Prof. Janabi: Kula mlo mmoja hurefusha maisha

Ishu ni kwamba kuna miili haiwezi kuhimili mlo mmoja kwa siku. Kuna watu wana miili mikubwa, minene hawa kuvumilia kula mara moja ni shughuli pevu. Watu wembamba mill yao huhimili kula mara moja na hakuna shida
 
Ulaji wa mtu hutegemea upatikanaji wa chakula. Wengine kupata milo mitatu kwa siku ni shughuli pevu
 
Kula endapo ukihisi njaa ila asubuhi ni vizuri ukashtua tumbo na chai au kahawa.
 
Autophagy
Nashukuru IMENIFUNGUA kidogo. Ndani ya 18hrs don't inject anything. Mfano mie Kuna muda nikiwa alone nakula once a day sema wife akiwepo ndio anapikapika mara nikupe chakula nakwepa,
Naomba unielekeze vizuri kwa hili hapa la 18.6
 
Kula endapo ukihisi njaa ila asubuhi ni vizuri ukashtua tumbo na chai au kahawa.
Hapa nakunywa kikombe nusu Lita cha majani ya mstafeli,mchaichai,tangawizi, mpera ,mwembe ama majani Fulani ivi nayajua kwa kilugha chetu bila ya chochote yaani yamechemshwa yenyewe
 
Hapa nakunywa kikombe nusu Lita cha majani ya mstafeli,mchaichai,tangawizi, mpera ,mwembe ama majani Fulani ivi nayajua kwa kilugha chetu bila ya chochote yaani yamechemshwa yenyewe
Mimi huwa asubuhi natengeneza chai kwa kutumia mchaichai na tangawizi tu.
 
Mimi huwa asubuhi natengeneza chai kwa kutumia mchaichai na tangawizi tu.
Ya kwangu Haina sukari ya kwako je, yaani naletewa kikombe nipige hata Kama sijaamka mie, smt kuongezea na above warm water na lemon plus honey Kama ipo nyumbani
 
Maandiko yanasema wa heshimu baba na mama yako upate heri na miaka mingi duniani🀣Sasa mambo ya kula wapi na wapi mkuu
 
Ya kwangu Haina sukari ya kwako je, yaani naletewa kikombe nipige hata Kama sijaamka mie, smt kuongezea na above warm water na lemon plus honey Kama ipo nyumbani
Huwa natia ndimu ya kutosha na sukari kidogo sana.
 
Huwa natia ndimu ya kutosha na sukari kidogo sana.
Sukari achana nayo Kama unajipenda ,yaani hata mie wanaweka mchaichai na ginger Mana nikienda town nachukua 5kg za ginger Kama mchaichai umepandwa home wa kutosha na iyo miti yote ninayo, Sasa wao wakiwekaga sukari ya kwangu inawekwa pembeni, yaani bana mpaka huwa naona Kila kitu kizuri lazima Kuna maumivu inabidi uyapate , nakosa utamu wa sukari, fuatilia uone sukari ina madhara Gani, yaani naishi mjini Ila nawaza kutafuta pori niishi niwe nimezungukwa na miti ya matunda yote,mifugo Kama yote mpaka bwawa la samaki na mizinga ya nyuki ya kutosha , maziwa nakunywa , samaki nafuga mwenyewe, that's my dream life , huku napata upepo na hewa safi kabisa maji ya kunywa safi from uncontaminated sources, hata ndege wengine nafuga, nabakia kucheza na wanangu mpira tu , huku nikiwapa knowledge ya trading and investment
 
Najaribu kufunga tatu kavu nashindwa.... Nikifunga siku nzima hata nifike saa mbili fresh ikizd hapo kutetemeka kutanihusu though nilijaribu kunywa tuu uji nikaweza Ila kutokula naona bado au ndo afya hairuhusu
Usikilize mwili wako..

Sio lazima kufunga siku tatu mfululizo.

Kama unaweza kukaa siku 1 bila kula basi funga yako iwe siku moja,then unakula alafu unaendelea..

Sio lazima kila mtu aweze kufunga siku 3 mfululizo.

Lakini jambo lingine la msingi la kuzingatia ni kwamba,kadri ulivyo mwembamba basi ndio uwezo wako wa kufunga siku nyingi unapungua.

kwa sababu mtu mwembamba ana mafuta kidogo,hivyo hatoweza kukaa siku nyingi akifunga kwa sababu mwili wake hauna mafuta ya ziada.

ila mtu kibongee anao uwezo wa kufunga siku nyingi kwa sababu ana mafuta ya kutosha.

hivyo.

ANGALIA MWILI WAKO KAMA NI MWEMBAMBA.
NA PIA USIKILIZE MWILI WAKO,KAMA UWEZO WAKO WA KUFUNGA NI SIKU MOJA BASI FUNGA HIYO HIYO.
 
Autophagy
Nashukuru IMENIFUNGUA kidogo. Ndani ya 18hrs don't inject anything. Mfano mie Kuna muda nikiwa alone nakula once a day sema wife akiwepo ndio anapikapika mara nikupe chakula nakwepa,
Naomba unielekeze vizuri kwa hili hapa la 18.6
Kitabu hiki angalau kimeelezea kwa kina, nimekutumia link ya jinsi ya kupata kitabu hiki bureee, pamoja na vitabu vingine kama utakuwa mpenzi WA kujisomea!

Mimi mwaka WA tatu huu situmii sukari yoyote au kinywaji chochote chenye sukari.
Je unafahamu cell za kansa chakula chake kikuu ni sukari....je unafahamu kuwa kuna MTU alishinda tuzo ya Nobel kwa utafiti wake uliothibitisha pasi na shaka kwamba cell za kansa zikikosa sukari ambayo zinaibugia kwa Kasi zinakufa na mgonjwa anapona kansa....ila kwasababu ya biashara ya dawa za kansa utafiti huo ulitupwaAina kwenye kapu ila vitabu vipo.

Sukari ndio aina mpya ya cocaine!
 
Lakini nakula sana siongezek tatizo ni nn ?

Nakula lishe nzuri tuu, Cha ajabu siongezek kilo plus uzito mdogo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…