- Thread starter
- #61
Huyu Mihanjo popote alipo anywe bia bili kwangu
Taratibu vuguvugu / movementi linaanza kueleweka na kushika kasi, nami naagiza bia nyingine kwa profesa popote alipo.
Huyu Mihanjo popote alipo anywe bia bili kwangu
Basi atachoma na nusu kilo ili ashushie vemaTaratibu vuguvugu / movementi linaanza kueleweka na kushika kasi, nami naagiza bia nyingine kwa profesa popote alipo.
Je aliyoyaonge yana maana?? Ukisha pata jibu utajua kama kachizika au la.
Tuseme naye katoka Jalalani?Itoshe kusema Prof kaongea pumba
KabisaWenye akili tumemuelewa sana
acha wasio na akili wazibe masikio na kupinga ukweli
kila jambo na nyakati zake
Kina Mwashambwa na nduguye tlaahtlaah,watashupaza shingo,ila wanauelewa!Vyema, amenena vyema..
Mageuzi ni muhimu sana...
Namheshimu saana prof mihanjo
Najivunia kuwa mwanafunzi wake,
The man is BOLD
Unamaanisha Nini Mkuu?!!Kuna yule mihanjo Dr PhD alisomea seminari songea na PhD Philippine.
Umejikanyaga tuu kueleza hata hueleweki unachoongea!Hana stratejia yoyote,zaidi ya kufanya anayoelekezwa,hakuwa na mamlaka ya kufanya statejia katika chama tawala wala nchi,angalia profile yake na ulizia kwa waliokalia nyadhifa hizo,strategia kidogo katika utekelezaji wa majukumu aliyopewa katika eneo lake la utendaji ambalo ni doooogooooo, sio kubwa kama CCM katika sura ya taifa au nchi kama nchi
Mi nampa wine inaitwa.....Hapa Dodoma lita5!Awe anajipooza Kabla ya kulala, tone tone hiyo!Taratibu vuguvugu / movementi linaanza kueleweka na kushika kasi, nami naagiza bia nyingine kwa profesa popote alipo.
Proffessor muongo wankutupwa CCM haina miaka 60anasema
- CCM kuwa madarakani miaka 60 ni fursa lakini ni changamoto kubwa kwa CCM
25 Aprili 2025
View: https://m.youtube.com/watch?v=wbk2XLS77j8
Ushindi haupatikani kwa kutegemea 'chawa' wala wingi wa kadi. Watu wana kadi na mapenzi kwa vyama hata vitatu. CCM iwe makini wanatakiwa wasiwe na mazoea.
CHADEMA kimekaa muda mrefu kama chama cha siasa, sasa kimekuja kivingine kama MOVEMENT / VUGUVUGU 2025
anasema Prof. Mihanjo na anadadavua kwa kina :
- 2015 CCM ilikuwa ipotee
- Kanda ya Ziwa ilibeba CCM chini ya JPM
- Rais wa sasa aliyeingia kwa ajali, awe makini sana
- Rais aliyepo atapitia wakati mgumu March 2025 - June 2025
- No Reforms No Election ni Hoja kubwa sana
- Wapinzani wasiiache No Reforms No Election
- Wananchi wamekosa matumaini maisha ni magumu

- CCM inabebwa na structures, miundo mifumo onayoikibeba
- Vijana ambao ndiyo wengi wanaona kuwa matatizo yote ya kukosa ajira, masoko na maisha magumu ni sababu ya CCM
- Ikiwa vijana wengi watajitokeza kupiga kura 2025, itakuwa balaa kubwa kwa CCM
- Mkutano Mkuu wa CCM kuvunja katiba yake kuteua mgombea uchaguzi na mgombea mwenza ni ulevi wa madaraka
- Kuna vipindi katiba inakanyagwa, wakati wa Mkapa tunajua majina 5 yaiingia Halmashauri Kuu kuchaguliwa
- Jakaya Kikwete asingepita ikabidi Mkapa acheze mchezo na alisaidiwa na 'vyombo' majina matatu yakapitishwa Salim Ahmed Sal8m , Jakaya Kikwetw , Prof. Mwandosya
- Samia Hassan asingepita kuwa mgombea wa CCM January, ilibidi 'vyombo' wafanye namna kuvunja katiba
- Kuvunjwa katiba ina athari mtambuka inagusa Kidiplomasia, kiulinzi na Kisiasa
- Ndiyo maana No Reforms No Election imepata nguvu
- Tundu Lissu anaongea lugha onayoeleweka na vijana, na anatakiwa kupanua wigo akusanye makundi yote
- Tundu Lissu na viongozi wenzake CHADEMA waongeze hamasa vijana wajitoke kukiunga mkono CHADEMA na wajitokeze kupiga kura
- CHADEMA wazungumzie matatizo ya Wakulima, Wavuvi, wafugaji wanafunzi wa vyuo ili kugusa mahitaji ya kila kundi
- Tunaangalia stratejia za CCM na Wapinzani
- Marafiki zangu Lowassa, Bernard Membe, mwalimu wangu Kingunga Ngombale Mwiru walijitoa CCM walinipigia simu kabla ya kuhama na kuekezea sababu zao ..
- Tumeandika katika sekretarieti ..
Prof. Eginald P.A.N. Mihanjo. PhD, MA in History, BA (Hon.) Educ. (UDSM) amewahi kuwa Kaimu Makamu Mkuu Wa Chuo na mhadhiri mwandamizi kama mkurugenzi wa mafunzo wa Chuo cha Ulinzi wa Taifa NDC, chuo cha Diplomasia cha Tanzania na Msumbiji Foreign Relation Kurasini.. pia ni mtaalamu wa Usuluhishi wa Migogoro kimataifa na kikanda ..

Proffessor muongo wankutupwa CCM haina miaka 60
CCM ilianzishwa mwaka 1977 ina miaka 48
Kwa hiyo kikiwa chama Dola!CCM ni chama dola sawa na umri wa Tanganyika ktk kti la Muungano
Sawa kabisa na dola ni 'state' nchi yenye kuviamrisha vyombo vya dola.Kwa hiyo kikiwa chama Dola!
UsitutisheIla hukubali kuna siku ccm itaondoka kama itakavyoondoka dunia ukiwemo wewe?