Prof. Janabi: Kitu hatari zaidi ni sukari na wanga. Ataka watu kula wakihisi njaa kwani mwili hauendeshwi na ratiba ya chakula

Mnajua kutuvuruga Dah.
 
Kitu kingine ambacho Prof na wataalam wengine huwa hawasemi wala kusisitiza ni kuwa watu wale kulingana na uzito wa kazi wanazofanya.

Kwa mfano binafsi kuna mahali zamani breakfast yetu ilikuwa ni chai na mkate mmoja mzima kwa kila mtu na hakuna aliyewahi kubakiza.
 
Niice
 
Leo nimesoma katika magazeti Prof. anaonya kuwa unywaji wa maji mengi ni hatari kwa Afya ya moyo. Ukiyafuata maelezo yake utashindwa kula kitu chochote kwa kuhofia kufa mapema. Yapo mengi tu ambayo tunaambiwa na wataalam wetu wa masuala ya afya. Humu mitandaoni ndo kabisa na mengine yanapingana hivyo kutuacha njia panda. Hayo ya kuambiwa changanya na yako na mwisho wa siku muamuzi wa mwisho ni wewe mwenyewe.

Quote in James Bond eulogy "The proper function of man is to live, not to exist. I shall not waste my days in trying to prolong them. I shall use my time." EOQ
 
Profeseri mchomoa betri si aseme tu kuwa tuwe tunakula upepo..... Kila kitu Kwake ni hatari.....
 
Kuna wale makuli, breakfast Yao ni pamoja na kuku mzima, mkate mmoja na bakuli la chai na mambo yanakwenda . Hii yote inaendana na kazi yao ilivyo.
 
Nikiangalia picha zake ni kama yeye prof ndie anaumwa kwa kukosa kula wanga na sukari, hakuna kisicho na faida au hasara muhimu kula wastani huo ndio mlo bora, matunda na mbogamboga kiasi, wanga kiasi kwa ajili ya kuleta nguvu mwilini n.k
Kweli kabisa, ukimuangalia yule Prof ni kama hana AFYA BORA..kuhusu hii ELIMU anayoitoa ni nzuri ila kuna NYAKATI ni kama anapotosha, nafikiri Taasisi ya Lishe na Chakula/Wizara ya Afya wangetoa TAMKO ili kuondoa mkanganyiko or HOFU kwa Jamii
 
Watu au mimi binafsi sili milo mitatu kwasababu ya ratiba bali kwasababu ya mwili wenyewe umetaka (njaa) so mwili ndio umepanga hivyo so binadamu
 
Kuna wake makuli, breakfast Yao ni pamoja na kuku mzima, mkate mmoja na bakuli la chai na mambo yanakwenda . Hii yote inaendana na kazi yao ilivyo.
Unajua ukimsikiliza unaweza usile. Mimi ñahimiza watu tufanye kazi Kwa kiasi tunachohitaji kula.
 
Hivi vitu havina fomula, jamaa alikuwa anafuata ratiba ya lishe bora lakini amekatika katika umri mdogo tu ila kuna jamaa kula kula hadi sasa anadunda na anaendelea kula na kitambi juu 🤣
Huyo namjua si alikula wyfe wa Ustaadh akasomewa itiqaf so hicho kifo hakihusiani na diet alokua akiifuatilia, na huyo kula kula muda ukifika atakuwa na kishuga, hbp,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…