Apollo one spaceship
JF-Expert Member
- Jan 28, 2021
- 245
- 457
mkuu unamanishaaa nini?? maana kizungu kigumu sanaaHe is a Dinosaur, and he is discombobulated with fast pace economy....
Kupiga marufuku ni kitu ambacho hawawezi hasa kwa private investors. Crypto is decentralized.Ni vizuri tz ikajiepusha kabisa na haya makitu na kupiga marufuku kabisa currency speculations
Kwani China wamepigaje marufuku, unadhani BOT hawana taarifa ya transactions ya hela mnazonunua hizo coins?Kupiga marufuku ni kitu ambacho hawawezi hasa kwa private investors. Crypto is decentralized.
Yuko nyuma ya zama,old age,Slow learner.mkuu unamanishaaa nini?? maana kizungu kigumu sanaa
Marufuku ya China ni umiliki wa institutions lakini private investors wanapita nazo as normal. Pia, China Wana coin Yao wanayotaka nayo iende mainstream in case Crypto ikiwa full adopted. Kwenye Business Insider ya March 2021 ilielezwa humo.Kwani China wamepigaje marufuku, unadhani BOT hawana taarifa ya transactions ya hela mnazonunua hizo coins?
Lielewe hili, China imepiga marufuku shughuli zote zinazohisiana na cryptocurrency.Marufuku ya China ni umiliki wa institutions lakini private investors wanapita nazo as normal. Pia, China Wana coin Yao wanayotaka nayo iende mainstream in case Crypto ikiwa full adopted. Kwenye Business Insider ya March 2021 ilielezwa humo.
Mkuu unatakiwa uzinduke, duniani sio china tu!Lielewe hili, China imepiga marufuku shughuli zote zinazohisiana na cryptocurrency.
Hiki kibano kipya kilipitishwa rasmi mwezi WA Tisa, Cryptocurrency ni haramu China.
China declares all crypto-currency transactions illegal
Trading Bitcoin and other crypto-currenices is a criminal activity, China's central bank says.www.bbc.com
China regulators to ban crypto trading and speculation
Chinese authorities have banned all virtual currency trading and speculation.www.pinsentmasons.com
Kampuni kama huobi haipokei tena wateja toka China bara(Mainland China).
Cryptocurrency exchange Huobi to clean up existing mainland clients by end-2021
Chinese cryptocurrency exchange Huobi Global said on Sunday it had stopped taking new mainland customers from Friday and would end contracts with mainland clients by the end of the year to comply with local regulations.www.reuters.com
Ufanyaji kazi WA digital yuan ni tofauti na coin zingine IPO Chini ya state control na sio decentralisation.
Kuna nchi bitcoin ni legal tender yao mkuu. Kuwa mpole hii kitu haikwepeki!Hizi currency chezeeni kwenye magemu sio mavitu ya kukurupukia hayo
Kwamba watafungia internetwakipiga marufuku currency speculation maisha yangu yatakuwa magumu sanaa
Ndio duniani sio China, huwezi kukuta nchi inayojielewa iache kuwekeza kwenye real economy na kuweka ela kwenye hizi coin kama huyo Rais WA el Salvador anavyoielekeza nchi yake shimoni.Mkuu unatakiwa uzinduke, duniani sio china tu!View attachment 2024796
Jiandae kisaikolojia mkuu. Tutaruka ruka lakini mwisho wa siku tutaishia kwenye bitcoin.Ndio duniani sio China, huwezi kukuta nchi inayojielewa iache kuwekeza kwenye real economy na kuweka ela kwenye hizi coin kama huyo Rais WA el Salvador anavyoielekeza nchi yake shimoni.
Muda ni rafiki mzuri.Jiandae kisaikolojia mkuu. Tutaruka ruka lakini mwisho wa siku tutaishia kwenye bitcoin.