Ni kuendekeza ujinga tu ni mara mia wangeuza izo organ halafu huduma ikawa ni bure ila wao wanafanya vyote kwa pomojaThis is what I expect toka kwa wabongo. Mnataka organ na huduma bure no wonder hospital zinafungwa kwa kuzidiwa gharama za uendeshaji. Janabi atapiga kelele bure tu.
Kibongo bongo hakuna tofaut yoyote kati ya hospt binafs na ya serikali zote ni hela tu.
Kufany kipimo cha MRI ni hela nyingi wakati kule Zanzibar ni bure tu.