CONTROLA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2019
- 7,001
- 23,449
Tusifanyane watoto hebu, serikali hii ya kutoa magari kubeba marehemu iko wapi?
hata yakitolewa yatafanya kazi wiki 1 kisha kwisha,utaskia gari bovu,dereva hayupo
huu utaratbu utakua unafanywa kwa VIP tu tena n kwa kuogopa kwasababu macho ya
watu ni mengi,ila kwa kina sisi kajamba nani Tutaburuzwa tu na vitanda vyetu hadi kwenye majokofu yetu tukapumzishwe.
uzuri ni kwamba hatutolalamika kwasababu mtu wetu kashaenda hizo zingine mbwembwe tu.