muvangulumemile
JF-Expert Member
- May 25, 2020
- 686
- 966
Sasa huoni kama hiyo ni case tofauti kabisa?Ulcers na matatizo mengine mwilini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa huoni kama hiyo ni case tofauti kabisa?Ulcers na matatizo mengine mwilini.
Sasa huoni ni kutokana na kutokula? Maana siyo kila anachokuambia Janaba unakibeba kilivyo. Za kuambiwa changanya na zako usiwe kama mbayuwayuSasa huoni kama hiyo ni case tofauti kabisa?
Mnajua kutuvuruga Dah.Mkurugenzi wa hospitali ya Muhimbili, Profesa Mohammed Janabi amesema mpaka sasa wanawake 100 wamewekewa puto na wanaume wachache. Prof ameongeza kuwa puto ni kitu kimoja lakini nidhamu kwenye chakula ni kitu kingine.
Janabi amesema kitu hatari zaidi kwenye mwili ni sukari na wanga na wala si mafuta kwasababu mwili hautunzi wanga wala sukari bali huvibadilisha kuwa mafuta. Ametaka watu kupunguza matumizi ya vitu vyenye sukari, utamu mkubwa na sukari yenyewe.
Prof Janabi amesema matatizo ya kushindwa kupata watoto, moyo, kiharusi, magonjwa ya kupumua, vifo vya ghafla asilimia mkubwa vinachangiwa na uzito usio sahihi na kula mara kwa mara. Profesa amesisitiza kutopeleka mwili kwa utaratibu wa chakula bali wale chakula wanapohisi njaa.
Vijijini mkuu mzunguko wa pesa ni mdogo sana ni watu wachache sana wanaoweza kumudu nauli ya boda...Vijiji gani watu hutembea sana wakati pikipiki zimejaa vijijini
Bado kwenye semina au makongamano, kwenye bufee Mtu anaweka kwenye sahani kila kilichoponipo kwenye ABOOD hapa... tumeingia MSOLWA... watu wamerudi na Mazagazaga wanakula
Kitu kingine ambacho Prof na wataalam wengine huwa hawasemi wala kusisitiza ni kuwa watu wale kulingana na uzito wa kazi wanazofanya.Mkurugenzi wa hospitali ya Muhimbili, Profesa Mohammed Janabi amesema mpaka sasa wanawake 100 wamewekewa puto na wanaume wachache. Prof ameongeza kuwa puto ni kitu kimoja lakini nidhamu kwenye chakula ni kitu kingine.
Janabi amesema kitu hatari zaidi kwenye mwili ni sukari na wanga na wala si mafuta kwasababu mwili hautunzi wanga wala sukari bali huvibadilisha kuwa mafuta. Ametaka watu kupunguza matumizi ya vitu vyenye sukari, utamu mkubwa na sukari yenyewe.
Prof Janabi amesema matatizo ya kushindwa kupata watoto, moyo, kiharusi, magonjwa ya kupumua, vifo vya ghafla asilimia mkubwa vinachangiwa na uzito usio sahihi na kula mara kwa mara. Profesa amesisitiza kutopeleka mwili kwa utaratibu wa chakula bali wale chakula wanapohisi njaa.
NiiceMkurugenzi wa hospitali ya Muhimbili, Profesa Mohammed Janabi amesema mpaka sasa wanawake 100 wamewekewa puto na wanaume wachache. Prof ameongeza kuwa puto ni kitu kimoja lakini nidhamu kwenye chakula ni kitu kingine.
Janabi amesema kitu hatari zaidi kwenye mwili ni sukari na wanga na wala si mafuta kwasababu mwili hautunzi wanga wala sukari bali huvibadilisha kuwa mafuta. Ametaka watu kupunguza matumizi ya vitu vyenye sukari, utamu mkubwa na sukari yenyewe.
Prof Janabi amesema matatizo ya kushindwa kupata watoto, moyo, kiharusi, magonjwa ya kupumua, vifo vya ghafla asilimia mkubwa vinachangiwa na uzito usio sahihi na kula mara kwa mara. Profesa amesisitiza kutopeleka mwili kwa utaratibu wa chakula bali wale chakula wanapohisi njaa.
Profeseri mchomoa betri si aseme tu kuwa tuwe tunakula upepo..... Kila kitu Kwake ni hatari.....Kweli tunahitaji elimu me nilikuwa najua wanga inachakatwa kuwa lactose (glucose) iliyochangamka kumbe wanga kama makande bila marage na hayana kiini yanasababisha mafuta. ni hatari kwa kweli.
Kuna natamani kuuliza kwa idadi ya Tanzania wangapi wanakula wangu kwanini idadi ya wagonjwa ni chache. au kuna miili wakila wanga tatizo linatokea?
Kuna wale makuli, breakfast Yao ni pamoja na kuku mzima, mkate mmoja na bakuli la chai na mambo yanakwenda . Hii yote inaendana na kazi yao ilivyo.Kitu kingine ambacho Prof na wataalam wengine huwa hawasemi wala kusisitiza ni kuwa watu wale kulingana na uzito wa kazi wanazofanya.
Kwa mfano binafsi kuna mahali zamani breakfast yetu ilikuwa ni chai na mkate mmoja mzima kwa kila mtu na hakuna aliyewahi kubakiza.
Usitusahau nasi wa Kigoma.hasa sisi wa shinyanga
Kweli kabisa, ukimuangalia yule Prof ni kama hana AFYA BORA..kuhusu hii ELIMU anayoitoa ni nzuri ila kuna NYAKATI ni kama anapotosha, nafikiri Taasisi ya Lishe na Chakula/Wizara ya Afya wangetoa TAMKO ili kuondoa mkanganyiko or HOFU kwa JamiiNikiangalia picha zake ni kama yeye prof ndie anaumwa kwa kukosa kula wanga na sukari, hakuna kisicho na faida au hasara muhimu kula wastani huo ndio mlo bora, matunda na mbogamboga kiasi, wanga kiasi kwa ajili ya kuleta nguvu mwilini n.k
Watu au mimi binafsi sili milo mitatu kwasababu ya ratiba bali kwasababu ya mwili wenyewe umetaka (njaa) so mwili ndio umepanga hivyo so binadamuHivi hii milo mitatu kwa siku kaiweka nani eti asubuhi break fast mchana lunch usiku super......hapo kuna evening tea ya jioni....hiyo milo mitatu nikujiletea matatizo ya mwili bure... ukiwa na discipline ya chakula mtu ana uwezo wa kuishi kwa mlo moja na nusi na akanawili hasa sisi tunao ishi mijini.
Unajua ukimsikiliza unaweza usile. Mimi ñahimiza watu tufanye kazi Kwa kiasi tunachohitaji kula.Kuna wake makuli, breakfast Yao ni pamoja na kuku mzima, mkate mmoja na bakuli la chai na mambo yanakwenda . Hii yote inaendana na kazi yao ilivyo.
Huyo namjua si alikula wyfe wa Ustaadh akasomewa itiqaf so hicho kifo hakihusiani na diet alokua akiifuatilia, na huyo kula kula muda ukifika atakuwa na kishuga, hbp,Hivi vitu havina fomula, jamaa alikuwa anafuata ratiba ya lishe bora lakini amekatika katika umri mdogo tu ila kuna jamaa kula kula hadi sasa anadunda na anaendelea kula na kitambi juu 🤣