Gongo Kanda ya ziwa ni pombe ya kawaida kabisa.Mbona kama mnywa gongo huyu Prof!!? Au kachizika!!
MTu mkubwa sana huyu historia yake hadi jeshini huko ipo.
Ila mshishangae mkasikia kama yale ya kibao wakati yeye katoa maoni yake tuu
Toka maktaba :tunaiona hiyo sasa baada ya miaka kumi kupita, 2025 vijana wengi hawaielewi CCM wanataka mabadiliko .. Prof. Eginald P.A.N. Mihanjo
Hata Mandela alifungwa ila ushawishi wake haukupungua.Sasa Lissu huo wigo atapanulia wapi wakati yu ndani na hukumu yake ndio ile inayosemwasemwa?
Hebu acha kumtusi Mwalimu wangu!Mbona kama mnywa gongo huyu Prof!!? Au kachizika!!
Hakuna kesi hapo, Samia anamtishia nyau kwa kumbambikia kesi za bandia za uongo.Sasa Lissu huo wigo atapanulia wapi wakati yu ndani na hukumu yake ndio ile inayosemwasemwa?
povu linakutoka sanaOna jinga jingine bwabwa hili!!
Ona jinga jingine bwabwa hili!!
Huyu Profesa Minanjo huwaga ni kichaa kabisa
Amesoma sana philosophy mpaka imemchanganya akiliMkuu, fafanua 'ukichaa' wa Prof. Mihanjo
Amesoma sana philosophy mpaka imemchanganya akili
Profesa njaa huyu,hoja dhaifu mwandishi umemuuliza kama amebobea kwenye sanaa pengine hukutilia shaka kulingana na uelewa wako binafsi natilia mashaka kwenye uelewa wake unaotakiwa kuboreshwa,,elimu yake aangalie aliisoma kama adult learning au kama wasomi kina Chenge na wametulia baada ya kusoma wakiwa hawana majukumu
Binafsi nina Dr katika field ya science na ni mwanazuoni nikisomea PhD upande wa sanaa,vema ungemuiliza vizuri. Nyadhifa ndogo alizokabidhiwa si chochote,hajawa expert katika maamuzi ya nchi yenye kufuata dira ya nchi na ya chama tawala na hajawa katika uamuzi wa mwisho wa chama au nchi bali ni mtekelezaji wa maamuzi ya wakuu zake
Mawazo yake yamejaa chembechembe za upotofu wa fikra zake, yanamuonesha namna alivyopwaya katika nafasi za uteuzi na kuonekana hakufaa
Kama Prof ameshindwa kuona na kueleza jamii wanufaike vp na fursa zilizopo nchini chini ya CCM mda wote na awamu ya Dr SSH!!,la kuvunda halina ubani.
Nchi ina umeme,barabara,ruzuku,mikopo mazingira bora yenye fursa kibao za uzalishaji,uwezeshaji na ujasiriamali kwa rika zote
,mpeni kadi apeperushe bendera yenu tutapambana naye majukwaani
Hoja za hovyo chini ya Prof uchwara
Chawa wewe umeshiba kodi zetu ,ilhali yeye hakufaidi matunda ya kazi yake kutokana na serkal dhalimu ya chama chenu.Mbona kama mnywa gongo huyu Prof!!? Au kachizika!!