tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,327
- 4,624
Hii ni siasa tu. Hata hajui anaongeza gharama zisizo na maana. Akikua ataacha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwezo wako wa kufikiri umefikia level ya juu kwako ,naona unaona ni vema kwa police defenders pia kubeba maiti ni sawa, Tanzania tutasubiri sana kufikia first world's kutokana na ufikiri wa kizuzu kama huu,kwa hiyo akiyegongwa na gari na kufa means hakua na magonjwa ya kuambukiza!!,endelea kulalamika humu na viajira uchwarasawa umwambie aisitukataze kula maini
nani kakuambia mtu akishakufa anaambukiza mwingine magonjwa?.Wao sio wajinga mgonjwa aliyekufa kwa gonjwa la hatari sana linaloweka kuambukiza mfano Covid,kipindupindu na ebola treatment yake lazima itakuwa ni special.Mtu kafa kwa kisukari au ajali ya gari wewe utapata maambukizi vipi
Inaonekena huijui ukubwa wa muhimbili ilivyo, baadhi ya wodi na wodi au na mortuary zilipo ni umbali unaozidi kilometa moja na zaidi, ni shida sana kwa wahudumu kumuhamisha mgonjwa au maiti toka sehem moja mpk nyingineUfie wodini, mwili ubebwe na ambulance kwamba hizo gari zinaingia wodini? Najua mortuary ziko huko huko ndani ya majengo.
Hawa wasomi mbona wanatuchanganya?
Acha ujuajiJibu hoja, acha ushamba
Duh, kwani kila jambo lazima mchangie, hata km huna uelewa nalo ndugu, ni vizuri wakati mwingine kusoma maelezo ya wengine, unaweza kujifunza kitu.Umeshasema korido,kwa hiyo itasogwezwa na kitanda umbali mfupi
Duh, kwani kila jambo lazima mchangie, hata km huna uelewa nalo ndugu, ni vizuri wakati mwingine kusoma maelezo ya wengine, unaweza kujifunza kitu.
Mtawanyiko wa wodi zote na sehemu zote za hudama pale muhimbili zinafikika kwa miundombinu yote, yaani kuna njia za gari na kuna njia za waenda kwa miguu, napia zingatia kuna baadhi ya wodi na sehemu nyingine ya kupata huduma umbali ni mkubwa sana, zaidi ya kilometa moja, sasa vuta picha kumburuza mgonjwa kwenye kitanda kwa umbali huo ili akapate hudumu.
Sio kilakitu kuja na mawazo hasi, anagali na mazingira ya jambo yalivyo.
Rubbish,Soma ulichokiandika,alafu unajiona unaelewa Sana ,muandiko wenyewe huoDuh, kwani kila jambo lazima mchangie, hata km huna uelewa nalo ndugu, ni vizuri wakati mwingine kusoma maelezo ya wengine, unaweza kujifunza kitu.
Mtawanyiko wa wodi zote na sehemu zote za hudama pale muhimbili zinafikika kwa miundombinu yote, yaani kuna njia za gari na kuna njia za waenda kwa miguu, napia zingatia kuna baadhi ya wodi na sehemu nyingine ya kupata huduma umbali ni mkubwa sana, zaidi ya kilometa moja, sasa vuta picha kumburuza mgonjwa kwenye kitanda kwa umbali huo ili akapate hudumu.
Sio kilakitu kuja na mawazo hasi, anagali na mazingira ya jambo yalivyo.
Mfano huku moi mpk mochwari parefu kiasiKwa miguu mtu atakunywa chai vikombe viwili na vitumbua vinne na kumaliza na bado hujafika
Akili huna.Punguza ujuaji dadaangu imeota mizizi mkurugenzi akiwa nani?nenda kajionee mabadiliko yanayoendelea hapo muhimbili ndani ya wiki moja tu.
Mortuary muhimbili iko mbali na unakouguzwa, janabi hataki upitishwe hadharani ukiwa mfu watu wakuone
Hamna kitu hapo, umekufa, hujavalishwa, uko uchi, ni afadhali vile vigari vya kusukuma mle mle ndani.
Ila madereva wa zile ambulance wamewezwa maana walikuwa wanaiba sana mafuta bila kufanya kazi[emoji23]Ila wale jamaa wanaondesha vile vitanda vya kubebea maiti wana jeuri balaa alfajiri alfajiri hata mtu hajafa unamkuta nacho anakivuta kwa hasira mle koridoni utadhaji ni vile vimkokoteni kule mlimani city supermarket[emoji38]
Humuoni Ila watajua Kuna mfu paleVile vitanda mbona ni kama jeneza lenye tyre ndefu hata marehemu humuoni
Gharama za mafuta sasa...watanzania hawazioniUfie wodini, mwili ubebwe na ambulance kwamba hizo gari zinaingia wodini? Najua mortuary ziko huko huko ndani ya majengo.
Hawa wasomi mbona wanatuchanganya?
Sijui alimaanisha MOI, manake JKCI ni pua na mdomo toka mortuary.JKCI si imepakana na mortuary ya Muhimbili. Au ni JKCI ipi ipo hiyo ndugu?
Hakuna la maana hapo. Kuongeza gharama zisizo na msingi. Tutengeneze tu mapito yetu tungali hai mengineyo hayo ni kazi bure tu