Mkanganyiko kukanganya
JF-Expert Member
- Jun 26, 2022
- 1,204
- 5,053
๐๐๐๐๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AutophagyHapana, mfano hapa nilikula jana saa moja jioni na Leo nimekula mlo WA Kwanza saa name mchana, kuanzia saa name mchana nakula chochote hadi saa moja jioni.
Masaa 18 nakunywa maji, kahawa na chai bila sukari yoyote, utaratibu huu hakuna masharti mkubwa...
Kwa kifupi mwili unapata nafasi ya kujitibu wenyewe!
Hapa nakunywa kikombe nusu Lita cha majani ya mstafeli,mchaichai,tangawizi, mpera ,mwembe ama majani Fulani ivi nayajua kwa kilugha chetu bila ya chochote yaani yamechemshwa yenyeweKula endapo ukihisi njaa ila asubuhi ni vizuri ukashtua tumbo na chai au kahawa.
Mimi huwa asubuhi natengeneza chai kwa kutumia mchaichai na tangawizi tu.Hapa nakunywa kikombe nusu Lita cha majani ya mstafeli,mchaichai,tangawizi, mpera ,mwembe ama majani Fulani ivi nayajua kwa kilugha chetu bila ya chochote yaani yamechemshwa yenyewe
Ya kwangu Haina sukari ya kwako je, yaani naletewa kikombe nipige hata Kama sijaamka mie, smt kuongezea na above warm water na lemon plus honey Kama ipo nyumbaniMimi huwa asubuhi natengeneza chai kwa kutumia mchaichai na tangawizi tu.
Wabongo wananifurahisha sana ndiyo maana siko tayari kuhamaTukiwa kapa oyaah ukiguswa kidg nipo kwenye mfungo, nipo kwenye mfungo!
Huwa natia ndimu ya kutosha na sukari kidogo sana.Ya kwangu Haina sukari ya kwako je, yaani naletewa kikombe nipige hata Kama sijaamka mie, smt kuongezea na above warm water na lemon plus honey Kama ipo nyumbani
๐๐๐๐Wabongo wananifurahisha sana ndiyo maana siko tayari kuhama
Vidonda vya tumbo hร visababiswi na kushinda na njaa husababishwa na bacteriaKukaa muda mrefu bila kula unaweza kupata vidonda vya tumbo.Tuchague kipi sasa
Sukari achana nayo Kama unajipenda ,yaani hata mie wanaweka mchaichai na ginger Mana nikienda town nachukua 5kg za ginger Kama mchaichai umepandwa home wa kutosha na iyo miti yote ninayo, Sasa wao wakiwekaga sukari ya kwangu inawekwa pembeni, yaani bana mpaka huwa naona Kila kitu kizuri lazima Kuna maumivu inabidi uyapate , nakosa utamu wa sukari, fuatilia uone sukari ina madhara Gani, yaani naishi mjini Ila nawaza kutafuta pori niishi niwe nimezungukwa na miti ya matunda yote,mifugo Kama yote mpaka bwawa la samaki na mizinga ya nyuki ya kutosha , maziwa nakunywa , samaki nafuga mwenyewe, that's my dream life , huku napata upepo na hewa safi kabisa maji ya kunywa safi from uncontaminated sources, hata ndege wengine nafuga, nabakia kucheza na wanangu mpira tu , huku nikiwapa knowledge ya trading and investmentHuwa natia ndimu ya kutosha na sukari kidogo sana.
VemaVidonda vya tumbo hร visababiswi na kushinda na njaa husababishwa na bacteria
Usikilize mwili wako..Najaribu kufunga tatu kavu nashindwa.... Nikifunga siku nzima hata nifike saa mbili fresh ikizd hapo kutetemeka kutanihusu though nilijaribu kunywa tuu uji nikaweza Ila kutokula naona bado au ndo afya hairuhusu
Kitabu hiki angalau kimeelezea kwa kina, nimekutumia link ya jinsi ya kupata kitabu hiki bureee, pamoja na vitabu vingine kama utakuwa mpenzi WA kujisomea!Autophagy
Nashukuru IMENIFUNGUA kidogo. Ndani ya 18hrs don't inject anything. Mfano mie Kuna muda nikiwa alone nakula once a day sema wife akiwepo ndio anapikapika mara nikupe chakula nakwepa,
Naomba unielekeze vizuri kwa hili hapa la 18.6
Mimi mwaka WA tatu huu situmii sukari yoyote au kinywaji chochote chenye sukari.Sukari achana nayo Kama unajipenda ,yaani hata mie wanaweka mchaichai na ginger Mana nikienda town nachukua 5kg za ginger Kama mchaichai umepandwa home wa kutosha na iyo miti yote ninayo, Sasa wao wakiwekaga sukari ya kwangu inawekwa pembeni, yaani bana mpaka huwa naona Kila kitu kizuri lazima Kuna maumivu inabidi uyapate , nakosa utamu wa sukari, fuatilia uone sukari ina madhara Gani, yaani naishi mjini Ila nawaza kutafuta pori niishi niwe nimezungukwa na miti ya matunda yote,mifugo Kama yote mpaka bwawa la samaki na mizinga ya nyuki ya kutosha , maziwa nakunywa , samaki nafuga mwenyewe, that's my dream life , huku napata upepo na hewa safi kabisa maji ya kunywa safi from uncontaminated sources, hata ndege wengine nafuga, nabakia kucheza na wanangu mpira tu , huku nikiwapa knowledge ya trading and investment
Lakini nakula sana siongezek tatizo ni nn ?Usikilize mwili wako..
Sio lazima kufunga siku tatu mfululizo.
Kama unaweza kukaa siku 1 bila kula basi funga yako iwe siku moja,then unakula alafu unaendelea..
Sio lazima kila mtu aweze kufunga siku 3 mfululizo.
Lakini jambo lingine la msingi la kuzingatia ni kwamba,kadri ulivyo mwembamba basi ndio uwezo wako wa kufunga siku nyingi unapungua.
kwa sababu mtu mwembamba ana mafuta kidogo,hivyo hatoweza kukaa siku nyingi akifunga kwa sababu mwili wake hauna mafuta ya ziada.
ila mtu kibongee anao uwezo wa kufunga siku nyingi kwa sababu ana mafuta ya kutosha.
hivyo.
ANGALIA MWILI WAKO KAMA NI MWEMBAMBA.
NA PIA USIKILIZE MWILI WAKO,KAMA UWEZO WAKO WA KUFUNGA NI SIKU MOJA BASI FUNGA HIYO HIYO.