Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
Siungi mkono mzee Mwinyi kupewa zawadi, napinga tabia za watanzania kumeza habari kama inavyokuja zenye premise zisizo sahihi.Hata lingekuwa na thamani ya milioni 5, si haki kumpa huyo anayepokea posho 80% ya mshahara wa rais wakati wafanyakazi wakinyimwa nyongeza kwa visingizio vya ukosefu wa fedha.
Vi wapi vipaumbele vya nchi?!
Ile Benz ata kama aijaonekana vizuri kutambua kama brand new au mtumba wa mwaka gani haswa; lakini kwa haraka haraka tu aina thamani ya tsh 450 million.