Prof. Florens Luoga: Crypto-currencies are not safe as far as we know

Prof. Florens Luoga: Crypto-currencies are not safe as far as we know

Ukisoma comments za baadhi ya watu unagundua mtazamo wao ni kutokana na kutokujua au kuelewa jambo lakini ndio wamejivika usemaji wa jambo. Ukinunua mahindi kwa kilo 600, kisha ukahifadhi ghalani, ukakuta sokoni kilo ni 800. Mbona ndio same logic ya price appreciation kwenye crypto na pia price ya mahindi nayo si inaweza kushuka, same as cryptos. Nisiwe msemaji sana maana mwisho wa siku kila mtu anashinda mechi zake na si kila coin will make it as Bitcoin & Ethereum ni sawa na Amazon na Apple kipindi cha internet bubble (from 1980s to early 2000s)
Sir Jeff amewapiga watu biashara gani uliona Dalali hana hasara yeye anapata Tu lakini investor ni 100% Hasara
 
Wapo shallow sana kwenye haya mambo.

Hapo nina uhakika hakuna hata mmoja aliesoma hata kitabu chenye page 30 cha bitcoin, zaidi zaidi wameangalia zile video za dakika 2 za youtube [emoji23][emoji23]

we vuta picha tu hata ishu ya paypal kupokea pesa mpaka leo imeshindikana kwasababu ya hao wazee wenye mawazo mgando ya miaka ya 90.

ila ukiwaangalia kwa kigezo cha cheo, miwani, suti, vyeo na elimu zao za miaka ya 90 kabla hata bitcoin haijaanza, unaweza kudhani wanajua [emoji23][emoji23]

hopeless kabisa!! haya mambo ilibidi wadau wanaohusika direct ambao wengi ni vijana wawekezaji wa cypto currency ndio wasikilizwe zaidi, sasa hawa wazee wapi na wapi wanaamua hatma ya vitu ambavyo hawana hata maarifa yake, yani hapo hao wazee hata ukiwaambia wallet ya bitcoin, hawaelewi kitu.
Wewe unajifananisha na Luoga kweli [emoji24][emoji24] hapo ndio mnapo onekana matapeli!!..Unajua BOT kuna wataalamu wangapi?!!.. Unadhani hizo benki binafsi ziko chini ya Nani?!!.
 
Kwa nini anashindwa kusema kuwa bado wanasubiria waone jinsi baba zao US wanavyokwenda na haya makitu ndio waige

kupiga marufuku kwa nchi kama Tz yenye makondoo wengi inaweza kuwezekana ila bado akina sirjeff wao bado wataendelea kutajirika kupitia crypto
Huyu huyu aliyefanganya ana cancer na kila siku ana lalama kutapeliwa aisee kweli hii nchi yenu vipofu mpo wengi
 
He is a Dinosaur, and he is discombobulated with fast pace economy....

The guy is not fit to lead that institution because he does not understand the workings of the world economy and its pace!! He is talking about researching about the viability of the crypto currency while the Bank of Nigeria has already issued their digital currency!!! BOT needs a more dynamic leadership.
 
Mkuu, safety ya uwekezaji wowote inapungua pale risk inapoongezeka. Ndio maana Government Bonds au debentures ni safe kuliko aina nyingine za uwekezaji.

Cryptocurrencies have highest value volatility. You can wake up with nothing. Price ya coin kama bitcoin ni unrealistic na slight Changes zinaweza kuiaffect vibaya. Unawezaje kuita hiyo kitu safe?
wakikujibu naomba niamshe
 
Unaposema hakuna serikali itayo kubali bitcoin inaoneka uko nyuma kidogo kwenye mambo ya kimataifa... sio kosa lako na sikulaumu.. ila kuanzia sasa jua kwamba..

El Salvador kwa sasa ili kununua chakula au kulipia huduma yotote ya kijamii au kiuchumi unatumia BITCOIN.

Kwa lugha nyepesi kwa nchi ya El Salvador BITCOIN ndio legal tender yao.
usidanganye watu not only Bitcoin... legal tender ya el salvador has always been USd, ila September hapo ndio wameadopt hilo along with USD claiming ataboost investment
 
Usiwe na akili za kushikiwa, sio kila mtu anae invest in Crypto katokana Jeff. The knowledge is everywhere through the internet (kwa faida ya wengi nlianza kusomea Udemy kisha nikaendelea na other platforms na kupitia marafiki zangu waliowekeza) . Na pengine I knew crypto before Jeff, the moment yeye analeta Forex mainstream hapa jamiiforums mie nlkuwa nishakuwa na ufahamu na cryptos na nishakuwa na initial investment. Na pili Jeff sio Dalali wa cryptos wala Forex. Yeye ni investor/trader na pengine influencer kwa kushirikisha wengine juu ya portfolio zake. I'm not affiliated to him lakini ni muhimu kumsemea mtu ukweli, jamaa anapigwa spana hata kwa makosa ambayo hausiki hakukuwa na sababu za kumleta Jeff kwenye hili.

Unaponuna coins (cryptos) na kuwekeza ni sawa na kununua hisa. Kama mwekezaji ni jukumu lako wewe mwenyewe kujua utanunua nini, kulingana na malengo na mfuko wako. Jeff sio intermediary, unanunua from the market moja kwa moja. Elimu ni ufunguo wa maisha na kuuliza sio ujinga, kamwe huwezi jua yote.
Naona sasa hivi humtaki Jeff najua hukujua namjua vizuri kuliko huku kwenye mitandao!!..Humu sio wote mapoyoyo tulia acheni kujifanya mnajua mambo ambayo hamjui!!!
 
The guy is not fit to lead that institution because he does not understand the workings of the world economy and its pace!! He is talking about researching about the viability of the crypto currency while the Bank of Nigeria has already issued their digital currency!!! BOT needs a more dynamic leadership.
Wewe uko fit kwendesha BOT mbona unadanganya humu[emoji23][emoji23][emoji23] He is not fit kwasababu anajua hii mambo yenu (Fedha za kudownload) sio salama
 
Gavana wa benki kuu ya Tanzania Prof. Florens Luoga amesema wanachojua mpaka sasa ni kuwa sarafu za kidijitali sio salama. Aidha amesema kwamba hawawezi kusema ni lini watatoa maelekezo kwani bado wanafanya utafiti.

Watatoa kanuni na miongozo wakishamaliza endapo watakamilisha utafiti wao.

======


"As far as we know Crypto-currencies are not safe. We cannot give timelines when to issue regulations, we are still researching – we will give regulations when we have finished our research" - Prof. Florens Luoga, Governor, Bank of Tanzania.

SOURCE: Bank of Tanzania
Mimi siamini hawa maprofesa wetu, wanajua vitu vya kwenye vitabu kuliko uhalisia. We nchi mpaka leo Paypal wameifungia isipokee pesa. Bei za vitu zinapanda tu na hawajui jinsi ya kucontrol mfumko.
Mimi siwaamini hawa maprofesa wetu kwakweli.
 
Jiandae kisaikolojia mkuu. Tutaruka ruka lakini mwisho wa siku tutaishia kwenye bitcoin.
Yani piga ua garagaza, cryptocurrencies ndiyo future ya currency. Hofu tu ya serikali ni kwamba haziko centralized hiyo ndiyo hofu yao. Lakini hakuna namna lazima zitatake over.
 
Yani piga ua garagaza, cryptocurrencies ndiyo future ya currency. Hofu tu ya serikali ni kwamba haziko centralized hiyo ndiyo hofu yao. Lakini hakuna namna lazima zitatake over.
Zita take over kwahiyo unaona wote hatuna akili
 
Zita take over kwahiyo unaona wote hatuna akili
Zita take over, ingekuwa hivyo hata bitcoin ingekuwa ishafungiwa lakini sasa inazidi pata umaarufu. Juzi imevunja rekodi kwa transactions za bitcoin kubypass transactions za paypal. Sasa inaifukuzia mastercard na visa. Ni innevitable. Teknolojia haizuiliki ni muda tu.
 
JF bana inabidi uzoee, sometimes anaekutukana hakukuti hata nusu ila bado unapokea matusi. Unaweza Kuta mtu hajawahi hata kufika DSE na kununua hisa zake na kisha kuziuza kwa faida, lakini bado yakija masuala ya masoko ya kifedha anashauri kama anajua lolote la maana.Sisi vijana tunaojua tunachokifanya, tuendelee kushinda mechi zetu. The future may not be certain but it's promising enough kuendelea na hawa wajuaji tuone kama in 10 years to come bado watakuwa wanasema haya wasemayo leo.
Tatizo lenu mnajipa umashuhuri usio kuwepo yani kwasababu unajua au Baba yako ana nunua vipande kwenye Soko la Hisa ndio unakuja kudanganya hapa!!...Tuliza akili humu JF wako watu narudi hapa JF tupo watu na wewe na kikundi chenu wote na koo zenu mkichanganya mitaji yenu mnaweza kuwa hata robo hazifiki kwahiyo kaa Kwa kutulia Ndugu ili Soko la Hisa umejua juzi acha hizi mambo wewe narudia kaa Kwa kutulia humu sio wote zaizi yenu
 
Zita take over, ingekuwa hivyo hata bitcoin ingekuwa ishafungiwa lakini sasa inazidi pata umaarufu. Juzi imevunja rekodi kwa transactions za bitcoin kubypass transactions za paypal. Sasa inaifukuzia mastercard na visa. Ni innevitable. Teknolojia haizuiliki ni muda tu.
Unayo biashara ya Forex au unasikia Tu [emoji23][emoji23]!!..Forex trading hii ni scam!!.. Hasara ni kubwa kuliko Faida!!..Hebu Chukua hebu Nunua Euro Crdb sasa hivi alafu uuze Absa uone kama utapata Hasara kama hii yenu !!..
 
Back
Top Bottom