Prof Jay: Ferooz akiwa wa moto sana alikuwa hagusiki yaani uvimbaji kama wote

Tuagize

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2021
Posts
244
Reaction score
585
Wakiwa njiani baada ya kukubaliana na Prof Jay kuwa kuna show wanaenda kupiga mkoa fulani, Ferooz ghafla akamwambia Prof Jay kuwa naona miyeyusho hii safari kama vipi nageuza [emoji23][emoji23] Akiwa na wapambe wake wakageuza zake nakurudi mjini nakumuacha Prof. Kwenye mataa kitu ambacho kilimuumiza prof Jay

Mko mnaenda Morogoro na mwana mnafika Kibaha mshikaji anakwambia narudi Zangu Dar bila sababu ya msingi inaumiza kiasi gani? Ferooz alikuwa wamoto sana nyakati zake nakumbuka wakati ‘Starehe’ inatoka tulikuwa tunashindana nani kaiona mara nyingi video kwenye

TV sababu ilikuwa ni nyimbo ya Taifa(hadi leo) haijawai tokea wimbo wa magonjwa ukaopendwa sana na watu kubang nao huku ukisindikizwa na Verse kali kutoka kwa Prof. Jay ikikamilisha ngoma kuwa tamu zadi kuliko mvinyo ulikokaa takribani miaka 30 kutoka kiwanda cha Dodoma wine

Wasanii wengi wazamani walipiga sana hela sema kilichowasumbua ni ulimbukeni na starehe za mjini, mtu aliamini Akila milioni 4 leo kesho simu ya promota itaita tena aende kupiga vimeo.

Kwa mujibu wa Soggy Dog anadai kuwa Mr. Nice alikuwa anatembea na pesa kwenye buti yani anakula bia bar ghafla anasema “bia za hapa mbaya twenzetu tukale bia Arusha” Soggy akiomba aende home akachukue Nguo Mr. Nice anacheka anamwambia hela zipo kwenye buti tutanunua Arusha.[emoji23]

Producer mkongwe Master Jay anadai kwa macho yake alikuwa ana shuhudia mwindi ‘Mamu’ akiwakabidhi milioni 100 wagosi wakaya kama ‘first installment’ ya mauzo ya album na kuna wakati walinunua Gari lake cash hapohapo baada ya kumshawishi kuwa anauza bei gani gari lake [emoji23][emoji23]

Msanii mmoja kutoka kundi la Wagosi wakaya ‘Dokta John’ aliwai kusema kwenye moja ya interview kuwa ni kweli walichezea pesa na anajutia hilo.

Ile kauli kuwa wasanii wazamani hawakupiga Pesa inaweza kuwa ni kweli ukilinganisha na leo ila sio kwamba pesa hawakupata kabisa.

Nature miaka ya nyuma alikuwa anatembelea benzi na inasemekana alikuwa akilimiliki Tax kadhaa mitaa ya Temeke, Matonya alijenga hotel Tanga, miaka 2004 kuna msanii wakike alikuwa anamiliki Zaidi ya milioni 500 bank.

Miaka ya hivi karibuni wasanii wamekuwa hawategemei tena album kama mwanzo bali show na mauzo ya mtandaoni kama miito ya simu, Youtube na mitandao ya streaming bila kusahau deal za makampuni mbalimbali.

Muziki wazamani ulishikiliwa na watu wachache Ila sasa muziki unashikiliwa na recording label kubwa, msanii as individual akitusua bila management kwanza ni ngumu pili kuna maslahi yake mengi atakuwa anayakosa.

Label na management kubwa ndio future ya muziki wa bongo.

-Mwisho
#SanukaNaChapo
Credit: Ngomeni & The Bartender.

IMG_0914.jpg
 
Wakiwa njiani baada ya kukubaliana na Prof Jay kuwa kuna show wanaenda kupiga mkoa flani, Ferooz ghafla akamwambia Prof Jay kuwa naona miyeyusho hii safari kama vipi nageuza [emoji23][emoji23] Akiwa na wapambe wake wakageuza zake nakurudi mjini nakumuacha Prof. Kwenye mataa kitu ambacho

kilimuumiza prof Jay, mko mnaenda Morogoro na mwana mnafika Kibaha mshikaji anakwambia narudi Zangu Dar bila sababu ya msingi inaumiza kiasi gani? Ferooz alikuwa wamoto sana nyakati zake nakumbuka wakati ‘Starehe’ inatoka tulikuwa tunashindana nani kaiona mara nyingi video kwenye

TV sababu ilikuwa ni nyimbo ya Taifa(hadi leo) haijawai tokea wimbo wa magonjwa ukaopendwa sana na watu kubang nao huku ukisindikizwa na Verse kali kutoka kwa Prof. Jay ikikamilisha ngoma kuwa tamu zadi kuliko mvinyo ulikokaa takribani miaka 30 kutoka kiwanda cha Dodoma wine

Wasanii wengi wazamani walipiga sana hela sema kilichowasumbua ni ulimbukeni na starehe za mjini, mtu aliamini Akila milioni 4 leo kesho simu ya promota itaita tena aende kupiga vimeo, kwa mujibu wa Soggy Dog anadai kuwa Mr.Nice alikuwa

anatembea na pesa kwenye buti yani anakula bia bar ghafla anasema “bia za hapa mbaya twenzetu tukale bia Arusha” Soggy akiomba aende home akachukue Nguo Mr. Nice anacheka anamwambia hela zipo kwenye buti tutanunua Arusha.[emoji23]

Producer mkongwe Master Jay anadai kwa macho yake alikuwa ana shuhudia mwindi ‘Mamu’ akiwakabidhi milioni 100 wagosi wakaya kama ‘first inastallment’ ya mauzo ya album na kuna wakati walinunua Gari lake cash hapohapo baada ya kumshawishi kuwa anauza bei gani gari lake [emoji23][emoji23]

Msanii mmoja kutoka kundi la Wagosi wakaya ‘Dokta John’ aliwai kusema kwenye moja ya interview kuwa ni kweli walichezea pesa na anajutia hilo.

Ile kauli kuwa wasanii wazamani hawakupiga Pesa inaweza kuwa ni kweli ukilinganisha na leo ila sio kwamba pesa hawakupata kabisa.

Nature miaka ya nyuma alikuwa anatembelea benzi na inasemekana alikuwa akilimiliki Tax kadhaa mitaa ya Temeke, Matonya alijenga hotel Tanga, miaka 2004 kuna msanii wakike alikuwa anamiliki Zaidi ya

milioni 500 bank. Miaka ya hivi karibuni wasanii wamekuwa hawategemei tena album kama mwanzo bali show na mauzo ya mtandaoni kama miito ya simu,Youtube na mitandao ya streaming bila kusahau deal za makampuni mbalimbali.

Muziki wazamani ulishikiliwa na watu wachache Ila sasa muziki unashikiliwa na recording label kubwa, msanii as individual akitusua bila management kwanza ni ngumu pili kuna maslai yake mengi atakuwa anayakosa.

Label na management kubwa ndio future ya muziki wa bongo.

-Mwisho
#SanukaNaChapo
Credit: Ngomeni & The Bartender.

View attachment 2270725
Alimkatalia hadi Madee kufanya chorus ya yote maisha hata baada ya kuitwa na boss wake Majani lakini bado hakutokea mpaka ikambidi majani afanye chorus mwenyewe
 
Ilikua kama miaka kadhaa nyuma aliazima akafanyie video. Ni kipindi hiki alichokua ameshapotea. Kuna video fulani alifanya na mdada kama ya mnanda sijui ndo chiriku. Kenge maji. Alikua anaringa sana. Tulimkata mitama
😀 Mwoneeni huruma atakuwa na stress maana wasanii wa zamani wengi hawakujipanga sasa hivi wanalalamika tu
 
Wakiwa njiani baada ya kukubaliana na Prof Jay kuwa kuna show wanaenda kupiga mkoa flani, Ferooz ghafla akamwambia Prof Jay kuwa naona miyeyusho hii safari kama vipi nageuza [emoji23][emoji23] Akiwa na wapambe wake wakageuza zake nakurudi mjini nakumuacha Prof. Kwenye mataa kitu ambacho

kilimuumiza prof Jay, mko mnaenda Morogoro na mwana mnafika Kibaha mshikaji anakwambia narudi Zangu Dar bila sababu ya msingi inaumiza kiasi gani? Ferooz alikuwa wamoto sana nyakati zake nakumbuka wakati ‘Starehe’ inatoka tulikuwa tunashindana nani kaiona mara nyingi video kwenye

TV sababu ilikuwa ni nyimbo ya Taifa(hadi leo) haijawai tokea wimbo wa magonjwa ukaopendwa sana na watu kubang nao huku ukisindikizwa na Verse kali kutoka kwa Prof. Jay ikikamilisha ngoma kuwa tamu zadi kuliko mvinyo ulikokaa takribani miaka 30 kutoka kiwanda cha Dodoma wine

Wasanii wengi wazamani walipiga sana hela sema kilichowasumbua ni ulimbukeni na starehe za mjini, mtu aliamini Akila milioni 4 leo kesho simu ya promota itaita tena aende kupiga vimeo, kwa mujibu wa Soggy Dog anadai kuwa Mr.Nice alikuwa

anatembea na pesa kwenye buti yani anakula bia bar ghafla anasema “bia za hapa mbaya twenzetu tukale bia Arusha” Soggy akiomba aende home akachukue Nguo Mr. Nice anacheka anamwambia hela zipo kwenye buti tutanunua Arusha.[emoji23]

Producer mkongwe Master Jay anadai kwa macho yake alikuwa ana shuhudia mwindi ‘Mamu’ akiwakabidhi milioni 100 wagosi wakaya kama ‘first inastallment’ ya mauzo ya album na kuna wakati walinunua Gari lake cash hapohapo baada ya kumshawishi kuwa anauza bei gani gari lake [emoji23][emoji23]

Msanii mmoja kutoka kundi la Wagosi wakaya ‘Dokta John’ aliwai kusema kwenye moja ya interview kuwa ni kweli walichezea pesa na anajutia hilo.

Ile kauli kuwa wasanii wazamani hawakupiga Pesa inaweza kuwa ni kweli ukilinganisha na leo ila sio kwamba pesa hawakupata kabisa.

Nature miaka ya nyuma alikuwa anatembelea benzi na inasemekana alikuwa akilimiliki Tax kadhaa mitaa ya Temeke, Matonya alijenga hotel Tanga, miaka 2004 kuna msanii wakike alikuwa anamiliki Zaidi ya

milioni 500 bank. Miaka ya hivi karibuni wasanii wamekuwa hawategemei tena album kama mwanzo bali show na mauzo ya mtandaoni kama miito ya simu,Youtube na mitandao ya streaming bila kusahau deal za makampuni mbalimbali.

Muziki wazamani ulishikiliwa na watu wachache Ila sasa muziki unashikiliwa na recording label kubwa, msanii as individual akitusua bila management kwanza ni ngumu pili kuna maslai yake mengi atakuwa anayakosa.

Label na management kubwa ndio future ya muziki wa bongo.

-Mwisho
#SanukaNaChapo
Credit: Ngomeni & The Bartender.

View attachment 2270725
Mkuu
Unatapika ukweli wote yaani.

Ukichokisema ni mule.mule maana hawa jamaa wengine walikuwa washkaji zangu.

Walitusua sana wakajisahau lakini walitoa ngoma kali
 
Hapo ndo ujue kumtofautisha Nasib na wengine, platform aloikuta ilikuwa ni ileile, Mr Nice kafatana na akina Blue, Kiba, Top Band na wengine wote then ndo akaingia Nasib, juhudi binafsi, kujishusha, nidhamu ya kazi na pesa kumemfanya alete transformation kubwa kwenye game.

Hao wote msompenda na kuwasifia leo hii hakuna kipya wanachokifanya isipokuwa wanafanya kuegeza kwa Nasib ili tu wazungumzwe na mpaka wanashtuka na kuanza kufanya wanajikuta mwenzao aliyafanya hayo miaka 5, 6 ilopita (kitu ambacho ni kizuri), wanayafanya hayo huku WAKUSAIDIWA NA HUJUMA KUBWA ANAYOFANYIWA DIAMOND, ukitoa Wasafi FM, hakuna radio station ilikuwa inapiga song za Diamond, RFA usiku kucha walikuwa wakipiga nyimbo za Harmonize na Ali Kiba hata 20 hadi wiki mbili tatu majuzi ndo utasikia angalau song moja ya Diamond, hii haifanyiki kwa bahati mbaya vivyo hivyo kwa sehemu za starehe, (mambo haya sio sawa), sababu za kupambana kumshusha wanazijua wenye nguvu na asipokuwa makini watafanikiwa.
 
Back
Top Bottom