Prof. Janabi: Kula mlo mmoja hurefusha maisha

Prof. Janabi: Kula mlo mmoja hurefusha maisha

Hoja yake Ina mashiko kwa :-
-wacheza bao
-wacheza pooltable
-wacheza porn
-wasusi
-washona Nguo
-madereva
-makarani
-wahasibu
-wanasiasa
-walimu
-mahakimu na majaji
Nafikiri hao ni wale wa kundi linalotumia muda mwingi kukaa sehemu moja. Kinachowafaa hawa ni mazoezi ya kutembea na mengine wanayoweza kufanya. na milo yao iwe ya kiasi sio kushinda na njaa.
 
Kwenye unywaji maji alidai watu wasinywe maji mengi kwa kujilazimisha kufikia Lita kadhaa kwa siku badala yake wanywe pale wanapohisi kiu sababu mwili ni automatic unatoa taarifa kama kuna uhitaji.

Kwa nini hoja hiyohiyo ya automatic isitumike kwenye kula? Ili watu wale kila wakihisi njaa!
 
Kwanini mada za prof. Jamani huwa mnazileta kimzaha?
Pengine kama hamuelewi anazungumzia nini ulizeni?

Kwa kifupi "njaa" ni mazoea Tu, shibe inaua mwili kuliko hata "ukimwi" ndio maana wafungwa wa kibongo wanakula mlo mmoja na wananenepa!

Alichosema Janabi kinaitwa "INTERMITTED FASTING" nenda Google utaelewa.

Najuta kuchelewa kujua Jambo hili....nimekuwa napambana na uzito uliokithiri ila kwa Kula 18:6 najiuliza kitambi kimepotelea wapi? 18:6 maana yake nafunga masala 18 na kuwa na muda WA Kula CHOCHOTE ndani ya masaa 8 kwa siku moja 24hrs.

Hii mbinu ni ya kale Sana madaktari kabla ya kuvurugwa na pharm companies walikuwa wakitumia njia hii kutibu wagonjwa wa sukari, shinikizo la damu, kansa NK.

Wengi tunakula Tu kwasababu ya mazoea ya Kula ila mwili hauhitaji hiyo Milo yako mitatu na pepsi ili kupunguza kuvimbiwa, ....

Soma, soma,soma vuka upeo wa kufikiri a tuliowekewa na CCM! Sorry , SYSTEM!
Mkuu naomba uwe rafiki yangu, pm your telegram Id , WhatsApp number etc, I fee to connected with you.
Your mind is liberated, you aren't chained into programmed mindset,
 
Mkuu naomba uwe rafiki yangu, pm your telegram Id , WhatsApp number etc, I fee to connected with you.
Your mind is liberated, you aren't chained into programmed mindset,
Niligundua Jambo hili mapema, kuna Uzi wa mambo ya Forex trading ukichangia nikanote jina lako kwenye notebook yangu.

Nipo tayari kwa moyo mkunjufu mkuu, tupo connected,
 
“Wale watu wanaokula mara nyingi, wanaokula mara kwa mara wanakuwa hawana muda wa kuunguza mafuta. Wanaofunga muda mrefu wanakuwa na muda mrefu pia wa kuunguza mafuta ya Mwili. Kuna magonjwa mengi yanayosababishwa na ulaji wetu wa mara kwa mara. Ukitaka kinga ya mwili iwe juu na kurefusha maisha, si kurefusha tu maisha bali maisha yenye quality (Ubora), kula mlo mmoja. Ni ngumu kuvumilia lakini mwili siku zote una tabia ya kuzoea. Si lazima ule mlo mmoja kila siku, unaweza kubadili ukala mara mbili au tatu kwa wiki, siku zingine ukala mara mbili”

Nukuu ya Pro. Mohamed Janabi, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili na Mshauri wa Rais kuhusu Masuala ya Afya akizungumza kupitia Afya Podcast ya Muhimbili TV, Septemba 4, 2023
Huyu Prof naye kawa kama afisa lishe wa jiji, hana jingine ajualo yeye kila siku kulakula tuu.
Hàta ushauri kwa serikali jinsi ya kukabiliana na tishio la Trump kufuta misaada, mbinu gani zitumike kusaidia sector ya afya, yeye kulakula tuu.
Hopeless kabisa.
 
Chagua kula mlo mmoja upate vidonda vya tumbo ila uishi maisha marefu

Au mile mitatu uishi maisha mafupii😂

Watafika kwenye kuoga ngoja uwone
Vidonda vya tumbo haviletwi na kula mlo mmoja. Vinaletwa na 1.Bacteria anaitwa H.Pylori na 2.Matumizi ya muda mrefu ya dawa zinazoitwa NSAID kama Ibuprofen, Diclofenac
 
Niligundua Jambo hili mapema, kuna Uzi wa mambo ya Forex trading ukichangia nikanote jina lako kwenye notebook yangu.

Nipo tayari kwa moyo mkunjufu mkuu, tupo connected,
What did I do till uka note my name.
Ila napenda tuishi lifestyle ambayo don't entertain magonjwa
 
Vidonda vya tumbo haviletwi na kula mlo mmoja. Vinaletwa na 1.Bacteria anaitwa H.Pylori na 2.Matumizi ya muda mrefu ya dawa zinazoitwa NSAID kama Ibuprofen, Diclofenac
H.Pylori inaanzaje kusababisha vidonda vya tumbo? Ni swali naomba jibu itapendeza
 
Magonjwa yanaanzia kwa kile tunachokula , kazi tunayofanya na Mambo ya emotions (peace and love)
Yaani ukiwa na negative emotions nyingi mno ndipo magonjwa yanaanzia hapo kuliko hata kwenye chakula.
Negative emotions ni Kama wivu, kiburi, hasira mengine ongezeeni , soma stress zinavyoleta ulcers, diabetes and cancers
 
Back
Top Bottom