mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Kuna siku nilikuwa pale muhimbili wakapita manesi wawili wakiwa na kitanda cha matairi .kwenye jua Kali alafu hawakumfunika yule jamaa usoni cha ajabu yule jamaa Wala hakutukisika Wala kukunja uso nikajua tayari chuma kimeshakata Moto kinaelekea kwenye jokofu