Kwa kuangalia uungwana, hata Mwalimu angepokea lakini angewachana hapo hapo kama ambavyo aliwachana walioenda kumjengea nyumba kubwa Butiama kwa kuwaambia "... kwani mimi ni tembo hadi nijengewe nyumba kubwa kiasi hicho ?!"Mzee Shivji ameniwahi, hata mimi nilitaka kuhoji "Hivi Mzee Julius kweli angekubali kupokea zawadi ya Benzi kama ile?"
Acha chuki... zitakuua kabla ya siku zako!Nahisi hapa Viongozi wa Kiislam ndio wanashida.
Rais Mwinyi
1.Mtoto-Rais wa Zanzibar
2.Mtoto wa mwingine-Mbunge
3.Mkamwana wake-Mbunge
Kikwete
1.Mke wake -Mbunge
2.Mwanae Ridhiwan-Mbunge
Samia.
1.Mwanae -Mbunge
Na hapo bado alikuwa Makamu tu,sasa hivi yeye ndio ameshukila mpini.
Ma Rais wetu Wakristo ambao wote ni marehemu Mkapa,Magufuli na Nyerere Familia zao! zitajijua.
Huyu Shivji mwoga sana, alituacha solemba kwenye mchakato wa katiba mpya!!! Hafai!!Mzee Shivji ameniwahi, hata mimi nilitaka kuhoji "Hivi Mzee Julius kweli angekubali kupokea zawadi ya Benzi kama ile?"
Kwa hiyo mali za watanganyika anazigawa kama zake ?Ukute Mzee Mwinyi alikua role model wa Mama Samia enzi akiwa hana hata ndoto ya uongozi. Hata ningekua mie ningetoa zawadi aiseee
Huu ni wizi wa wazi wazi unaoonyesha roho mbaya na uroho wa viongozi wetu ambao tena wengine wametumia madaraka kupokea rushwa kubwa na kuingiza nchi kwenye matatizo ya kiuchumi. Kuna siku vijana watazichoma moto hizo nyumba."Nilihudhuria 70th (1992) birthday ya Mwalimu. Sikumbuki alipewa zawadi yoyote. Hata kukata keki alifanya kwa mzaha. Alipokuwa anaondoka, mama mmoja kampa portrait yake aliyechora mama huyo mwenyewe. Akamambia msaidizi wake apokee. Zawadi ya Benz kwa Mzee wetu ikanishtua kidogo."
-- Issa Shivji kupitia Twitter
Sijui kwa nini wazo la Vijana kuwa na Baraza/Jumuia yao rasmi nje ya vyama vya siasa linapuuzwa hasa na serikali.
Vijana hawawezi kuwa wamoja kupitia Jumuia za vyama kwa kuwa Jumuia hizi zinawagawa kuliko kuwaunganisha!
Magufuli alimjengea KIKWETE nyumba.
Magufuli alimjengea MWINYI nyumba.
Rais Suluhu amemnunulia MWINYI Gari la Anasa, aina ya Benz.
Hivi Marais hao wastaafu wenye kulipwa nusu ya Mishahara ya Rais aliyeko madarakani Wanashida hizo?
Hawamudu gharama?
Mr mkiki
Hahahahaha a comment of the monthKwa sasa Tanzania kwa yanayoendelea, yeyote anaweza kuwa Rais.
AnawashwaIssa Shivji nae kaanza kuongea?
Alivyo jifanya bubu wakati wa Magufuli? Keshasahau?
Shivji ni communist..failed ideology...
DuhHuu ni wizi wa wazi wazi unaoonyesha roho mbaya na uroho wa viongozi wetu ambao tena wengine wametumia madaraka kupokea rushwa kubwa na kuingiza nchi kwenye matatizo ya kiuchumi. Kuna siku vijana watazichoma moto hizo nyumba.
Huwajui wahindi japo si wote. Wana kitu kimoja wanachoshare nacho ni ubaguzi. Mengine huwezi kujua ni kwanini wako hivyo.Issa Shivji, muhindi, of all the people, ana uzalendo kuliko Rais wa Kiswahili.
Wiki iliyopita alikuwa Rostam Aziz, muhindi mwingine, akatamka mbele ya Rais Samia Suluhu, hatukubali kuwa mateja wa Kenya.
WAHINDI wa Tanzania imetokea wana uzalendo kuliko Rais wa Kiswahili Samia Hassan. Waafrika Mungu tuonee huruma.
Watu walikua na mengi ya moyoni. .. baada ya jiwe kufa ndio wanaongea ila ingekua kipindi chake wangeufyata mkiaIssa Shivji nae kaanza kuongea?
Alivyo jifanya bubu wakati wa Magufuli? Keshasahau?
Shivji ni communist..failed ideology...
Sio tu nusu ni 80%"Nilihudhuria 70th (1992) birthday ya Mwalimu. Sikumbuki alipewa zawadi yoyote. Hata kukata keki alifanya kwa mzaha. Alipokuwa anaondoka, mama mmoja kampa portrait yake aliyechora mama huyo mwenyewe. Akamambia msaidizi wake apokee. Zawadi ya Benz kwa Mzee wetu ikanishtua kidogo."
-- Issa Shivji kupitia Twitter
Sijui kwa nini wazo la Vijana kuwa na Baraza/Jumuia yao rasmi nje ya vyama vya siasa linapuuzwa hasa na serikali.
Vijana hawawezi kuwa wamoja kupitia Jumuia za vyama kwa kuwa Jumuia hizi zinawagawa kuliko kuwaunganisha!
Magufuli alimjengea KIKWETE nyumba.
Magufuli alimjengea MWINYI nyumba.
Rais Suluhu amemnunulia MWINYI Gari la Anasa, aina ya Benz.
Hivi Marais hao wastaafu wenye kulipwa nusu ya Mishahara ya Rais aliyeko madarakani Wanashida hizo?
Hawamudu gharama?
Mr mkiki
Mimi ni mkatoliki wa Roma. Naunga hoja zako 100%. Sijali Raisi awe muislam ama mpagani ama mbuda, alimradi atuletee maendeleo. Tena mie naona maraisi waislam Wana bahati Sana na hii nchi, wananchi wanakua na hela, wanakua na uhuru wa kutoa ya moyoni, Wana subra.Acha chuki... zitakuua kabla ya siku zako!
Na huu upumbavu ndio unagawa watu kwenye kutetea maslahi ya taifa!!
Kuna Wakristo wangapi wanasiasa na watoto wao ni wanasiasa?!
Makongoro Nyerere aliingia kwenye siasa... ina maana angeweza ku-excel vizuri asingefanya kama alivyofanya mtoto wa Mzee wa Karume?!
Hivi una uelewa wowote kuhusu watoto wa Benjamin Mkapa?! Mbona mtu kama Mzee Msuya ana mtoto kwenye ulingo wa siasa ambae alifikia hadi kuwa waziri?
Unataka kusema Mzee Msuya angebahatika kuwa rais, uana siasa wa Mathayo David ungekoma?
Huyo Jiwe ulitarajia mtoto wake yupi angeingia kwenye siasa?!
Acha chuki!!
And I hate to say, lakini ukweli ni kwamba baadhi ya Wakristo wa JF mmejawa mna chuki sana na watu wa jamii zingine kiasi kwamba hata Yesu mnayemuamini anawaogopa!!
Matokeo yake, kiongozi anapokuwa Mwislamu mnaanzisha chuki za kidini, akija kiongozi Mkristo mwenzenu, mnatoka kwenye udini, na kuhamia kwenye ukabila... shame on y'all!!
Na hivi sasa Ikulu yupo Mwislamu, posts na threads za kipumbavu kama hizi zitajaa JF kwa sababu wale wale waliokuwa wanajaza posts za tuhuma za ukabila wa JIwe ndio hao hao watakaokuwa wanajaza posts za udini!!
Kuna wakati nilidhani labda huyo mzee kahama nchi...Issa Shivji nae kaanza kuongea?
Alivyo jifanya bubu wakati wa Magufuli? Keshasahau?
Shivji ni communist..failed ideology...
Na vipi kuhusu Magufuli City? Unazungumziaje kuhusu miradi ilopelekwa Chato?Nahisi hapa Viongozi wa Kiislam ndio wanashida.
Rais Mwinyi
1.Mtoto-Rais wa Zanzibar
2.Mtoto wa mwingine-Mbunge
3.Mkamwana wake-Mbunge
Kikwete
1.Mke wake -Mbunge
2.Mwanae Ridhiwan-Mbunge
Samia.
1.Mwanae -Mbunge
Na hapo bado alikuwa Makamu tu,sasa hivi yeye ndio ameshukila mpini.
Ma Rais wetu Wakristo ambao wote ni marehemu Mkapa,Magufuli na Nyerere Familia zao! zitajijua.
Je, uliwahi kemea ile siku mwendazake alipoenda kuwaonesha hawa hastaafu mijengo yao? Au mwendazake alipokuwa anagawa maburungutu ya minoti barabarani? If not huna uhalali wa kusema si sawa la sivyo itakuwa ni wivu tuHata lingekuwa na thamani ya milioni 5, si haki kumpa huyo anayepokea posho 80% ya mshahara wa rais wakati wafanyakazi wakinyimwa nyongeza kwa visingizio vya ukosefu wa fedha.
Vi wapi vipaumbele vya nchi?!
Alijenga nyumba za wastaafu wote
80% ya mshahara wa aliyepo madarakani. Magu alishusha mshahara wake ili kukabiliana na huo mzigo mzito, wanahudumiwa kwa kila kitu.