Prof. Janabi: Chama cha Figo Tanzania kitawasilisha pendekezo la kuvuna Figo za Marehemu

Mimi si mjuvi sana,ila mtu anapofikwa na umauti figo inaweza kuendelea kufanya kazi?
Na je ni serikali au wananchi wapewe pendekezo hilo?
nadhan kuna muda maalumu wanaangalia ndan ya huo mda wakitoa figo au viungo vingine wakihifadhi vinaendelea kuwa salama kwaajil ya kumuwekea mtu mwingine
 
Chama cha Figo nchini kimejiandaa kupeleka mapendekezo Serikalini kuanzisha uchukuaji wa Figo kwa marehemu, ili kuongeza idadi ya wapandikiziwaji kwani wengi wanashindwa kumudu kutokana na uchache wa watoaji figo hizo.
Hao wanachama wenyewe wamechangia figo ngapi?
Ndugu wa marehemu watakaovunwa watanufaikaje na figo za wapendwa wao?
Hamuoni kuna hatari ya mauaji kuongezeka kwamba zitaletwa maiti za mauaji hospitalini
 
Kawaida mtu mwenyewe kabla hajafa anasema kuwa viungo vyake vitumike kuokoa maisha ya watu wengine. Na hilo linawekwa kisheria. Uhuni unaweza kufanyika lakini si rahisi.
Bado na hizo figo zitauzwa kwa bei kubwa
 
Naogopa sana hii taarifa na wasilisho lake itakuwa ni hatari sana, labda iende sababa na wafiwa kulipwa otherwise italeta ugaidi wa mauaji holela
 
Hakika muungwana.....

Hili suala linaweza kuwa na nia njema lakini kwa tunavyojuana waTanzania linaweza kufungua mlango mwingine wa maafa.....

Unashtukia ndugu yako ametolewa figo imeishauzwa......
🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Kitawaka
 
Hao wanachama wenyewe wamechangia figo ngapi?
Ndugu wa marehemu watakaovunwa watanufaikaje na figo za wapendwa wao?
Hamuoni kuna hatari ya mauaji kuongezeka kwamba zitaletwa maiti za mauaji hospitalini
Nakwambia kwa namna mifumo ya taasisi zetu zinavyoendeshwa kwa ukiritimba naiona hatari kubwa mbeleni
 
Mkuu,Duniani kuna watu ambao wanaitwa ORGAN Donors ambao wanaamua wenyewe kwa hiyari yao wakiwa hai Kwamba iwapo watakufa basi Viungo vyao vinakuwa Donated.Mfano Mtu amepata ajali kubwa au naugua ugonjwa ambao ni terminal kama Cance lakini haujaathiri FIGO yake anaamua kujitolea FIGO yake ili mlevi mmoja aendelee kudunda na kula maisha kwani kuna ubaya GANI hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…