kweyamba_dave
JF-Expert Member
- Oct 2, 2012
- 961
- 483
Speculation will never be safe. Uwekezaji wa Kuvizia lini uingie na lini utoke sio uwekezaji.Wapo shallow sana kwenye haya mambo.
Hapo nina uhakika hakuna hata mmoja aliesoma hata kitabu chenye page 30 cha bitcoin, zaidi zaidi wameangalia zile video za dakika 2 za youtube 😂😂
we vuta picha tu hata ishu ya paypal kupokea pesa mpaka leo imeshindikana kwasababu ya hao wazee wenye mawazo mgando ya miaka ya 90.
ila ukiwaangalia kwa kigezo cha cheo, miwani, suti, vyeo na elimu zao za miaka ya 90 kabla hata bitcoin haijaanza, unaweza kudhani wanajua 😂😂
hopeless kabisa!! haya mambo ilibidi wadau wanaohusika direct ambao wengi ni vijana wawekezaji wa cypto currency ndio wasikilizwe zaidi, sasa hawa wazee wapi na wapi wanaamua hatma ya vitu ambavyo hawana hata maarifa yake, yani hapo hao wazee hata ukiwaambia wallet ya bitcoin, hawaelewi kitu.
Nasikitika unafikra kuwa akili ya prof haiwezi kuelewa simple concepts za crypto world.
There is no practical possibility ya any crypto coin Kuoverule fiat currency. Kiuchumi na kijamii wealth requires protection. Only a centralized System Can offer that.
Kuna mawili iwapo crypo coins zitatumika kama mbadala wa current currencies either the shark investors Will form their own protection blocks or chaos will arise. Either way haitakuwa na msaada kwa mabilioni ya wanadamu.
Well kutakuwa na swali pia la wealth redistribution au itashuhudiwa inequality ambayo haijawi kutokea.