KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Anayechukua uhai ni muumba....Janabi amebuni mbuni
NB: "kumumalizia" maana yake alikuwa wa kufa tu!
hili jambo lina ukakasi kidogo.
Unapochukua Figo ya marehemu alafu ukaitumia kupata hela alafu ndugu wa marehemu mkashindwa kuwapooza hyo sio sawa.mnakuwa mnawaibia.
Kwani muhimbili wanaweka bure hizo Figo?Umeambiwa wanauza hizo figo?
Kwamba watapandikiza bure ?Umeambiwa wanauza hizo figo?
Kwani muhimbili wanaweka bure hizo Figo?
Sawa una fanya donation kwa kumnufaisha nani?wakati hospital hawaweki bure hyo figo?Organ donation ni jambo jema na Janabi ana wazo zuri ila kalileta kwenye jamii ya watu ambao bado wako stone age. He's up for an uphill battle.
Naomba nizikwe na figo zangu.Unalipia huduma sio organ yenyewe. Madr na vifaa lazima vilipiwe sio organ.
Wabongo bado ni primitive sana atahangaika bure tu.
Sawa una fanya donation kwa kumnufaisha nani?wakati hospital hawaweki bure hyo figo?
Kwamba watapandikiza bure ?
Wanaweza wasiuze ila iyo operation yake kufanyika utambiwa utoe mamilioni ya hela,
Ndo yale yale tu yakuuziana ivo viungo
NAOMBA NIZIKWE NA FIGO ZANGU.
Hapana sio kwa stone age.......Organ donation ni jambo jema na Janabi ana wazo zuri ila kalileta kwenye jamii ya watu ambao bado wako stone age. He's up for an uphill battle.
Double kick na smart gin zimekuacha salama?NAOMBA NIZIKWE NA FIGO ZANGU.
Na wewe umesikia wapi duniani wanaweka figo bure bwana bufaUmeambiwa wanauza hizo figo?
Nina miaka 34.sijawahi kuvuta sigara,bangi wala kunywa pombeDouble kick na smart gin zimekuacha salama?
HAKUNA CHA BURE.Hata usipoomba utazikwa nazo tu figo zako zimeisha kwa pombe za hovyo hazina ishu.