Wewe unatoka asubuhi unafanya kazi kama punda ili upate nini? sio kuweka chakula mezani. Kweli hata Mungu tunaambiwa alimshushia Yesu mikate leo jamaa hataki tule tunywe maji tu kama Ngamia. Mimi nasema kula chochote mbele yako mwili kazi yake kuchuja kila kitu labda kimoja ki fail, labda angesema kama unakula sana basi fanya mazoezi kidogo hata kutembea tu lakini sio usile.Mkuu nadhani wewe ndo unamatatizo ya kisaikolojia. Professor Janabi ni hazina. Na siyo professor Janabi kila mtu ana jukumu la kuelimisha na kuhamasisha wengine kuhusu afya ya ulaji. Nenda Japan huko ujionee. Professor alazimishi taifa lazima kuishi maisha ya afya. Ndo maana IQ zetu dhoofu zina mushkel
Unarudi home mkeo anataka haki zake wewe umeshindia maji tu. Binadamu unapata amani ukishiba mimi nadhani angeleta data maana nimeona watoto wengi siku hizi wana magonjwa ya moyo, sukari, figo na hata cancer na ndio kwanza wameanza kula sasa atuambie nini sababu. Baba yangu amefariki ana miaka 97 alikuwa anakula kitu na hakuwahi kuwa anaumwa.