzo mzuri kwa Rais Samia nyumbani na kimataifa ambapo ametambulisha baadhi ya mabadiliko.

Laranjinha amemueleza Rais Samia kwenye uhuru wa kutoa maoni na uhuru wa vyombo vya habari na mabadiliko hayo yamepokelewa vizuri na jamii ya kimataifa.

Pia ameongelea ruhusa ya kurudi shuleni kwa wanafunzi waliopata ujauzito. Laranjinha amesema pamoja na hatua zilizofikiwa kuna mapungufu machache ikiwemo demokrasia ya vyama vingi ambapo hakuna uwakilishi wa upinzani kwenye bunge, mwenyekiti wa chama cha upinzani kushikiliwa na umoja wa ulaya itaendelea kufatilia kwa karibu.
Source: JamiiForums




4 August 2021​

Victoria Nuland : Tanzanian Opposition Leader’s Arrest Is “Test” For New President​


View: https://m.youtube.com/watch?v=UIhA85OmCrk

U.S. Undersecretary of State for Political Affairs Victoria Nuland was in Tanzania Wednesday where she spoke about the arrest of opposition leader Freeman Mbowe and at least 10 other Chadema party members and staff who face terrorism charges.

Source : VOA

​

4 August 2021

Ambassador Victoria Nuland | UNDER SECRETARY FOR POLITICAL AFFAIRS


Tanzania, Waziri wa Mambo Ya Nje Dr. Liberata Mulamula | amefanya mazungumzo na Bi. Victoria Nuland naibu waziri mambo ya nje anayeshugulikia masuala ya Afrika ambaye pia amefanya kazi Brussels EU pia mshauri wa Bill Clinton, kutatua migogoro ya Ukraine na Russia alifika Tanzania pia kukutana na viongozi wa vyama vya upinzania Tanzania . Rais Joe Biden sasa amempa imani yake na kumtuma kutatua migogoro na migongano ...

​

 
TOKA MAKTABA :

Toka Geneva
23 March 2022
Awamu ya 6 ya serikali ya CCM, mmesaini mikataba mingi ya kukubali kufungua milango ya demokrasia, uhuru, haki ya kukusanyika n.k bila kusahau katiba yetu inaruhusu shughulu za kisiasa. Sasa huku kubabaika kunatoka wapi
NGOJA TUKUMBUSHANE
Serikali na vyombo vyake ikiwemo taasisi, idara zake zifahamu kuwa mwaka huu 2022 huko Uswisi (Switzerland) waziri wa Sheria na Katiba Mh. George Simbachawene mbele ya Umoja wa Mataifa katika Kamisheni ya Umoja wa Mataifa Kuhusu Haki za Binadamu kuwa Tanzania iliridhia kuacha kuandamiza na kubinya haki za msingi nyingi ikiwemo hili la wananchi kuwa na haki kujadili, kushauri na kuelekeza nchi yao iende vipi.

23 March 2022
Geneva, Switzerland

Mikataba 252 ambayo Tanzania iliridhia na inayogusa haki zote ikiwemo UWAZI ni kama ifuatayo



View: https://m.youtube.com/watch?v=T3jgxhfB-S8
Video : Mh. George Simbachawene akihutubia UMoja wa Mataifa kuhusu haki haki na kuuhakikishia ulimwengu kuwa haki zote ktk awamu ya 6 zinazingatiwa



Tanzania yaridhia haki ya wananchi kushirikishwa katika ngazi zote, kujadili mustakhabali wa nchi yao, haki ya jumuika, haki ya kuzungumza, wananchi kuwa na haki ya kuwaambia watawala nini wakifanye, uhuru wa habari, kufunguliwa vya vyombo vya online pia magazeti, imeridhia mikutano ya vyama vya siasa kufanyika, , ....

GEORGE B. SIMBACHAWENE, Minister of Constitutional and Legal Affairs of Tanzania, said Tanzania was a strong proponent of the Universal Periodic Review mechanism which brought together State actors, civil society and development partners. As the Government pursued the goal of realisation of human rights for all Tanzanians, the recommendations were given the highest consideration. All 252 recommendations were disseminated to State and non-State actors, including the National Human Rights Institution as well as civil society, in both mainland Tanzania and Zanzibar. As a result of broad-based consultations, Tanzania had accepted to implement 167 recommendations, which were in compliance with the Constitution of the United Republic of Tanzania and the Constitution of Zanzibar.

The recommendations aligned with policies, laws and programmes which called for the promotion and protection of civil, political, economic, social and cultural rights, emerging human rights issues, anti-corruption efforts, environmental conservation and development priorities of Tanzania. The Government affirmed its commitment to implementing all the accepted recommendations, which had been deemed strategic and effective interventions for the promotion and protection of human rights. 65 recommendations had been noted; those were recommendations that were not in alignment with the Constitutions, policies, laws, traditions, beliefs and culture of Tanzania, or which required further consultations before making a conclusive decision. The Government strived to ensure that all Tanzanians were provided with equal civil, political, economic, social and cultural human rights.

Discussion

Speakers applauded the Government of Tanzania for progress made in strengthening its institutional frameworks for the promotion and protection of rights and fundamental freedoms. Strides had been made in the area of social development, including the introduction of fee-free primary education and remote learning during the COVID-19 pandemic. Speakers further commended Tanzania on the establishment of the National Commission for Human Rights, which was in accordance with the Paris Principles. Speakers noted steps taken to curb child labour, as well as the measures taken by the Government toward ensuring freedom of expression and the right to information, which included entering into dialogue with media practitioners and amending some pieces of legislation. Tanzania’s acceptance of close to 75 percent of the recommendations showed real commitment to further promoting and protect the rights of all persons on its territory. The acceptance of recommendations prioritised expenditures in health including specialised care and services for people living with albinism, as well as scaling up investment in education.

Other speakers took note of the challenges faced by Tanzania in implementing some of its human rights obligations under Article 12(3) of the African Charter which recognized the right to seek and obtain asylum in other countries, as well as the 1951 Convention relating to the Status of Refugees. Speakers regretted that Tanzania did not receive any recommendations on the rights of sex workers, urging the Government to repeal the Penal Code provisions criminalising acts associated with sex work, place a moratorium on the arrest and harassment of sex workers under vagrancy laws, and revise and harmonise national legislation in line with regional and international human rights instruments. Tanzanian authorities continued to weaponise the law to target the opposition and critical voices, using non-bailable offence provisions under the Criminal Procedure Act to detain people for unreasonable periods of time. The State should ensure accountability for election-related human rights violations and guarantee post-election human rights reforms to reverse the Government’s increasing repression and crackdown on civic space.

The Vice-President of the Council informed that out of 252 recommendations received, 167 enjoyed the support of Tanzania, while 65 had been noted. Additional clarification was provided on 20 recommendations, indicating which parts of the recommendations were supported and which parts were noted

Concluding Remarks

GEORGE B. SIMBACHAWENE, Minister of Constitutional and Legal Affairs of Tanzania, said Tanzania continued to accord great significance to the Universal Periodic Review, as it played a key role in the promotion and protection of human rights in the country. Tanzania was committed to implementing the accepted recommendations, as they would have a direct impact on the realisation of human rights and sustainable development of the country. The Universal Periodic Review was a continuous process, and the Government would continue to address the remaining challenges through dialogue, in collaboration with all stakeholders. It would also continue to strengthen its internal mechanisms and promote engagement with all non-State actors and development partners. The Government, under the stewardship of Tanzania’s first female President, would meet the aspirations and objectives of the Universal Periodic Review mechanism during the coming fourth cycle.



Link: Conseil des droits de l’homme : Examen périodique

https://www.ungeneva.org › 2022/03
Human Rights Council Adopts Outcomes of Universal Periodic ...

23 Mar 2022 — 23 March 2022 Meeting Summaries. The Human Rights Council in a midday meeting adopted the outcomes of the Universal Periodic ....
 
Ahadi nyingi zilizovunjwa na serikali ya awamu ya 6 chini ya chama dola kongwe tawala CCM kwa wadau wa ndani ambao ni wananchi na pia kwa wadau wa nje ambao ni wadau wa maendeleo zinafanya utawala huu wa Tanzania usiaminike tena .
 
02 May 2025
Chama cha Sheria Tanganyika TLS kilicho na wanachama mawakili wasomi chatoa tamko
  1. Utawala Bora
  2. Demokrasia
  3. Matukio yaliyotokea mahakamani tarehe 24 Aprili 2025 na tarehe 28 Aprili 2025
  4. Kutekwa kwa raia kutoka Kisutu kuzungushwa mitaani hadi usiku, kisha kutelekezwa barabarani, maporini huku baadhi yao wakiwa wameumizwa

Msimamo wa TLS kwa Wakili Tundu Lissu Yaliyojiri Mahakamani Kwenye Kesi Yake​


View: https://m.youtube.com/watch?v=6rKU_JsYcT8
Rais wa Chama cha Sheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Anyisile Kanjunjumele Mwabukusi ametoa tamko la TLS la kuitaka ofisi ya IGP yaani Ofisi yaMkuu wa Jeshi la Polisi itoke mara moja na kutoa mwongozo wa wazi kuhusu utendaji wa Polisi kuhusiana na haki za Wananchi wanaohudhuria Mahakamani na kuweka utaratibu maalum wa aina ya Polisi wanaotakiwa kwenda Mahakamani wawe na cheo gani na wawe na uelewa kidogo kuhusu masuala ya kisheria ili kuepusha Polisi hao kukiuka katiba ikiwemo kufanya vitendo vya kupiga Watu.

Akiongea Jijini Dar es salaam leo May 02,2025, rais Boniface A.K Mwabukusi amesema “Ofisi ya IGP iseme Polisi wanaotakiwa Mahakamani wawe wamekuwa exposed kwenye training kidogo a, e, i, o, u ya sheria, sio tu Mtu unambeba tu kwakuwa amebeba rungu anajua kulenga shabaha unampeleka pale haelewi kwamba Mtu anapoenda Mahamamani ni Mteja wa Mahakama, hii nguvu waliyotumia ingetumika kutafauta Watekaji na kuleta Watu waliomteka Soka”

“Nguvu inatumika kupiga Raia wema wanaoamini katika utawala wa sheria tunawauliza Polisi mna jeuri nyie ya kupambana na Watanzania milioni 62 wakichukia?, kwanini mnawapanikisha Watu?, mnapata faida gani kwenye damu ya Binadamu mwenzako?, unavunja Mtu mguu sio Mhalifu, yaani unatoka nyumbani unaenda kazini unamkamata Mtu kama panya unavunja mguu, jambo ambalo hata mbwa mwenye kichaa hafanyi, tuna Watu wa namna gani?”

“Hili jambo sio la kawaida Watanzania msizoee damu na machozi na vilio vya Watu, sio la kawaida ni ushetani wa hali ya juu, huyo Mtu anavunja mguu wa Mtu anatakiwa kuachwa kwenye ofisi ya umma?, huyo Mtu hawezi kupika na kula nyama ya Mtu?, hatujawahi kuwa na Tanzania ya Watu Wakatili
 
02 May 2025

MASWALI MAGUMU YA WAANDISHI KWA MKUU WA MKOA RC ALBERT CHALAMILA​


View: https://m.youtube.com/watch?v=d3d1h5TBsBw​


Maswali yalegwa katika matukio ya kutisha ya Raia kutekwa, CHADEMA kupigwa kutupwa porini nje ya mji baada ya kukamatwa Mjini Kati CBD Kisutu, Sakata la Ali Kibao n.k

Mkuu wa mkoa ndiye Mwenyekiti na mratibu wa kamati ya Ulinzi na Usalama katika mkoa husika yenye vyombo vya polisi, magereza, uhamiaji, usalama wa taifa DSOs n.k
 
03 May 2025

WATU 500,000 KTK MAJUKWAA YOTE YA MTANDAONI WAFUATILIA MWANZO MWISHO MAWAKILI WA LISSU WAKIELEZEA KILICHOTOKEA MAHAKAMANI
Tundu Lissu anaanza kususia kula chakula
Mawakili wa Tundu Lissu wanazungumza kuhusu muendelezo wa kesi za Mwenyekiti wa taifa CHADEMA.


View: https://m.youtube.com/watch?v=NkwU8WfBio0
  • Criminal justice system
  • Arrogance/ kiburi cha polisi
  • Mungu alitoa nafasi kwa Adam na Hawa wajieleze kabla ya kutoa hukumu, ingawa Mungu alikuwa na uwezo wa kutoa hukumu bils kuwasilikiza
  • Mahakama kuendesha kimatandao / remote proceedings and electronic recording
  • Mahakama ya Wazi / Open court
  • Mahakama isiyo ya Wazi / In Camera
  • Tamko la waziri wa mambo ya ndani mh. Innocent Bashungwa
  • Maneno ya mwanasheria mkuu wa serikali mbele ya Bunge msomi Hamza S. Johari
  • Viongozi wachunge ndimi zao
  • Tundu Lissu agomea Mahakama Mtandao
  • Mazingira ya gereza la Ukonga yanapoka haki za msingi za kisheria za Tundu Lissu
  • Baraza la Umoja wa Mataifa UNGA azimio namba 61 (resolution)almaarufu The Nelson Mandela Rules juu ya haki za mahabusu kama Tundu Lissuna wafungwa zinasemaje
  • Tarehe 06 May 2025 tunakwenda kueleza kuwa kuna mistrial kwa matamshi ya Innocent Bashungwa na Hamza S. Johari kuwa Tundu Lissu ameshahukumiwa kuwa ni mhaini
  • Tutaendelea kuhakikisha kwa kusema mahakamani wananchi wanahaki kuingia katika mahakama ya wazi Kisutu kusikiliza na kujifunza wasitende uhaini
  • Tundu Lissu anaanza kususia kula chakula kwa siku atakayoamua kususa kula chakula mpaka pale atapoona haki inatendeka
Watu waje tarehe 6 May 2025 waje kusikiliza na kuwepo mahakamani kujifunza mwenendo wa kesi
 
Huyu mzee sio kichaa. Ni mwl wangu chuo na pombe hanywi. Alikuwa strategist wa chama sijajua kwasasa

Mambo yanazidi kuchangamka sana kama alivyosema profesa Mihanjo miezi ya kuanzia Machi 2025 hadi June 2025, watawala watapata tabu sana .
 
Back
Top Bottom