Prof. Janabi: Chama cha Figo Tanzania kitawasilisha pendekezo la kuvuna Figo za Marehemu

Prof. Janabi: Chama cha Figo Tanzania kitawasilisha pendekezo la kuvuna Figo za Marehemu

Idhini ya kuchukuwa viungo hutolewa na mwenye viungo vyake mapema sana, labda awe mtoto mdogo hapo watahusika wazazi.
Nchi nyingi Wakati unaomba leseni ya Udereva ,Kuna sehem unasign kama Organ donnor, ata South Africa wanafanya hivyo
 
Attachments

  • IMG_1128.jpeg
    IMG_1128.jpeg
    66.4 KB · Views: 1
  • IMG_1129.jpeg
    IMG_1129.jpeg
    35.3 KB · Views: 1
  • IMG_1130.png
    IMG_1130.png
    92.3 KB · Views: 1
  • IMG_1136.jpeg
    IMG_1136.jpeg
    28.3 KB · Views: 1
  • IMG_1137.jpeg
    IMG_1137.jpeg
    41.4 KB · Views: 1
  • IMG_1135.jpeg
    IMG_1135.jpeg
    29.7 KB · Views: 1
Sio tu primitive, wabongo wana ROHO MBAYAA hatari.

Yaani mbongo anaona kuliko hii figo itumike kuokoa maisha ya mtu mwingine, heri TUKOSE WOTE! Hiyo ndio akili ya mwafrika.

Wakati kwa wenzetu watu wakifa wanatolea miili yao itumike kwenye tafiti mbalimbali.

Wabongo hawana elimu wala exposure wanaona ni jambo la ajabu. Bado wanataka kila kitu kiwe bure. Janabi anawazo zuri ila bongo bado haijafika huko bado ipo stone age.
 
Wabongo hawana elimu wala exposure wanaona ni jambo la ajabu. Bado wanataka kila kitu kiwe bure. Janabi anawazo zuri ila bongo bado haijafika huko bado ipo stone age.
Mkuu hawa watu utahangaika tu kuwafahamisha,unakuta mtu hajui kitu ila anabisha,na mwisho anaweza kukutukana tu.
 
HAKUNA CHA BURE.
acheni watu wazikwe na viungo vyao.
Kupandikiza mgonjwa atoe hela.ila mwenye figo ajitolee.umeona wapi?
Mgonjwa atatoa hela ya upasuaji ila figo ni bure, ndio maana inaitwa "donation". Mwenye figo yeye anakua ameshakufa kwahiyo hiyo figo hana kazi nayo tena.

Au we unataka marehemu alipwe hela aende nazo akhera?
 
Yap mimi nipo Tayari wachukuwe figo zote mbili, maini, moyo, na ata mapupu kwani nikisha kufa kwangu ayana faida yeyote na pia isitoshe Kule Mbinguni Tutapewa miili mipya

ata mimi naunga mkono hoja: mbali na sisimizi kula miili yetu, pia tuendako Mbinguni kwa Baba Tutapewa miili mipya 2 Wakorintho 5
Changamoto ni Elimu na utayari wa ndugu

Binafsi nimegundua tatizo la Elimu bado ni kubwa sana miongoni mwa Watanzania hasa waishio Vijijini.

Labda tuendelee kuhamasishana suala hili hata miaka 10 mfululizo huenda likapata uungwaji Mkono

Pia tuendelee kuhamasisha jamii yetu kuacha matendo hatarishi yanayoweza kuhatarisha Figo zetu

Kuna mabinti na Vijana wa kiume wanakula pombe Kali utasema hawana kesho yao

Pia Matumizi ya vidonge za mara Kwa mara, mtu anaugua mafua tu tayari anameza dawa 🙌
 
Chama cha Figo nchini kimejiandaa kupeleka mapendekezo Serikalini kuanzisha uchukuaji wa Figo kwa marehemu, ili kuongeza idadi ya wapandikiziwaji kwani wengi wanashindwa kumudu kutokana na uchache wa watoaji figo hizo.

Hayo yamesemwa na Mkurugenzi mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Profesa Mohamed Janabi, kwenye maadhimisho ya siku uchangiaji viungo Duniani leo Hospitalini hapo.

Source;
EATV

MY TAKE
Kwa namna yoyote hali hii ikipita inaweza kuleta mtafaruku kwenye kuvuna hizo FIGO kwa marehemu au watu kumaliziwa wakiwa wodini ili wawahishe FIGO kwa wahitaji.
Itakuwa KIZAA ZAA NA SEKE SEKE.
 
Changamoto ni Elimu na utayari wa ndugu

Binafsi nimegundua tatizo la Elimu bado ni kubwa sana miongoni mwa Watanzania hasa waishio Vijijini.

Labda tuendelee kuhamasishana suala hili hata miaka 10 mfululizo huenda likapata uungwaji Mkono

Pia tuendelee kuhamasisha jamii yetu kuacha matendo hatarishi yanayoweza kuhatarisha Figo zetu

Kuna mabinti na Vijana wa kiume wanakula pombe Kali utasema hawana kesho yao

Pia Matumizi ya vidonge za mara Kwa mara, mtu anaugua mafua tu tayari anameza dawa 🙌
Kweli kabisa pombe na hizi Energy Drinks ni janga la taifa
 
"...wanaweka bure hizo figo" ni tungo tata; kwa maana inaweza kuwa gharama za kupandikiza figo au gharama za figo yenyewe au hata yote kwa pamoja! Unazungumzia kipi kati ya hayo?!
Huyo mgonjwa wa figo anawekewa bure?baada ya mimi kutoa figo?kama anatoa hela kwanini kiasi kadhaa kisiende kwa ndugu zangu?ikiwa huyo mgonjwa anawekewa figo na hela.
 
Back
Top Bottom