Prof. Janabi: Kula mlo mmoja hurefusha maisha

Hoja yake Ina mashiko kwa :-
-wacheza bao
-wacheza pooltable
-wacheza porn
-wasusi
-washona Nguo
-madereva
-makarani
-wahasibu
-wanasiasa
-walimu
-mahakimu na majaji
Nafikiri hao ni wale wa kundi linalotumia muda mwingi kukaa sehemu moja. Kinachowafaa hawa ni mazoezi ya kutembea na mengine wanayoweza kufanya. na milo yao iwe ya kiasi sio kushinda na njaa.
 
Kwenye unywaji maji alidai watu wasinywe maji mengi kwa kujilazimisha kufikia Lita kadhaa kwa siku badala yake wanywe pale wanapohisi kiu sababu mwili ni automatic unatoa taarifa kama kuna uhitaji.

Kwa nini hoja hiyohiyo ya automatic isitumike kwenye kula? Ili watu wale kila wakihisi njaa!
 
Mkuu naomba uwe rafiki yangu, pm your telegram Id , WhatsApp number etc, I fee to connected with you.
Your mind is liberated, you aren't chained into programmed mindset,
 
Mkuu naomba uwe rafiki yangu, pm your telegram Id , WhatsApp number etc, I fee to connected with you.
Your mind is liberated, you aren't chained into programmed mindset,
Niligundua Jambo hili mapema, kuna Uzi wa mambo ya Forex trading ukichangia nikanote jina lako kwenye notebook yangu.

Nipo tayari kwa moyo mkunjufu mkuu, tupo connected,
 
Huyu Prof naye kawa kama afisa lishe wa jiji, hana jingine ajualo yeye kila siku kulakula tuu.
Hàta ushauri kwa serikali jinsi ya kukabiliana na tishio la Trump kufuta misaada, mbinu gani zitumike kusaidia sector ya afya, yeye kulakula tuu.
Hopeless kabisa.
 
Chagua kula mlo mmoja upate vidonda vya tumbo ila uishi maisha marefu

Au mile mitatu uishi maisha mafupii😂

Watafika kwenye kuoga ngoja uwone
Vidonda vya tumbo haviletwi na kula mlo mmoja. Vinaletwa na 1.Bacteria anaitwa H.Pylori na 2.Matumizi ya muda mrefu ya dawa zinazoitwa NSAID kama Ibuprofen, Diclofenac
 
Niligundua Jambo hili mapema, kuna Uzi wa mambo ya Forex trading ukichangia nikanote jina lako kwenye notebook yangu.

Nipo tayari kwa moyo mkunjufu mkuu, tupo connected,
What did I do till uka note my name.
Ila napenda tuishi lifestyle ambayo don't entertain magonjwa
 
Vidonda vya tumbo haviletwi na kula mlo mmoja. Vinaletwa na 1.Bacteria anaitwa H.Pylori na 2.Matumizi ya muda mrefu ya dawa zinazoitwa NSAID kama Ibuprofen, Diclofenac
H.Pylori inaanzaje kusababisha vidonda vya tumbo? Ni swali naomba jibu itapendeza
 
Magonjwa yanaanzia kwa kile tunachokula , kazi tunayofanya na Mambo ya emotions (peace and love)
Yaani ukiwa na negative emotions nyingi mno ndipo magonjwa yanaanzia hapo kuliko hata kwenye chakula.
Negative emotions ni Kama wivu, kiburi, hasira mengine ongezeeni , soma stress zinavyoleta ulcers, diabetes and cancers
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…