Prof. Issa Shivji: Nilihudhuria birthday ya Mwalimu, sikumbuki alipewa zawadi yoyote. Hata kukata keki alifanya kwa mzaha

Prof. Issa Shivji: Nilihudhuria birthday ya Mwalimu, sikumbuki alipewa zawadi yoyote. Hata kukata keki alifanya kwa mzaha

Kama nilisikia vizuri, JPM alisema mshahara wake ni 9m, kutoka 35m ya Mkwere.

Julius naye alishusha mshahara wake, ni bunge ndo liliamua?
President analipwa kwa wiki hizo 8.5(mil 9),alikua analipwa kwa wiki kwa kua alikua mwongo sana watuletee mkeka wake ili nawewe usapoti matamshi yake

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
President analipwa kwa wiki hizo 8.5(mil 9),alikua analipwa kwa wiki kwa kua alikua mwongo sana watuletee mkeka wake ili nawewe usapoti matamshi yake

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Wewe sasa ndo ungeanika uongo wake kwa kuweka mkeka wa yeye kulipwa kwa wiki hicho kiwango, kinyume na hapo wewe ni zaidi ya ulichosema.
 
Hivi ni zawadi ama stahili yake kama Rais mstaafu? Nilivyoelewa ni kama "wamembadilishia" gari.....gari ya sasa ipo juu sana kwa umri wa mzee Ruksa kupanda bila msaada ni mtihani.....benz ipo chini.....

Kwa hivyo kama ni exchange kwa ajili ya convenience..... binafsi sioni kama ni tatizo sana. Ila kama ni nyongeza, hapo tusemezane na hawa "wazanzibari"!
 
Mzee Mwinyi umri umeenda sana. Hiyo gari aliyozawadiwa sijui ataitumia wakati gani. Maana mzee yeye ni mtu wakutulia home tu. Ukimwona ni mara chache tena kwenye shughuli za serekali au chama. Na huko kote anapelekewa gari na ulinzi.
 
Siungi mkono mzee Mwinyi kupewa zawadi, napinga tabia za watanzania kumeza habari kama inavyokuja zenye premise zisizo sahihi.

Ile Benz ata kama aijaonekana vizuri kutambua kama brand new au mtumba wa mwaka gani haswa; lakini kwa haraka haraka tu aina thamani ya tsh 450 million.

Kwann huungi mkono mwinyi kupewa zawadi?
 
Hii nchi inaumiza sana. Viongozi hawapo Serious kabisa na maisha ya watanzania hawa maskini. Unampa mtu ambaye hajawahi kuwa na shida maisha yake yoye Zawadi ya Benzi lenye thamani ya Tsh Mil 450.

Mwinyi ambaye ana majumba,magari,na kila kitu na watoto wake wenyewe walikuwa hawashindwi kumpa zawadi kama hiyo. Mtoto wake ni Rais wa Zanzibar.

Ameona pesa za Wazanzibar zitumike kwenye mambo ya msingi ila kodi za Wabara mama Samia anaona zinafaa kumnunulia Ali H. Mwinyi Benz. Msomeni Prof. Shivji

View attachment 1778664
Mzee Shivji amesahau kuwa Mwalimu alikuwa Mjamaa ambaye alisimamia kile alichokataza wengine kufanya.
Sio kwamba hakukuwa na mtu/watu/taasisi za kumzadia mwalimu zawadi kubwa, ni nani ambaye angelithubutu kufanya hivyo?
Hata hivyo Dunia inaenda inabadilika kulingana na wakati, ilikuwa ni vigumu kipindi kufanya jambo lile huku hakuna miundombinu ya kuendesha gari ya namna ile hata hivyo ubora wa magari yetu kipindi kile kulinganisha na leo.
Mzee Shivji alikuwa wapi kuwapigania watu anaowapigania leo kipindi kile Waziri Mramba anawasilisha bungeni hoja ya ununuzi wa ndege ya Rais?
 
Mwinyi yupo na chuma cha mjerumani, mama angempa 0km latest machine special order ingependeza zaidi, hii ya kufukua huko stoo inawapagawisha wazalendo uchwara, 0km wangezikwa.
 
Kwa suala la gari unaona dhahiri namna gani watanzania ni watu wa kuropokwa. Hakuna sehemu value ya gari imetajwa kuwa milion 450, ila watu wanaropokwa. Jambo la pili, hakuna ushahidi kama ni gari ilikuwepo au imeagizwa.

Tukianza kuangaliana kwa usafi na uchafu hakuna aliyemsafi. Babu Mwinyi aliuza ardhi ya ndugu zetu wa jamii ya kimasai. Aliboronga dhahiri shahiri. Mimi mama Samia nalia naye suala la kutoa maagizo kusogeza mbele mechi ya watani kwa msingi wa kutufanya wananchi tutazame shughuli ya uzinduzi wa kitabu. Kama si yeye aliye nyuma ya agizo lile tunategemea awatumbue waziri Bashungwa na mjivuni Abbas Hassan.
 
Kweli hii bongo nyoso.tunakosa kuleta mijadala ya maana tunajadili mzee mwinyi kuny'ang'anywa v8 na kupewa benz?
 
Hii nchi inaumiza sana. Viongozi hawapo Serious kabisa na maisha ya watanzania hawa maskini. Unampa mtu ambaye hajawahi kuwa na shida maisha yake yoye Zawadi ya Benzi lenye thamani ya Tsh Mil 450.

Mwinyi ambaye ana majumba,magari,na kila kitu na watoto wake wenyewe walikuwa hawashindwi kumpa zawadi kama hiyo. Mtoto wake ni Rais wa Zanzibar.

Ameona pesa za Wazanzibar zitumike kwenye mambo ya msingi ila kodi za Wabara mama Samia anaona zinafaa kumnunulia Ali H. Mwinyi Benz. Msomeni Prof. Shivji

View attachment 1778664
YAAN LILE LIMAMA LINAONA UKISHAKUWA RAISI UNAJIAMULIA TU CHOCHOTE, HIZO HELA SI ANGEWAPA WAZEE KWENY KIKAO MLIMANI CITY ANGEJIPATIA BARAKA
 
Huyu Shivji mbona aliwasaliti wazanzibar bunge la katiba alipiga kura serikali 2 wakati vitabu vyake vyote alindatika mfumo wa serikali 3 ndio bora zaidi?
Unaitwa UNAFIKI WA KIMASLAHI! Je ni kiasi gani cha pesa kilitapanywa na mwendazake ma'barabarani na watu hawakuhoji?
 
YAAN LILE LIMAMA LINAONA UKISHAKUWA RAISI UNAJIAMULIA TU CHOCHOTE, HIZO HELA SI ANGEWAPA WAZEE KWENY KIKAO MLIMANI CITY ANGEJIPATIA BARAKA
Je unadhani hawakuondoka naposho ama u mgeni katika siasa na mialiko ya nchi hii?
 
Je unadhani hawakuondoka naposho ama u mgeni katika siasa na mialiko ya nchi hii?
SIDHANI MAANA NI VIKAO VYA WAFANYAKAZI WA UMMA,MASHIRIKA NA VYAMA HUWA NA POSHO HIZO, PIA TUKI RECALL PALE ALIPOBABAIKA KUHUSU KUKOSA PENSION JAPO ELFU 30 WE UNAFIKIRIAJE HYO PESA INGEWEZA KU COVER MANGAPI VIJANA WANGAP LEO, MAKUNDI MAALUM MANGAP LEO YANAPAMBANA NA UCHUMI HALI MBAYA UKATUMIA NUSU BILION KWAAJILI YA GARI TU LA MSTAAFU
 
Mbona hiyo zawadi ni ndogo sana ukilinganisha na ile zawadi ya Nyumba iliyotolewa na Mwendazake.?

Wacha maisha yaendelee
Zawadi ya nyumba ni kwa mujibu wa sheria, hata kikwete amekabidhiwa ya kwake Leo.
 
Back
Top Bottom