Ni kuendekeza ujinga tu ni mara mia wangeuza izo organ halafu huduma ikawa ni bure ila wao wanafanya vyote kwa pomojaThis is what I expect toka kwa wabongo. Mnataka organ na huduma bure no wonder hospital zinafungwa kwa kuzidiwa gharama za uendeshaji. Janabi atapiga kelele bure tu.
Even if asiposema, basi familia yake ndio itatoa kibali hikoKawaida mtu mwenyewe kabla hajafa anasema **** kuwa viungo vyake vitumike kuokoa maisha ya watu wengine. Na hilo linawekwa kisheria. Uhuni unaweza kufanyika lakini si rahisi.
Na ww umesikia wapi duniani wanaweka figo bure bwana bufa
HAKUNA CHA BURE.
acheni watu wazikwe na viungo vyao.
Kupandikiza mgonjwa atoe hela.ila mwenye figo ajitolee.umeona wapi?
Ni kuendekeza ujinga tu ni mara mia wangeuza izo organ halafu humuda ikawa ni bure ila wao wanafanya vyote kwa pomoja
Kibongo bongo hakuna tofaut yoyote kati ya hospt binafs na ya serikali zote ni hela tu.
Kufany kipimo cha MRI ni hela nyingi wakati kule Zanzibar ni bure tu.
Usirahisishe vitu jombaa.sio rahisi kama unavyodhani.pale muhimbili kila kitu hela mpaka kuna wakati wanazuia maiti kisa ndugu hawana hela za matibabu. Leo uwambie ndugu yao achangie figo bure.wewe utaweza?You just proved my point. Wabongo wengi bado ni primitive sana.
Ilo ndio jibu?akili za watu weusi Ni nyeusi hakikaHamia Zanzibar.
"...wanaweka bure hizo figo" ni tungo tata; kwa maana inaweza kuwa gharama za kupandikiza figo au gharama za figo yenyewe au hata yote kwa pamoja! Unazungumzia kipi kati ya hayo?!Kwani muhimbili wanaweka bure hizo Figo?
Usirahisishe vitu jombaa.sio rahisi kama unavyodhani.pale muhimbili kila kitu hela mpaka kuna wakati wanazuia maiti kisa ndugu hawana hela za matibabu. Leo uwambie ndugu yao achangie figo bure.wewe utaweza?
Ilo ndio jibu?akili za watu weusi Ni nyeusi hakika
Yap mimi nipo Tayari wachukuwe figo zote mbili, maini, moyo, na ata mapupu , Mifupa yaani Chochote kile katika mwili wangu kwani nikisha kufa kwangu ayana faida yeyote na pia isitoshe Kule Mbinguni Tutapewa miili mipyaChama cha Figo nchini kimejiandaa kupeleka mapendekezo Serikalini kuanzisha uchukuaji wa Figo kwa marehemu, ili kuongeza idadi ya wapandikiziwaji kwani wengi wanashindwa kumudu kutokana na uchache wa watoaji figo hizo.
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Profesa Mohamed Janabi, kwenye maadhimisho ya siku uchangiaji viungo Duniani leo Hospitalini hapo.
Source;
EATV
MY TAKE
Kwa namna yoyote hali hii ikipita inaweza kuleta mtafaruku kwenye kuvuna hizo FIGO kwa marehemu au watu kumaliziwa wakiwa wodini ili wawahishe FIGO kwa wahitaji......
ata mimi naunga mkono hoja: mbali na sisimizi kula miili yetu, pia tuendako Mbinguni kwa Baba Tutapewa miili mipya 2 Wakorintho 5Naunga hoja Mkono, hakuna haja ya kuwapa Faida Mchwa/sisimizi kula miili yetu wakati Kuna nafasi ya kusaidia kuokoa maisha ya wengine...
Muhimu Serikali kuendelea kufanya uhamasishaji ili kushawishi jamii kubwa ya Watanzania kuelewa umuhimu wa kutoa figo na baadhi ya viungo vya Marehemu ili kuokoa maisha ya Walio hai.
Pia ile study ya kupandikiza figo za mnyama nguruwe nashauri iendelee wakati suala la kushawishi Matumizi ya figo za Marehemu linaendelea.
Hapana. Ni mtu mwenyewe akiwa hai ndiyo anasema. Familia yake haina mamlaka.Even if asiposema, basi familia yake ndio itatoa kibali hiko
Sio tu primitive, wabongo wana ROHO MBAYAA hatari.You just proved my point. Wabongo wengi bado ni primitive sana.
Unamnufaisha mtu ambaye ndiye atakayefanyiwa hiyo transplant,wewe utakua umedonate figo,that's all.Sawa una fanya donation kwa kumnufaisha nani?wakati hospital hawaweki bure hyo figo?