Hakika yupo underweight,angalia tu uso wake ulivyoporomoka na mishipa ya usoni yote inaonekana.Unless awe anaumwa,lakini kama ndiyo mzima wa afya basi swala la chakula anapaswa kwanza yeye alizingatieNdio wanazungumza general sana kiasi kwamba wote tuna mahitaji sawa.
Yeye mwenyewe ukimuangalia lazima yupo chini ya uzito stahiki...hana afya ya kawaida...hana nuru kabisa.
Nyie ambao hamna uelewa ndo mnababaika na hao watu. Hamna kitu wengi wao.Mkuu huyo ni Profesa ujue, tena wa medical field usifanye masihara kabisa na hao watu muheshimu tafadhali.
Kufa sio hasara shida ni kuishi kwa tabu ,unakuta mtu anapumulia juu juu kama chura kisa vitambi uchwara.Hivi vitu havina fomula, jamaa alikuwa anafuata ratiba ya lishe bora lakini amekatika katika umri mdogo tu ila kuna jamaa kula kula hadi sasa anadunda na anaendelea kula na kitambi juu [emoji1787]
Au ndio mganga hajigangi.Hakika yupo underweight,angalia tu uso wake ulivyoporomoka na mishipa ya usoni yote inaonekana.Unless awe anaumwa,lakini kama ndiyo mzima wa afya basi swala la chakula anapaswa kwanza yeye alizingatie
Umeongea jambo la muhimu anatakiwa aanze kujihudumia yeye kuliko kuja fanya biashara yake ya maputo.Hakika yupo underweight,angalia tu uso wake ulivyoporomoka na mishipa ya usoni yote inaonekana.Unless awe anaumwa,lakini kama ndiyo mzima wa afya basi swala la chakula anapaswa kwanza yeye alizingatie
Acha mazoea ya mtaani eti mwili wa kuzaliwa hakuna kitu kama hicho kula kula ovyo itawaua.Hivi vitu havina fomula, jamaa alikuwa anafuata ratiba ya lishe bora lakini amekatika katika umri mdogo tu ila kuna jamaa kula kula hadi sasa anadunda na anaendelea kula na kitambi juu 🤣
Utaambiwa una unga unga maishaBinafsi huwa ninawashangaa sana watu wanaokula zaidi ya mara 4 kwa siku. Binafsi ninakula mara 2 tu kwa siku.
Dah! Wabongo hawana jema hata kidogo. Ukinenepa, watakusema! Ukiwa mwembamba, watakusema! Ukiwa nadhifu, watakusema! Ukiwa mchafu, pia watakusema!Utaambiwa una unga unga maisha
Sawa.Nyie ambao hamna uelewa ndo mnababaika na hao watu. Hamna kitu wengi wao.
TuvumilieDah! Wabongo hawana jema hata kidogo. Ukinenepa, watakusema! Ukiwa mwembamba, watakusema! Ukiwa nadhifu, watakusema! Ukiwa mchafu, pia watakusema!
HATA mimi hapo kwenye wanga kuchakatwa na kutoa mafuta badala ya lactose nimetoka mweupe sasa najiuliza vp protein.Kweli tunahitaji elimu me nilikuwa najua wanga inachakatwa kuwa lactose (glucose) iliyochangamka kumbe wanga kama makande bila marage na hayana kiini yanasababisha mafuta. ni hatari kwa kweli.
Kuna natamani kuuliza kwa idadi ya Tanzania wangapi wanakula wangu kwanini idadi ya wagonjwa ni chache. au kuna miili wakila wanga tatizo linatokea?
NotedMzee baba hapo kwenye red sijakupata.
IPO HIVI,
Ukila wanga/Complex Sugar(mahindi, viazi, mihogo etc) mwili unaibadilisha kua glucose/Simple Sugar na unautumia kupata nguvu,
Ukisindilia sana mwili kwa kutumia INI unakusaidia kuhifadhi huo wanga/glucose kupeleka katika mfumo wa glycogen ambayo ndio mafuta sasa kwa namna nyingne.
Kwanini hubadilishwa???
huwezi ukahifadhi katika mfumo wa glucose, maana itayeyuka itarudi kwenye damu nakujaa/zidi matokeo yake ni KISUKARI sasa, ndio maana Katika kupima Sukari mwilini wanasema Blood glucose/sugar level, yaani kiwango cha sukari kwenye damu,
Pindi mwili ukiishiwa nguvu/mfano umechelewa kula au hujala, ile glycogen inatolewa kule ilikohifadhiwa kwa kutumia hormone ya glucagon kuileta kwenye mfumo wa glucose ambao ndio unatumiwa na mwili kupata nguvu.
Kwa nini mtu anazidi kunenepa? Kwa kula wanga,
Sbb ni kwamba kila siku anakula wanga iliyozidi kiasi kinachohitajika, matokeo yake inaendelea kuhifadhiwa/jaa kama mafuta kwenye mwili...
Haya tuconnect Dots..... sasa...,
Unapozungumzia wanga unazungumzia Sukari/sugar na ukizungumzia sukari unazungumzia glucose na ukizungumzia glucose unazungumzia Nguvu.
Glucose iliyozidi ni Mafuta, mafuta yaliyozidi ndio huo ubonge na madhara yake anayozungumzia prof.
Ushawahi jiuliza kwa nini wachezaji wanapewa glucose uwanjani sio Dona???
We jamaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kula mara mbili ugali wa watu 6 na bakuli la uji kama maji ya kunywa ni umekula mara 12.
MIMI sijui km ntaiweza hii Kanuni Bwana kula kula Mimi nikiona kachori twende Samaki twende mishkaki twende pweza na ngisi twende sijaona machungwa na ile mihogo ya kwenye mabeseni na karanga twende akipita mwenye mayai twende sijakaa sawa mchoma mahindi amechukua oda yangu nikifika jioni paja za kuku kadhaa hapo nimeagiza mdudu kila 1 na Nusuwale chakula wanapohisi njaa.
Anakusoma ujue....Ndio wanazungumza general sana kiasi kwamba wote tuna mahitaji sawa.
Yeye mwenyewe ukimuangalia lazima yupo chini ya uzito stahiki...hana afya ya kawaida...hana nuru kabisa.
Alafu huu utaratibu wa supu na chapati mbili ulianzia wapi ....Prof chakula chake kahawa na korosho
Anashanga mtu anakula chapati 2 tena na supu ,kula nyama ndo kabisa
Ndio ukweli wenyewe.au nasema uongo ndugu zangu.Anakusoma ujue....