muggyen
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 347
- 253
Ukisoma comments za baadhi ya watu unagundua mtazamo wao ni kutokana na kutokujua au kuelewa jambo lakini ndio wamejivika usemaji wa jambo. Ukinunua mahindi kwa kilo 600, kisha ukahifadhi ghalani, ukakuta sokoni kilo ni 800. Mbona ndio same logic ya price appreciation kwenye crypto na pia price ya mahindi nayo si inaweza kushuka, same as cryptos. Nisiwe msemaji sana maana mwisho wa siku kila mtu anashinda mechi zake na si kila coin will make it as Bitcoin & Ethereum ni sawa na Amazon na Apple kipindi cha internet bubble (from 1980s to early 2000s)